lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,373
- 25,474
Ukiondoa lugha za kuudhi na za majigambo kinachobaki sio ushabiki na mpira hautanoga tukiwa wote diplomats wa kuongea kama brother au sister. Ndio maana hata mtu anaacha TV yake ya HD ndani anaenda kwenye kibanda umiza ili tu akafuate ushabiki huo na majigambo yake. Mkomae basi kwenye ushabiki wa mpiraUnatafuta kujua kama watu wana lugha chafu vidoleni mwao au umeteleza tu kuandika huu uzi umeubandika!?
