Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
ESR has been a spectator
Lacazette naye kiaz anapaisha ile nafasi hafu analilia konaNiwatoe hofu washika mitutu wenzangu, mechi ikiisha kwa sare yeyote inaamuliwa kwa mikwaju ya penalty
Hii mechi ni knockout you basically throw everything you have to go through.Arteta kwenye prematch amejibu hilo swali, kasema Partey ana masaa 7 tu tangu arejee kutoka Cameroon kwahiyo asingeweza kuingia kwenye timu moja kwa moja
Enhe tunafanyaje hapa?Niwatoe hofu washika mitutu wenzangu, mechi ikiisha kwa sare yeyote inaamuliwa kwa mikwaju ya penalty
Huo ni ukweli mkuuNilivyoandika Arteta na Edu wanatutoa Carabao ni kwakua timu imepoteza kikosi yet hakuna mpango wa kukijazia.
So hizo games za ligi mnazosema ndiyo zimesababisha Partey awe nje notice kwamba kikosi unachokiona leo ndiyo hicho hicho kitacheza hizo games za. Ligi.
So I can add kwamba Arteta na Edu wanatutoa kwenye top four.
Bado sikubaliani nawe mkuu.Nilivyoandika Arteta na Edu wanatutoa Carabao ni kwakua timu imepoteza kikosi yet hakuna mpango wa kukijazia.
So hizo games za ligi mnazosema ndiyo zimesababisha Partey awe nje notice kwamba kikosi unachokiona leo ndiyo hicho hicho kitacheza hizo games za. Ligi.
So I can add kwamba Arteta na Edu wanatutoa kwenye top four.
Sasa hivi washakuwa Idiot wetu, yaani wewe humo???Ningeshangaa kama leo isingetoka redcard kwa haya ma- idiot yenu
Sasa hivi washakuwa Idiot wetu, yaani wewe humo???
Kwahiyo kama wanakukatisha tamaa ndio unakuwa sio wachezaji wako tena??Wananikatisha tamaa na redcard
Yaani timu ikifungwa kuna baadhi ya mashabiki sio timu yao, ila ikishinda na wao ndio Arsenal fans.
Tunatofautiana personalityYaani timu ikifungwa kuna baadhi ya mashabiki sio timu yao, ila ikishinda na wao ndio Arsenal fans.
Mkuu kwa upande mmoja ni maumivu ila kwa upande mmoja ni faida pia kwa matokeo haya.ukichunguza for more than five years huqa tunakuwa serious na usajili mara tu timu inapopata matokeo mbaya .Hatuna strategies clear za usajili ambazo ni "timely"Sio baadhi ya mashabiki, be specific “me”