Well kwakua yuko vizuri pengine alikua sahihi kuhusu alichokidaiHuyo jamaa yuko vzr kwenye analysis za mpira, lkn kuna muda huwa anajizima data kwa vitu ambavyo vipo obvious kabisaa
Kuna kipindi tulikuwa na arguement kuhusu Man U na Solskjaer. Anakwambia player profile ndo inafanya Man U iboronge na wala siyo kocha😅😅😅


