isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,562
Samahani mkuu kuzungumzia nafsi yako but I believe still wakulaumu wasingelikosa.Duh, kwa hiyo umeni- judge hivyo!!! Funny
Samahani mkuu kuzungumzia nafsi yako but I believe still wakulaumu wasingelikosa.Duh, kwa hiyo umeni- judge hivyo!!! Funny
Atakosa mechi na Tottenham na mechi ya marudio ya hii Carabao na mechi ingine ya Ligi.Ndiyo atakosa three game lakini siyo ya ligi. Au red ya kwenye carabao inafika hadi kwenye ligi?
Spurs si kwenye ligi au?
Kweli anavyoeleza Richard, Xhaka atakosa mchezo wa Spurs pia.Ndiyo atakosa three game lakini siyo ya ligi. Au red ya kwenye carabao inafika hadi kwenye ligi?
Spurs si kwenye ligi au?
Sifahamu ndiyo maana naona unakosea kujumuisha na game ya ligi. So ilivyo ni kadi za carabao zinaextend mpaka kwenye ligi?Atakosa mechi na Tottenham na mechi ya marudio ya hii Carabao na mechi ingine ya Ligi.
Mkuu, nilidhani unafahamu hii kitu.
Yes, ni kwa all domestic games.Sifahamu ndiyo maana naona unakosea kujumuisha na game ya ligi. So ilivyo ni kadi za carabao zinaextend mpaka kwenye ligi?
Arsenal wana chance ya kushinda kama wakitoa sare hii game.Duh what a chance by Saka!!!!
Sifahamu ndiyo maana naona unakosea kujumuisha na game ya ligi. So ilivyo ni kadi za carabao zinaextend mpaka kwenye ligi?
Kama ndivyo basi kazi tunayo. Itabidi White acheze kama midYes, ni kwa all domestic games.
Ingekuwa Arsenal wana Champions League game Xhaka angecheza.