Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa wewe kinega hiyo taasisi yenu ya uhujumu uchumi imeshinda mechi 17 mpaka leo katika mechi 29 ilizocheza Arsenal tumeshinda mechi 16 katika mechi 28.

Halafu upo hapa kujiongelesha kama umekalia moto
Unateseka ukiwa wapi midtable timu?

Totte anainyemelea hiyo nafasi yako.,
 
Tuache kujipa hopes za kijinga Chelsea ni big threat kwetu kama alitufunga 2 tena Emirates why not at Stamford Bridge?kwa sasa hakuna timu nyepesi at all hao Crystal Palace Brighton Aston Villa Newcastle kwa sasa wanaweza wakabeba points muda wowote

Kuna West Ham Tottenham Manchester United pia that's why huwa nasema ikifika May ndio itafahamika kama Arsenal yupo top 4 (tunaombea)au lah but let's wait and see
Mkuu,

Chelsea sio threat kwetu hata kidogo,Last match ni Corona ya baadhi ya wachezaji wetu ndio iliompa advantage.
 
Kwenye epl sahiz kuna matabaka
Team bora sana(Man city na Liver)
Team bora (Chelsea na Arsenal)
Team za kawaida( Man u,Westham,Tot,Leicter)
Halaf kuna zile dhaifu na zile dhaifu sana

Unapofungwa na team bora sana haimanishi kuwa wewe sio bora

Bravo Arsenal kwa sasa mna timu bora ingawa haijafika level ya bora sana
 
Ni dharau za hali ya juu mimi kuwekwa kundi moja na Arsenyeto.

Nitoe hapo tafadhali.
 
Sasa wewe kinega hiyo taasisi yenu ya uhujumu uchumi imeshinda mechi 17 mpaka leo katika mechi 29 ilizocheza Arsenal tumeshinda mechi 16 katika mechi 28.

Halafu upo hapa kujiongelesha kama umekalia moto
Chelsea kacheza mech 28 mpk sasa na si 29,
 
Poleni Gunners wenzangu. Sikuangalia game ila kwa kusoma comments za Arteta baada ya game, hakika tulikuwa poa zaidi ya game ya kwanza. Nguvu zielekezwe kwenye finishing. Tutafika tu.
 
Back
Top Bottom