Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mikel Arteta has done such a great job at Arsenal. They’re only two or three big signings away from becoming a serious threat.
Nimemshangaa sana mysterio alivyosema eti ni Bora xhaka amemuacha Jota afunge. Mimi najua huyu jamaa anajua mpira sasa sijui kimemsibu nini.Kwangu xhaka amechangia arsenal kupata draw! Jota angefunga pale haya matokeo yasingepatikana ingekuwa mwanza wa mvua ya magoli.
Hawa watu sijui ni walevi hawa???!!!!!Hakika, maana unaambiwa Xhaka asingelijaribu kuokoa mpira. Alitikiwa kuacha Diogo afunge. 🤔
I want to congratulate him.Arteta..
"Today we played against the odds and proved that we are a fighting and balanced team. I want to congratulate the players."
I agreeMikel Arteta has done such a great job at Arsenal. They’re only two or three big signings away from becoming a serious threat.
Walevi wapuuzweUnaikumbuka Arsenal yenye red inavyokua? Na hii ya leo tena against Liva? Bado kuna mtu anakuambia anaona Arteta ni mzigo pale emirates hafai aondoke.
you believe that if it would have been 11 vs 11 tungefungwa kwa hali ya mchezo ilivyokuwa? hayo mahaba sasa. Jota angefunga lile goli lingerudi na kuongezwa mengineNimemshangaa sana mysterio alivyosema eti ni Bora xhaka amemuacha Jota afunge. Mimi najua huyu jamaa anajua mpira sasa sijui kimemsibu nini.
Leave alone that situation, SUAREZ LUIS alidaka mpira nadhani kwenye goal line in WORLD CUP akijua kabisa analolifanya. Na URUGUAY ilishinda ile game japokuwa SUAREZ alijua kuudaka mpira ni straight red card na angekosa semi final.
Hawa watu sijui wamecheza hata huo mpira???? Responsibility ya kwanza ya any defensive player ni kudefend goal lisifungwe/lisiingie. Hata kama ni kwa gharama ya red card (ikibidi)
Kwa kweli aiseeee.Kwa nini AMN alienda Roma wakati TP na ME wapo afcon, hivi arsenal walifikiria vizuri kweli?