Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
How many 20Yos get this treatment every week?
Ndiyo nini hiki umeandika?Ase8 tunawasubiria fainali, liverkuku watatoka hawana ujanja wa kushinda bila salah na mane.
The blues vs Ase8 itakuwa fainali nzuri sana.
Tieleman had summer, Arthur ngoja aje tumuone, barca huwa wanajuta kumuachaKati ya Miguel na Patino niliamini Miguel ataanza pata game timu mbele ya Patino, mambo yamekua kinyume.
Ripoti zinadai Arsenal imevunja loan deal ya Miguel hivyo anatarajiwa kurudi kuimarisha mid.
Kwangu hii inamaanisha Arsenal haina matarajio ya kusajili hivi karibuni, fununu zilikua juu ya Bruno na Renato ghafla zimehamia kwa Arthur na Tielemans.
Arthur atasaidia kulinda kuliko kushambulia nafikiri ni option nzuri kama unataka timu inayozuia lakini mid ya kusaidia magoli ni Renato au Tielemans.
Kuna kitu tunaenda kukirudia hapa.
Sisemi ana ubaya huo ila nasema ni kiungo wa kusapoti ulinzi kuliko ushambuliaji
sawaSisemi ana ubaya huo ila nasema ni kiungo wa kusapoti ulinzi kuliko ushambuliaji
Not many at all.How many 20Yos get this treatment every week?
View attachment 2080236
Saint Anne karibu nyumbani uje kunywa sulu ya jogoo keshokutwa.Ase8 tunawasubiria fainali, liverkuku watatoka hawana ujanja wa kushinda bila salah na mane.
The blues vs Ase8 itakuwa fainali nzuri sana.
Una utani wewe
Walevi tumewakosea nini tena kakamkubwa?Hawa watu sijui ni walevi hawa???!!!!!
Miguel amerudishwa kwa sababu hapati namba na sio kuwa arsenal wanataka wamtumie.Kati ya Miguel na Patino niliamini Miguel ataanza pata game timu mbele ya Patino, mambo yamekua kinyume.
Ripoti zinadai Arsenal imevunja loan deal ya Miguel hivyo anatarajiwa kurudi kuimarisha mid.
Kwangu hii inamaanisha Arsenal haina matarajio ya kusajili hivi karibuni, fununu zilikua juu ya Bruno na Renato ghafla zimehamia kwa Arthur na Tielemans.
Arthur atasaidia kulinda kuliko kushambulia nafikiri ni option nzuri kama unataka timu inayozuia lakini mid ya kusaidia magoli ni Renato au Tielemans.
Kuna kitu tunaenda kukirudia hapa.
Labda kama huo mpira mimi sijaangaliaLikitokea deal wanamtaka xhaka, basi auzwe tu
Pale xhaka alitakiwa azuie njia au amfanyie disturbance tu. Wachezaji wengine wangekuja kutoa msaada
Laiti tungekua 11vs11 Liverpool alikua anakufa ata goal 3
Kama ukiangalia kabla ya red kadi, tulikua na domination huku tukikabia juu
Baada ya red card tulipak bus
Samahanini walevi hahahaahahhaWalevi tumewakosea nini tena kakamkubwa?
Juve wao wanamtaka Bruno watuachie Arthur ila pesa ndio hawanaKati ya Miguel na Patino niliamini Miguel ataanza pata game timu mbele ya Patino, mambo yamekua kinyume.