Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naona Cesc anamwiga Nani kutoa mapande ya magoli....khekheeee!
 
gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal

mesiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Hivi ni goli au kitenesi kimeingia golini???

Khekheeeeeeeeeeee!

Messiiii........

Goooooooooooooooooooooooo! Barca 1

kwa ugeni huu wa leo....nafikiri itakuwa ngumu kushinda......!!!!
 
Toa Diaby, toa Rosicky , mlete denilson na arshavin kuanzia kipindi cha pili wala sio dakika ya 60.


Tunapoteza mpira hovyo hovyo.
 
Gooooosh!!!!! This Boys should stand up n get back in there feet......................Tushalala.......
 
Dah. Haipendezi hat kidogo but 2nd half tutarudi kivingine. Potelea mbali, kamikaze style
 
hawa mafadha kama sio kulemba,hawa wazee wa bunduki walikuwa wawe wameshaning'inizwa kama 3 mpka sasa,poleni sana GunnerZ
 
Haya ndiyo matokeo ya kuchezea shilingi chooni. Kwa matokeo haya tayari tuko nje ya mashindano haya, hivyo inabidi kupata goli moja au zaidi ili kuweza kuendelea.
 
kwa ugeni huu wa leo....nafikiri itakuwa ngumu kushinda......!!!!

Toa Diaby, toa Rosicky , mlete denilson na arshavin kuanzia kipindi cha pili wala sio dakika ya 60.


Tunapoteza mpira hovyo hovyo.
kwa namna messi anavyofagia pitch mimi ningeshauri bale la pili muendelee kudefend tu, ili mtolewe kwa heshima. adhawaizi hapa kuna radi ya magoli
 
Lakini bado arseno wana nafasi ya kurekebisha makosa!
 
Back
Top Bottom