computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Newcastle wapo very serious kwenye window hii
pia wanawake ndio wanaongoza kulalamikaIna maana fans wafanane mawazo?kimbilio lako wewe ni kuwa mtu ahame timu ndio solutions?una akili za kitoto sana wewe katika worldhii kamwe hakuna watu watakaofanana mawazo kamwe let people speak kila mahali iwe ofisini kwenye business au popote pale kamwe mawazo ya watu hayawezi kufanana so ndio maana unaona kuna boards za kufanya vikao na kutoa maamuzi na kinature wanawake ndio wanaoweza wakasusa but sio mwanaume aliyekamilika so relax and enjoy the conversations za watu
Ina maana umeamua kutukana baadhi ya fans wenye mawazo ya kukosoa humu kuwa ni wanawake?OK ok ohhpia wanawake ndio wanaongoza kulalamika

Stan anapenda watu wanaoweza kukubali kufanya kazi kwenye constrain budget. Arteta anatamani kuwa nabkukosi kama cha Pep kikicho na ubora ndani na bench, ila anaishia kupata Lukonga na Cedric.Arteta kasema soko lipo complicated dirisha hili hivyo ingawa wanajitahidi ila hatarajii kama kuna usajili mpya wowote utakaofanyika.
Taarifa zilisema ameenda USA kuongea na Stan juu ya kuhitaji kusajili dirisha hili. Hayajatoka majibu kama kapata green light ama la ila sasa hivi yupo Dubai.
Josh alisema kuna 250M kwa ajili ya dirisha la kiangazi msimu uliopita. Kwa usajili uliofanywa means kuna pesa imebaki, ila sijui kwanini hakuna uhakika wa kusajiliStan anapenda watu wanaoweza kukubali kufanya kazi kwenye constrain budget. Arteta anatamani kuwa nabkukosi kama cha Pep kikicho na ubora ndani na bench, ila anaishia kupata Lukonga na Cedric.
Siku wale wenzetu wa Landani wakichoka siasa za Stan na kutaka kuirejesha team kwenye enzi zake basi tutarudi kuwa na Arsenal yetu tukitoizoea, ila kwa sasa tuendelee kunywa mtori nyama ziko chini
1. Team haivutii wachezaji wakubwa au wenye potwntial ya kuwa wakubwaJosh alisema kuna 250M kwa ajili ya dirisha la kiangazi msimu uliopita. Kwa usajili uliofanywa means kuna pesa imebaki, ila sijui kwanini hakuna uhakika wa kusajili
1) Hii ishu ni complicated natoa mfano, Barca kwa ilipo imeshuka kutoka kwenye level tuliyoizoea lakini Dest aligoma kwenda Bayern ili aende Barca, Wijnaldum aligoma kwenda Barca akaenda PSG.1. Team haivutii wachezaji wakubwa au wenye potwntial ya kuwa wakubwa
2. Masharti ya installment za kulipa mfano namna alivyonunuliwa Saliba na Pepe malipa yamegawanywa kwa mafungu mafungu na yanalipwa zaidi ya miaka mitatu hadi mitano.
3. Mwalimu havutii wachezaji kuja kufanya nao kazi.
5. Hatuna project inayoeleweka na Malengo yetu hayaeleweki
6. Seriousness ya mwenye team kwa mipango yake na malengo ya kiu ya mataji
Tatizo hawapo, TR au Sanchez sokoni waliopo wote wanataka team zenye malengo na uhakika wa mataji walau kila baada ya miaka miwili. Sisi hatumo kwenye hiyo kalibaKwa kikosi tulichonacho kama wote wakiwa wazima dirisha hili tukisajili mid kama Rosicky (Sanches easy option) na ST wa mkopo Luka then we are good to go for the rest of the season kisha kikosi kitaimarishwa kiangazi.
Sasa waliojiunga United muda sawa na Pepe wangapi wameshapata taji? Unless by mataji umaanishe CL which will be irrelevant as timu haiwezi kua na uhakika wa kuchukua CL kila baada ya misimu miwiliTatizo hawapo, TR au Sanchez sokoni waliopo wote wanataka team zenye malengo na uhakika wa mataji walau kila baada ya miaka miwili. Sisi hatumo kwenye hiyo kaliba
Haeleweki kwa sababu tuna miaka zaidi ya 10 na project ya matumaini. Vijana wanakuja wanasubiri wanaona giza na kuamua kusepa. Mwishowe tunaanza na mzunguko mwingine ambao nao unachoka kusubiri na kusepa. Ni muda tu kwa sasa Saka, ESR, na wengine watapata kiu ya mataji na watatukimbia.1) Hii ishu ni complicated natoa mfano, Barca kwa ilipo imeshuka kutoka kwenye level tuliyoizoea lakini Dest aligoma kwenda Bayern ili aende Barca, Wijnaldum aligoma kwenda Barca akaenda PSG.
2) Kulipa kwa awamu siyo jambo geni. Na baada ya corona naona vilabu vingi vimeresort kwenye hii.
3) Hii ishu ni complicated pia, Arteta na Ole nani ana clue ya anachofanya? Ila kwa Ole wameenda wachezaji wenye potential mfano Bruno. Same can be said kwa Xavi hana trophy, katolewa del rey na Bilbao, katolewa CL yupo Europa (ambako tunaamini watatolewa pia) timu iko hovyo ila leo muda huu Tagliafico kakataa deals zote anataka kwenda Barca. Hiki ndiyo alikisema Arteta kwamba mchezaji anayetakiwa Arsenal ni atakayeona fahari kua pale.
4) Kivipi haieleweki?
5) Nakubaliana na wewe. Huyu anaikwamisha timu.
Arteta hana miaka 10 tho. He made it clear anahitaji uhakika wa usajili ili kupambania makombe.Haeleweki kwa sababu tuna miaka zaidi ya 10 na project ya matumaini. Vijana wanakuja wanasubiri wanaona giza na kuamua kusepa. Mwishowe tunaanza na mzunguko mwingine ambao nao unachoka kusubiri na kusepa. Ni muda tu kwa sasa Saka, ESR, na wengine watapata kiu ya mataji na watatukimbia.
Kifupi unapokuwa na vipaji vizuri na bya matumaini toka Ndani unahitaji kuwaongezea wakurungwa kadhaa ili kufanikiwa na wao waone fahari ya kuwa walipo. Ila kuwaacha hawa watoto wahangaike na kukukia hapo hapo na kuendelea kupishana na mataji ni sawa na kuwaambia mkichoka kusubiri mnaweza kwenda, na hili haliko mbali miaka miwili mitatu ijayo yatatimiabkwa Saka, ESR na machaliibwengine pontential.
Stan must go ili kukombolewa kutoka kwenye hili giza linalokaribia miaka 20 sasa.
Rejea maandiko yangu, hakuna mahala nimesema Arteta aondoke.Arteta hana miaka 10 tho. He made it clear anahitaji uhakika wa usajili ili kupambania makombe.
Also niliwahi sema hakuna kocha mkubwa mwenye rekodi zake atakubali kuja Arsenal ya Stan kwakua kocha mkubwa hana time na kubembelezana katika kusajili.
So ukisema Arteta aondoke means ataletwa kocha wa mid table mwingine ambaye kazi yake itakua kuhakikisha timu haishuki daraja.
Tutake tusitake Arteta ni wa kumvumilia tu.
Aliproject kuingia CL by thirs season. Tusubiri tuone.
hapo kwenye ufinyu wa kikosi nakubaliana n wew kbsaArteta kimbinu bado hajafeli. Ameipindua defense iliyosemwa haifundishiki mpaka kua namba tatu kwa ubora katika ligi ameifanya timu icheze huku ina plan.
Kinachomfelisha wachezaji. Kuwa na wachezaji wala red na watoa maboko ndiyo kulisababisha msimu uliopita mashabiki wadai kichwa cha Arteta.
Msimu huu kuna idadi ya wachezaji ana amani nao timu inaonekana kuna kitu inataka. Na yeye akasema tunahitaji viungo na washambuliaji, dirisha limefunguliwa bado hatujapeleka bid kokote, zaidi ya wiki nyuma kuripotiwa na Romano kwamba Arsenal inaongea na wakala wa Dusan. Hakuna popote ilipoguswa stori ya viungo.
Dusan was long shot kwanini hatuna plan B ya endapo tungemkosa Dusan? Au Melo? Arsenal hatujawahi kua na kocha mbaya tangu Wenger aondoke kuanzia Emery mpaka Arteta, Wenger alilificha tatizo la Kroenke vizuri ila kwa mpira wa siku hizi wote tunaona nani ana shida.
Ukisema Stan ana shida kuna mtu anakuuliza mbona sasa sisi ndiyo big spenders last summer yaani kama vile hajui kuanzia hiyo last summer ndiyo Arsenal kapokea pesa ya Stan. Kama mnakumbuka mtoto wa Stan alisema wamejiandaa kuhakikisha Arsenal ina exceptional transfer window, hilo dirisha lilikuja na Lokonga, Tavares na wenzao.
Mashabiki wanatarajia miujiza. Kwamba Arteta achekeche tunguli ghafla Lokonga awe na uwezo wa Vieira, Auba form irudi vitu ambavyo haviwezekani. Kwenye huu uzi Dusan kaandikwa siyo chini ya mara 50 ila leo Juve anaondoka na Dusan.
Timu haivutii mchezaji kujidumbukiza humu. Mainly kwakua Arteta anakuza profile yake bado na timu haitarajii kuingia UCL. Kwa sasa timu yetu tatizo lake ni ufinyu wa kikosi na Stan na siyo kocha.