Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Poleni fellow gunners, watched first half, kulikuwa na matumaini..I just wonder how second half fared, but that's soccer.

Bado hatujui kucheza na big teams, top performance but results don't reflect.
 
Mission ya arsenal n top 4

Team mwiba kutokana na kikosi chetu ni city na Liverpool
Hawa waliobaki tuna wamudu vizuri sana

Ata ukiangalia ile game ya jana, mpira tuliucheza ila tulikosa some details
Hata mngekosa goli kumi mkatiwa kagoal kamoja isingebadili chochote kuwa nyie ni Arsenyeto.
 
Jana tulicheza kwa spirit kubwa.

Ile spirit inatupa ushindi mbele ya timu nyingi. Tutakosa ushindi kwakua ST clinical hatuna.

Miongoni mwa timu ambazo tutapata ushindi tukiwa na ile spirit bila kujali clinical finishing attribute ya ST wetu ni chelsea na manchester united.

Tukiwa hovyo misimu iliyopita in our lowest form tumeshapiga hawa wawili kwanini isiwezekane sasa hivi?
Umpige chelsea...

Hii chelsea ya Kremlin au nyingine?
 
Unajua mzee usiandike kama vile peke yako ndiyo una access na taarifa.

Kwamba mmecheza mechi nyingi bila kupumzika? So mechi hazikua postponed ili mkazunguke kugombea kombe la plastik?
Taja match ya Chelsea iliyokuwa Postiponed sababu ya Covid.
 
Dah bro 😅😅😅 huyo chura nimemuweka pending mpaka mishe zikae poa nismash
😅😅😅😂aisee smash faster mambo ya mishe kukaa poa yafuate. Football aside. kwanza hebu elekeza details zake kunako PM yangu afu turudi kwenye Arsenal yetu.😄😄
 
😅😅😅😂aisee smash faster mambo ya mishe kukaa poa yafuate. Football aside. kwanza hebu elekeza details zake kunako PM yangu afu turudi kwenye Arsenal yetu.😄😄
😅 Master fisi labda nikupambanie kazi yenye chura kama hiyo ila siyo huyo. Ukimuonyesha mji na mitaa atakua bize nimkose
 
Robin hood
20220317_103720.jpg
 
😅 Master fisi labda nikupambanie kazi yenye chura kama hiyo ila siyo huyo. Ukimuonyesha mji na mitaa atakua bize nimkose
Poa poa. PM lakini. huku tuendelee kuwakera hawa wavamiaji wa London wanaoutaka ufalme wetu
 
😅 Master fisi labda nikupambanie kazi yenye chura kama hiyo ila siyo huyo. Ukimuonyesha mji na mitaa atakua bize nimkose
Sina huo udon wala nini. We leta tu huyo si ulikuwa unataka kumpa mwana Kremlin? Mlete huku kwa mwana Islington mwenzio. 😄😄
 
We jamaa acha kula wasaidizi wa ndani mimi nina namba ya mtoto mkali. Kuku wa kienyeji View attachment 2153917
Mkuu Castr itabidi nikutafute aiseeeeee
Pole kwa kipigo cha jana, mi ninachofurahi sasa hivi kidogo mmeanza kua na nidhamu mnapocheza na kaka zenu, kabla ya mechi kuanza nilikua na wasiwasi mnaweza kupata kadi nyekundu.
 
Nyinyi mmewahi kua na kesi ya wachezaji wa first eleven saba kushindwa kucheza kutokana na covid?
Kwa hiyo nyie match zenu zote zilizokuwa postponed mlikuwa na wagonjwa saba wa Covid?
 
Back
Top Bottom