Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Gooooosh!!!!! This Boys should stand up n get back in there feet......................Tushalala.......

:A S 13::A S 13:duh,mwenzio ndo nashtuka.....nimeota tumefanikiwa kusonga mbele...Arshavin kafunga goli mbili dakika ya tisini.....l.o.l
 
Haya ndiyo matokeo ya kuchezea shilingi chooni. Kwa matokeo haya tayari tuko nje ya mashindano haya, hivyo inabidi kupata goli moja au zaidi ili kuweza kuendelea.

bak, mambo bado bana japo fab kauza team pale.
 
Alafu WENGER anazeeka vibaya sana...inakuwaje Nasri anampanga pale??
 
_51585656_wenger766.jpg

 
Dah messi mmbaya jamani ili goli sijui mtamlaumu FAB au ALUMINIUM. what a goal..............aaaahaaaaah
 
Naona jamaa wanatubania replay ya goli hapa from a different angle .... ..... ....
 
Wacheze normal football na sio defence footbal.....la sivyo watakunywa nyingi


Hiyo defensive game ndiyo imetuadhiri, sasa hivi lazima tu tushambulie kwa nguvu zote na pia kuhakikisha jamaa hawaoni tena nyavu zetu, maana siye draw tu inatutosha kusonga mbele.

 
bak, mambo bado bana japo fab kauza team pale.

fAB siwezi kumlaumu sana, tumezidi pasi za kusakiziana. Tumechukua mpira vizuri badala ku-clear mtu kaenda kumpa pasi fab wakati wachezaji wa barcelona kibao wako pale, matokeo yake hakuwa na jinsi zaidi ya kubahatisha kisigino. Ndio maana mwanzo nikasema bora tulibutue tu mpira mbele waanze upya kushambulia kulikoni kujaribu kutoleana pasi goli kwetu na kupoteza.
 
Lakini bado arseno wana nafasi ya kurekebisha makosa!

Ni kweli wanaweza wana nafasi ya kurekebihsa makosa na hatimaye kupunguza idadi ya magoli wakafungwa angalau 4 au 5 hv
 
Back
Top Bottom