Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 186
Huyu alves kaanguka mwenyewe refa vp?
chizi kweli yule,sijui anavuta ile kitu ya arusha huyu?
samahani sana....tuombeane kheri tu....!!!Jamani michelle si yameisha kwa nini tukumbushane machungu na ulishanipa pole
sawa mkuu..hongereni sana kwa hilowe! Hawakutuchezea nusu uwanja bana... Tuliwanyayasa fulu mzuka bana