Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,240
- 76,773
Wakati naandika kwamba tumetolewa FA, Carabao na tutatolewa top four Will Jr alikua bize kupinga na stori na takwimu zake mbalimbali.
Kuna vitu mtu anakuja kukuambia siyo vya ukweli na anatafuta angle ya kuingiza argument mpya kila muda na unashangaa anatoa wapi moyo huo.
Kuna kitu cha msingi itabidi tuelewe na tukubali kitu chenyewe ni kuacha kuishi ndotoni.
Ukiiangalia timu jinsi inavyocheza. Kikosi na wachezaji waliopo unapata picha wapi timu inaenda, wengine hua wanaelewa wengine hua hadi abishe asikie raha.
This is bullshit