Vipi umelala mkuu???Ila xhaka dah... Kanitoa kibanda umiza mapema kabisa, nmegundua akuna sabab ya kuchelewa kulala
Hao watu au wehu???You know football 👌
Watu wanamlaumu Xhaka bila kuweka facts! Wanalaumu lakini hawaulizi defenders walikuwa wapi hadi Xhaka atoke kati kukimbia kumfuata Jota.
Unajipa tabu bureeeeee mkuuNiliwahi kuandika humu 70% ya Arsenal fans and supporters they know nothing about football. Xhaka wasn't a defender, mabeki walikuwa wapi?
Akha! inafikirisha kweli, sema ni watu lakini hisia zinachukua nafasi pakubwa kuliko uhalisia.Hao watu au wehu???
That means jembe xhaka atakuwa hayupoMbona umesema atakosa mechi mbili na Spurs wanashangilia?
Ni kwa sababu ya Mikel Arteta.hii aseno imetengemaa sana sikuizi
All credits to Mikel ArtetaNice performance from lads today.![]()
Arthur???Liverpool next Thursday tutakuwa na, Arthur, Smith Rowe, Odegaard, Tomiyasu... Mna uhakika mko tayari kweli au mtaomba mechi iahirishwe?
KakimbiaNawaambieni Gunners wenzangu, kuna eti washabiki wa Arsenal humu walitaka tufungwe ili wapate kuchonga ngenga
ingekuwa mwanzo wa mvua ya magoliKwangu xhaka amechangia arsenal kupata draw! Jota angefunga pale haya matokeo yasingepatikana ingekuwa mwanza wa mvua ya magoli.
Hakika, maana unaambiwa Xhaka asingelijaribu kuokoa mpira. Alitikiwa kuacha Diogo afunge. 🤔Nawaambieni Gunners wenzangu, kuna eti washabiki wa Arsenal humu walitaka tufungwe ili wapate kuchonga ngenga
Yeah inawezekanaKwangu xhaka amechangia arsenal kupata draw! Jota angefunga pale haya matokeo yasingepatikana ingekuwa mwanza wa mvua ya magoli.
Arsenal have accelerated talks to sign Arthur Melo on loan in the past few hours, and are trying to get him in before the North London Derby. He’ll have to be registered by midday tomorrow in order to be involved against Tottenham on Sunday.Arthur???
Mataga watapinga.Kwangu xhaka amechangia arsenal kupata draw! Jota angefunga pale haya matokeo yasingepatikana ingekuwa mwanza wa mvua ya magoli.