OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
hapa lazima arudi kwenye nafasi yake ya saba ukoNyie hamna uwezo wa kufuzu UCL
Aston Villa
C. Palace
Brighton
Southampton
Chelsea
Man. United
West Ham
hapa lazima arudi kwenye nafasi yake ya saba ukoNyie hamna uwezo wa kufuzu UCL
Aston Villa
C. Palace
Brighton
Southampton
Chelsea
Man. United
West Ham
uwezo wake ndio uliishia pale.Saka hakuwa na siku nzuri Ofisini
munamlisha maneno tu ..Eti bado mdogo ..Angefunga je? ungesema bado mdogo? akina Mount wanamlishaga majani huyo vvd ..Saka anafelia wapi?Siku nzuri mbele ya Van dijk bro? Saka bado mdogo tusimpe mizigo.
Hahahahah.... hiyo inabadili lolote kwamba nyie ni timu ndogo.Jifunze kimalkia kwanza ndio uje kubishana hapa
Subiri ukutane na the blues kwanza by the time nitakuwa nasubiri kucheza fainali ya UEFA.None of them is a threat, the only threat are the two top teams (City and Liverpool)
Hapo utakayemfunga ni man u tu.Hapa hakuna timu ya kututisha, chelsea wangekuwa na speed wangeweza lkn hawana speed ya kuufikia mpira km liver hivyo kutufunga ni bahati nasibu
Hawa ng'ombe wa emirates ni michosho kweli.Shida yenu humu mna hesabu mayai ambayo kuku hajataga mpira ni matokeo siku zote mtabaki kusema mmecheza vizuri kila siku wenzenu wanaondoka na point 3
Ofa ya GSM kuinunua chelsea imekubaliwa?Hawa ng'ombe wa emirates ni michosho kweli.
TIMU ya michongo, mpaka Watu wapige hela Ndio mnanunua wachezaji (SIBNEFT NA SLAVNEFT)Ofa ya GSM kuinunua chelsea imekubaliwa
Timu ya kufanya money laundering hii kupitia uuzaji na ununuaji wachezaji.TIMU ya michongo, mpaka Watu wapige hela Ndio mnanunua wachezaji (SIBNEFT NA SLAVNEFT)
Tuache kujipa hopes za kijinga Chelsea ni big threat kwetu kama alitufunga 2 tena Emirates why not at Stamford Bridge?kwa sasa hakuna timu nyepesi at all hao Crystal Palace Brighton Aston Villa Newcastle kwa sasa wanaweza wakabeba points muda wowoteHapa hakuna timu ya kututisha, chelsea wangekuwa na speed wangeweza lkn hawana speed ya kuufikia mpira km liver hivyo kutufunga ni bahati nasibu
Arsenal kwa sasa hatakiwi tena kuacha points sababu hao uliowataja Spurs Manchester United and West Ham tuna games nao na ni mechi za Lala salama anytime kitumbua kinaingia mchanga bila kutegemeaTuna point 51.
Spurs na Westham wana point 48.
Westham akishinda mechi ijayo atakaa juu yetu kwakua kwa sasa wote tuna GD ya 12.
Spurs ana GD ya 9. Ili akae juu itabidi ashinde 4 bila au matokeo yoyote yatakayompa uwiano huo just to be sure.
Sisi tuna game na Aston Villa. Runner up wa karibu ana game na Leicester.
Game ya Spurs na Westham inapendeza wakitoka suluhu. Game ya united na Leicester matokeo yoyote ambayo united hatoshinda ni mazuri pia.
Hapa ndiyo tushafika kwenye kupiga dua tayari.
Shida yenu nyinyi mnacheza mpira kwakutumia mdomo kuliko uhalisia, huna mpira wa kumfunga Chelsea labda wamue kukulegezea.Hapa hakuna timu ya kututisha, chelsea wangekuwa na speed wangeweza lkn hawana speed ya kuufikia mpira km liver hivyo kutufunga ni bahati nasibu
Eeeee imekubaliwa.Ofa ya GSM kuinunua chelsea imekubaliwa?
Unateseka ukiwa wapi?TIMU ya michongo, mpaka Watu wapige hela Ndio mnanunua wachezaji (SIBNEFT NA SLAVNEFT)
Yule kipepe mmemnunua ngapi?Timu ya kufanya money laundering hii kupitia uuzaji na ununuaji wachezaji.
Kepa for 72M? Una akili mbaya kiasi gani?
Umeanza shabikia mpira msimu huu?Shida yenu nyinyi mnacheza mpira kwakutumia mdomo kuliko uhalisia, huna mpira wa kumfunga Chelsea labda wamue kukulegezea.