Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

CONFIRMED LINEUP

#ARSLIV Ramsdale, Tierney, Gabriel, White, Cedric, Xhaka, Partey, Odegaard, Saka, Lacazette, Martinelli



Liverpool: Alisson, Virgil, Matip, Trent, Robertson, Henderson, Thiago, Fabino, Mane, Diaz, Jota
 
Bro nakumbuka hii mbinu ilikuja baada ya kua tunaconcede silly goals huku sisi hatuscore au tukiscore tunaconcede goli na matokeo kua sare.

So hii score then defend au defend ikawa implemented kucounter hii ishu ndo tukajikuta tunaanza pata goli ila tunaishia kufungwa au tunafungwa straight away.

Nashindwa kukubaliana na wewe ukisema kwamba tulikosa experts wa kutekeleza high line press kwakua ndicho tulikifanya msimu uliopita. Na tulikifanya poa to the extent tukawa 3rd kati ya timu zilizoconcede magoli machache.

Hii defend ilikuja spesho kwa ajili ya zile silly goals, kwa kadei nilivyoangalia mpira hicho ndicho niliona.
Mkuu Castr, ukiona Low block kwa kocha mwenye tendency ya kupress high kama Arteta / klopp/ pep ujue kuna principles wachezaji wamefeli kuexcute wala si kuwa kocha anataka hivyo, coz High line press kwenye possession footie inatumika kama method ya kucontrol game off the ball.

Kwa timu kama Burnley / Wolves kusit deep ni kawaida yao sababu hawana technicians wakuhold high line reliably so instead ya kuwa passive kocha anaAdapt game plan ya kusit deep mwanzo mwisho na kufanya counter, hii ni kama ilivyokuwa kwa Arsenal kipindi hatuna wachezaji kama Thomas Partey & Gabriel magalhaes.

Kwanini tulisit off dhidi ya Everton / United? Sababu tulikosa Experience kwa kipindi kile especially kwenye namna ya kuhold high line, so mpinzani akisustain attacks muda mwingi wachezaji wanakuwa passive wanarudi nyuma, lakini hata dhidi ya Brighton & Palace tulisit off, ukitaka kujua tatizo lilikuwa experience ngoja tukutane tena uone km watacheza vile.
 
CONFIRMED LINEUP

#ARSLIV Ramsdale, Tierney, Gabriel, White, Cedric, Xhaka, Partey, Odegaard, Saka, Lacazette, Martinelli



Liverpool: Alisson, Virgil, Matip, Trent, Robertson, Henderson, Thiago, Fabino, Mane, Diaz, Jota
Salah bench kwann? au n part of plan ya bwana klopp
 
1647392275474.png
 
Nashauri leo tutizame gem yetu vzr huku tukiguatilia wachezaji wetu ambao huwa tunawafanyia arguments humu ndani maana leo tunakutana na timu iliyotimia kiubora
 
Kwa hiyo wewe unahisi kocha alitumia hiyo kama technique, jiulize sasa kwanini hatuioni tena?
Ukitafuta comments za baada ya game yetu na United utakuta nimezungumzia hiyo ishu. Ukitafuta online comments za wadau wa Arsenal wakiongozwa na Wrighty utakuta wote wanaongelea jinsi gani hiyo tech inatuponza.

Now kwanini ghafla tu timu ikawa more outgoing baada ya game na united? Kelele za wadau ama baada ya kuitest akagundua ni mbinu ya hovyo. Ushindi wetu dhidi ya Spurs the only reason Spurs walipata goli ni kwakua baada ya zile tatu tukaacha kutafuta magoli tukaanza absorb vipigo
 
Kuna mdau nimemsahau alisema Partey anajipigia pasi hovyo bila kuangalia. Natumaini ameangalia mechi zote na hii ya leo.
 
Huyu Diaz anataka shindana speed na Tierney? 😅😅😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom