Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Una muchezaji anaitwa sambi lokonga halafu unategemea kupata ushindi 😂😂😂au kumaliza top four hahaha hii takataka ipo seriyasi kweli🤣🤣
 
Sasa kama mpango ni Tielemans na hatukuwahi kutaka kiungo ofa kwa Maddison ilipelekwa ya nini?

Kwa Aouar ilipelekwa ya nini msimu uliopita?

Hizo overlapping za fullbacks ni sehemu ya game plan, beki kuoverlap haimaanishi hiyo ndiyo 4 3 3.

Kati ya Xhaka na Partey mwenye decent pace ni Partey ndiyo maana anakua anaenda mbele mara nyingi kuliko Xhaka hii ya Xhaka kwenda mbele kumuacha nyuma Partey umeiona regularly au mara 1 katika 10?

Katika game plan ambayo inaemploy attacking fullbacks Martinelli anatakiwa alink up na LB, wewe unasema analink na Xhaka, na Xhaka ni DM anakua katikati atakuaje DM yet atoe support kwenye wing at the same time?

Sisi tunacheza 4 2 3 1 kama build up imefanywa vizuri utamuona Partey nje ya box, Xhaka nyuma ya Partey kidogo, CB na fullback mmoja wamepanda juu kwa ajili ya offside trap na wingers, ST na AM wataku wanatafutana na wapinzani.
Shida yako bwana Castr ni kwamba Technically bado mweupe, hata hapa nafanya hisani kuargue, ila in fact sikutakiwa kuextend this conversation

Partey profile yake sio sawa na Houssem aouar, Partey ni Rodri/ Fabinho

Kipindi Arsenal wanamtaka Aouar, MØ alikuwa hayupo Arsenal, ESR alikuwa Hale end

Ukija kwa Maddison, utagundua MØ alikuwa karudi Real lakini alikuwa priority kwa Mikel Arteta

Tielemans / Bruno wanafanana profile, yoyote atayekuja lengo ni kumreplace Xhaka kwenye LCM in 433 mbona vitu rahisi kuelewa
 
Hahaha mimi kwenye technic mweupe? 😁😁😂😂

Unafanya hisani? 😂😂😂😂

Hahaha dah humu mitandaoni kuna watu mna vipaji vya ngonjera na komedi.

Sasa wewe unanielekeza mimi eti Partey profile yake siyo sawa na Aouar wakati mimi ndiye niliyesema hawa ni watu wawili tofauti na tulimhitaji Aouar kuliko Partey? 😂😂😂 Haka kashkaji vipi haka?

So unadhani ukinifananishia DMs ndiyo hoja yako itakua sahihi? Partey ni DM lakini movements anazofanya ni za DM? Locatelli ni DM lakini kwanini tulimkata? Uliwahi jiuliza kwanini tuongeze DM mwingine wakati tunao wawili tayari?

Hivi vitu ambavyo wewe inabidi ugoogle ili uniletee hapa mimi ni maisha yangu ya kila siku its the reason najua sana qualities za mchezaji mmoja mmoja na kuitazama timu na kujua inachokosa.

Nashukuru kwa hisani yako 😂😁😂😁 now let's pretend umechoka kunifanyia hisani. Hahaha manina walah
 
Shida yako bwana Castr ni kwamba Technically bado mweupe, hata hapa nafanya hisani kuargue, ila in fact sikutakiwa kuextend this conversation

Partey profile yake sio sawa na Houssem aouar, Partey ni Rodri/ Fabinho

Kipindi Arsenal wanamtaka Aouar, MØ alikuwa hayupo Arsenal, ESR alikuwa Hale end

Ukija kwa Maddison, utagundua MØ alikuwa karudi Real lakini alikuwa priority kwa Mikel Arteta

Tielemans / Bruno wanafanana profile, yoyote atayekuja lengo ni kumreplace Xhaka kwenye LCM in 433 mbona vitu rahisi kuelewa
433 uwanjani wanachezaji vipi mfano City kwenye 433 na liver kwenye 433 kuna tofauti kwenye utendaji wake wa kazi kiwanjani ??
 
Inategemea na Profile, ila kwa Liverpool na city kuna profile zinafanana,

Mfano inside forwards in Mane, Salah & Raheem, Mahrez.

inverted full backs in TAA, Cancello.

LCM in Gini wiljnaldum & Guendogan

False 9 who doesnt touch the box regularly in Firmino & Bernado / Foden / De bruyne.

Lone 6 in Rodri & Fabinho.
 
433 uwanjani wanachezaji vipi mfano City kwenye 433 na liver kwenye 433 kuna tofauti kwenye utendaji wake wa kazi kiwanjani ??
Tofauti ni aina ya wachezaji tu ..wewe una Pepe kaleee, lokonga alafu unatumia 433 ..kwelii!!? Wewe tumia 442 tu Basi.
 
Tatizo la Arsenal fanbse ni kuwa you're moving from trend to trend, timu ikafanya poa mnajifanya mnachambua, timu ikifanya vibaya mnajikuta mnajua kukosoa kweli, very interesting ila tushawazoea haisumbui, haters wote tunawajua
kabisa aseeeee
 
Arteta yupo Marekani na Kroenke. Mashabiki wa Arsenal wa Reddit wametoa maoni mchanganyiko juu ya kuonekana kwake Marekani na Kroenke.
Kuna walioshangaa kwanini hayupo kufkuzia saini za wachezaji ikiwa dirisha linaenda omega na waliosema ameenda kubembeleza pesa.

Someone said Stan yupo kwenye mood nzuri kwakua timu yake pendwa, The Rams, wanatakiwa kushinda mechi moja tu ili kwenda kwenye super bowl.
Screenshot_2022-01-25-09-34-26-09_b72a20be883aec8a014bd2b7c7038e87.jpg
 
Arteta yupo Marekani na Kroenke. Mashabiki wa Arsenal wa Reddit wametoa maoni mchanganyiko juu ya kuonekana kwake Marekani na Kroenke.
Kuna walioshangaa kwanini hayupo kufkuzia saini za wachezaji ikiwa dirisha linaenda omega na waliosema ameenda kubembeleza pesa.

Someone said Stan yupo kwenye mood nzuri kwakua timu yake pendwa, The Rams, wanatakiwa kushinda mechi moja tu ili kwenda kwenye super bowl.
View attachment 2094801
Hahahaha hii picha sio ya zamani kweli ?kama ni ya sasa basi nakaa kimya fans wataendelea kupiga kelele huku Master Kroenke anaingiza billions kupitia Arsenal hajali results zozote zile,Arsenal kufungwa na big 6,hajali Arsenal kushindwa kuplay champions league,hajali kwa lolote,Arsenal itakuja kuwa timu tishio pale Management yote itakaposepa kuanzia kroenke Edu na huyo Arteta
 
Hiyo ni screenshot ila ni video wanaangalia mechi.

For years kirusi ni Kroenke.
 
Back
Top Bottom