Jota angelifunga goli na kugundua aliyekuwa anamfukuza ni Xhaka sasa ungelikuwa unajadili – Xhaka amemsindikiza mtu afunge.That is not an excuse, ubongo wake unge- improvise, ukaruhusu hata Jota akafunga goli than to commit an offense that will leave the team with 10 men
Tena umenikumbusha hivi lokonga atacheza na nani kwenye midfielder vs Spurs?maana Lokonga naye ndiye amelegea kabisa sijui jpili kama ntaangalia mechi nipunguze preshaNIlitaka kumtetea lakini ninakuunga mkono.
Xhaka ni experienced player na alifahamu alikuwa anafanya nini.
Hata hivyo, Ramsdale pia alivyoamua kutoka golini angeendelea kwenda mbele kwa Jotta angeweza hata kuokoa kwa kichwa na hivyo ndivyo makipa mahiri hufanya.
Ni common mistakes za Xhaka ndizo zinatugharimu.
Arsenal wana game na Tottenham ambao saa hii wanachekelea kwa kudhani tutapwaya kwenye midfield Jumapili tena kwao.
Xhaka atamiss 2 games tena important games, shame.
Arsenal wakazanie juhudi wamsajili Arthur Melo haraka iwezekanavyo aje atusaidie pale kati maana Sambi Lokonga bado mwepesi sana.
Hoya hii ni Carabao.NIlitaka kumtetea lakini ninakuunga mkono.
Xhaka ni experienced player na alifahamu alikuwa anafanya nini.
Hata hivyo, Ramsdale pia alivyoamua kutoka golini angeendelea kwenda mbele kwa Jotta angeweza hata kuokoa kwa kichwa na hivyo ndivyo makipa mahiri hufanya.
Ni common mistakes za Xhaka ndizo zinatugharimu.
Arsenal wana game na Tottenham ambao saa hii wanachekelea kwa kudhani tutapwaya kwenye midfield Jumapili tena kwao.
Xhaka atamiss 2 games tena important games, shame.
Arsenal wakazanie juhudi wamsajili Arthur Melo haraka iwezekanavyo aje atusaidie pale kati maana Sambi Lokonga bado mwepesi sana.
Weye wataka tu kujisifia wafahamu football?Niliwahi kuandika humu 70% ya Arsenal fans and supporters they know nothing about football. Xhaka wasn't a defender, mabeki walikuwa wapi?
Bro swali langu ni Moja why Xhaka ?why Xhaka?sawa mimi sijui football ila nakuuliza why xhaka?Arsenal ina lot of players but why Xhaka?ukinjibu hili ntakaa kimya
Wakirikiri sifahamu hiyo?Hoya hii ni Carabao.
Game na Spurs ni ligi.
Ni ishu mbili tofauti.
Jota angelifunga goli na kugundua aliyekuwa anamfukuza ni Xhaka sasa ungelikuwa unajadili – Xhaka amemsindikiza mtu afunge.
Mbona umesema atakosa mechi mbili na Spurs wanashangilia?Wakirikiri sifahamu hiyo?
Mimi naongelea kwenye upangaji wa timu.
Arsenal wamepoteza mmoja wa DMs
Arsenal lazima itashinda sababu liability hatokuwepo.Tena umenikumbusha hivi lokonga atacheza na nani kwenye midfielder vs Spurs?maana Lokonga naye ndiye amelegea kabisa sijui jpili kama ntaangalia mechi nipunguze presha
Xhaka atakosa 3 games kwasababau amepata straight red card (dangerous tackle)Mbona umesema atakosa mechi mbili na Spurs wanashangilia?
Oke, Granit alitakiwa kufanya nini?Weye wataka tu kujisifia wafahamu football?
Kwani ni nani amesema Xhaka ni defender?
Xhaka ni DM hivyo alijua Tierney yupo juu, hivyo akajipa jukumu la kumkabili Jota.
Pia Xhaka ni marksman kwa Jota.
Xhaka ni Pro player... sitaki kuamini akujua risk aliyochukua katika iyo move... pindi alipotaka kucheza huo mpira, alijua wazi akiukosa mpira na kucheza mtu na ikiwa yeye ni mchezaji wa mwisho katika shambulizi nini kingefata!Xhaka katika akili hakufikiri “Lazima nipate Red Card nitoke” fikra ilikuwa kuondoa mpira kabla ya Jota kuuchukua.
Ndiyo atakosa three game lakini siyo ya ligi. Au red ya kwenye carabao inafika hadi kwenye ligi?Xhaka atakosa 3 games kwasababau amepata straight red card (dangerous tackle)
Gabby alikosa mechi moja Nottingham Forrest) kwasbabu alipata kadi mbili za njano ndani ya game moja na ikawa red card.
Ndo maana Gabby yumo uwanjani leo.
Alitakiwa kutumia akili na experience.Oke, Granit alitakiwa kufanya nini?