Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 186
Daa naona tunakoswa hapa
</p>Duh , Almunium kaletwa.
Hii sio mechi ya kukaa!
Mpira wa leo unachezwa nusu uwanja
</p>Wewe manda dawa yenu CHELSIKI NA wazee wa bwawa la maini tu...
Ahahahaaah!! Nimesimama.so umesimama hapo ulipo? relax Katavi!!
Huyu dogo sifa...Duu roho mkononi..huyu messi sijui sifa aaarg
hupendi? kuna haja gani ya kucheza uwanja mzima then mnanyukwa 3 kama MANURE walivyofanyiwa na bwawa la maini???
we! Hawakutuchezea nusu uwanja bana... Tuliwanyayasa fulu mzuka banahupendi? Kuna haja gani ya kucheza uwanja mzima then mnanyukwa 3 kama manure walivyofanyiwa na bwawa la maini???