Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Saudi Arabian club Al Hilal want to sign Arsenal striker Pierre-Emerick Aubameyang, 32, on loan and are prepared pay all of the Gabon international's £350,000-per-week wages and include an option to make the deal permanent in the summer. (Mail)

AC Milan, Juventus, Marseille, Paris Saint-Germain and Sevilla have all enquired about Aubameyang's availability. (Sky Sports)

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Vs Nottingham Forest reason ya kupoteza ilikuwa ni hii ya Unfit au uzembe wa players plus coach?
Arteta man management yake uwezo wake umeishia hapo. Daima ana moments za kuwafurahisha kisha kuwahuzunisha. Game ya away na Fools ile sare tuliishina kwa gharama za kupoteza Game ya Pili.
 
2 last weeks nlisemaga Arteta anajua kungata na kupuliza huwa Arsenal anaweza akapata positive results hata games 4 in a row but akianza kufungwa anafungwa mfululizo anakaa upya anaanza tena you can't imagine timu kubwa kama Arsenal mpaka sasa 2022 haijashinda game hata 1,kuna my friend today ananiambia Arsenal kafungwa na Liverpool ni results za kawaida nkamuuliza first game tuna red card tena Anfield na tukapata draw why coach aamue kubadili formation tena Lokonga ndiye pekee yupo analinda timu?akakosa jibu

For now on Kroenke anastahili kuondoka akija new owner tena mpenda Arsenal mambo yatabadilika kwa kipindi kifupi sana
 
Kwa sasa naenjoy ujinga wa timu. Kubishana na watu wenye mwono finyu juu ya mwenendo nimeacha.

Kifupi our direction is not what we need. Ila kwa waajiri wa Arteta as long as kelele za wale mashabuki wenzetu wa UK wamenyamaza hawana tatizo na kibarua cha Teta. Kelele zikianza kama zile za Gudiibining nae watakula kichwa bila kupeoesa Macho.
 
4141 hiyo ni 433 LCM - ESR, RCM- MØ, lone 6 Lokonga.

Ukisema 4231 hapo kwenye 2 angekaa nani na nani kama Partey hakuanza? au ulitaka aweke pivot ya Patino X Lokonga? au tunaulaumu tu ilimradi tumeamua kulaumu
Am well versed kwenye formations na unyumbulikaji wake hili nilishakuambia nahisi hauelewi.

Na nilivyoandika Arteta na Edu watatutoa carabao nahisi haujaelewa.

Na nilivyoandika Arteta na Edu watatutoa top four nahisi haujaelewa.

Surprisingly majibu yapo hapo hapo. At one point usisome ili ujibu soma ili uone alichoamaanisha mtu.
 
Kwa sasa naenjoy ujinga wa timu. Kubishana na watu wenye mwono finyu juu ya mwenendo nimeacha.

Kifupi our direction is not what we need. Ila kwa waajiri wa Arteta as long as kelele za wale mashabuki wenzetu wa UK wamenyamaza hawana tatizo na kibarua cha Teta. Kelele zikianza kama zile za Gudiibining nae watakula kichwa bila kupeoesa Macho.
Wanajipa matumaini na Top 4 but kwa upande wangu Arsenal top 6 au 7 atakuwepo ila kwa top 4 na mwenendo wa Arteta wa kungata na kupuliza huku Conte yupo serious sidhani hata Manchester United yupo sawa na Arsenal mmoja akiteleza tu kwa heri for example tuna siku 9 za usajili middle imepwaya but up to now kimyaaaa tuna Xhaka (mzee wa foul na red cards hatabirikagi) Partey (huyu majeruhi ni kawaida) anabakia Lokonga(laini laini ila hapatagi sana injuries) what do you expect kwa timu kama Arsenal?let's wait and enjoy the show
 
Arteta man management yake uwezo wake umeishia hapo. Daima ana moments za kuwafurahisha kisha kuwahuzunisha. Game ya away na Fools ile sare tuliishina kwa gharama za kupoteza Game ya Pili.
Exactly.

First game with 4 2 3 1 you posed a threat. Unamaliza mechi kwenye mid kuna pengo la red, am sure hana vision za kujua kama Ghana wangetolewa.

Why hawakusajili kuanzia siku tunapostpone match? Na mpaka leo wapo tu hawajasajili.

Tulichokiona jana ndiyo tunaingia nacho kwenye ligi.
 
Am well versed kwenye formations na unyumbulikaji wake hili nilishakuambia nahisi hauelewi.

Na nilivyoandika Arteta na Edu watatutoa carabao nahisi haujaelewa.

Na nilivyoandika Arteta na Edu watatutoa top four nahisi haujaelewa.

Surprisingly majibu yapo hapo hapo. At one point usisome ili ujibu soma ili uone alichoamaanisha mtu.
Mkuu umeniquote kana kwamba kila comment yako naisoma humu, acheni kuongea hisia, wanaume tunaongea Facts, unaposema 4231 ingefaa nauliza nani na nani kwenye pivot, km xhaka anared card, partey hakuwa kwenye game plan ni masaa 7 toka atoke Afcon anakutana na hii mechi, hiyo pivot echeza nani na nani unapanga tu unavyojisikia.
 
Afu kitu kingine Arsenal Uefa tunaenda hizo zingine ni hisia tu, UEFA tunaingia.
 
Mkuu umeniquote kana kwamba kila comment yako naisoma humu, acheni kuongea hisia, wanaume tunaongea Facts, unaposema 4231 ingefaa nauliza nani na nani kwenye pivot, km xhaka anared card, partey hakuwa kwenye game plan ni masaa 7 toka atoke Afcon anakutana na hii mechi, hiyo pivot echeza nani na nani unapanga tu unavyojisikia.
Ni wewe ulikua unanichambulia formation nikakujibi formations nazijua. Na leo umerudia ndiyo maana nikaandika hivyo. Usikasirike.

Tuondoe hizi za kujihisi wewe mwanaume sana. Niambie wapi hauelewi, angalia ninachoandika halafu sema wapi hauelewi mpaka unahisi uanaume wako upo rehani.

Wametolewa kwa mkopo Niles, Nelson, Guendouz, Azeez players ambao wangeweza kucheza CM. Tukahusishwa na Bruno, Neves na Sanches kuziba pengo la CM.

Afcon imekuja imeondoka na Elneny na Partey, bado Edu na Arteta wanastall katika kusajili CM ikatucost FA dhidi ya Forest. Semi carabao with 4 2 3 1 tulikua vizuri Xhaka akala red means atakosa games za mbele.

At that point Arteta na Edu wanatakiwa kujua kuna urgent need ya CM/ DM lakini mpaka semi second leg inatukuta hatujafanya bid kokote. Hatujasajili so a formation that gave us advantage haiwezekani tena imebidi aopt 4 1 4 1.

Partey amefika kwavile Ghana wametoka mfano wasingetoka? Anyway akala red.
Means bado kuna urgent need ya CM/ DM yet bado Arteta na Edu wapo kimya juu ya usajili.

Hence Jpili dhidi ya Burnley tuna Lokonga na Patino kama viungo. Swali lako la kwahiyo aanze Lokonga na Patino ndiyo litapata jibu kuanzia Jpili.

Sasa logic ndogo kama hii unashindwa kuiona badala yake unataka facts sasa facts gani kama kila kitu kipo wazi kwamba Arteta na Edu wanatutoa top four pia?
 
Unasema unazijua Formation lakini unaonekana huelewi unachosema and that's why unalazimisha timu icheze na double pivot kana kwamba hakuna formations zingine .

Mikel Arteta alishatoka kwenye 4231 kitambo unapoona Xhaka x Partey haimaanishi tunacheza na double pivot, hiyo ni 433 ambayo Xhaka amebadilishiwa majukumu, ni vile Xhaka kwa profile yake anaexcel sana kwenye build up phases so muda mwingi anakuwa deep labda inakufanya uone ni doublepivot ila ndio nakwambia leo sio.

Arsenal tumepoteza mchezo hatukuwa na unfit players ESR, Tomiyasu,Saka, Lokonga wote wameonekana kustruggle, tutacheza vs Burnley 433, Lokonga as lone 6, ESR & MØ as 8s na tunashinda, tulishacheza against palace ni vile tulikosa aggression within press tukadraw mchezo.
 
Kwamba wametolewa kwa mkopo flani, flani, flani kwamba ni rahisi wanacheza tu sababu pisition zao ni CMs
 
Unasema unazijua Formation lakini unaonekana huelewi unachosema and that's why unalazimisha timu icheze na double pivot kana kwamba hakuna formations zingine .

Mikel Arteta alishatoka kwenye 4231 kitambo unapoona Xhaka x Partey haimaanishi tunacheza na double pivot, hiyo ni 433 ambayo Xhaka amebadilishiwa majukumu, ni vile Xhaka kwa profile yake anaexcel sana kwenye build up phases so muda mwingi anakuwa deep labda inakufanya uone ni doublepivot ila ndio nakwambia leo sio.

Arsenal tumepoteza mchezo hatukuwa na unfit players ESR, Tomiyasu,Saka, Lokonga wote wameonekana kustruggle, tutacheza vs Burnley 433, Lokonga as lone 6, ESR & MØ as 8s na tunashinda, tulishacheza against palace ni vile tulikosa aggression within press tukadraw mchezo.
Wewe haujanielewa.

Sijalazimisha tucheze ila nimesema tumeshindwa kucheza hivyo kwavile hatuna watu na hatujasajili.

Jitahidi kuelewa
 
Back
Top Bottom