Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hakuvutwa shati bali alishikwa shati na hajaanguka kwa hiyo sababu ila penati ilitolewa kwa sababu hiyo. Sawa refa ametoa penati lkn je ni kosa la kumwagushia zigo Xhaka??
We unadhani hiyo sio lawama, mko mbele ya city, kisha unafanya kosa kama hilo ndani ya box, hilo kosa halipaswi kufanywa na mchezaji, hasa katika mazingira tuliyonayo, tunapambania nafasi ya 3-4,

Yeye na gabriel zigo hawawezi kulikwepa.
 
On His Day...Partey ni Mnyama tena Mnyama Mkali Haswaaaa....

Tangu Msimu Uanze Hii ndo Big Game Tumeingia Tumeshiba Kila kitu Mbinu,Juhudi,Maarifa,na Kila Kitu kizuri ...Tulichokosa ni Ukatili Mbele ya Lango Lao...
How I Wish Hii Game Ingeisha Kipindi Cha Kwanza Tungetoka na Goli 2-0 ingekuwa Rahisi Kumeza Pressure na Kutulia na Kumiliki Mpira Zaidi..
Ahsante sana Referee na Team Nzima ya VAR ..mmejua Kutudhulumu Leo Kwa kiasi Chenu... Ile ya Gabriel Wangeweza Kuzima tuu kama foul ya kawaida game ingeendelea na ile penalty ya Odergaard wangeenda Kwenye VAR kuangalia pia...
Hii Game imethibitisha kuwa mfululizo wa matokeo tulivyokuwa tunapata haikuwa bahati Mbaya wala Game Rahisi ni Mabadiliko makubwa mno yamefanyika kwenye uwanja vya mazoezi..
Leo nimeishuhudia Arsenal Niliyokuwa Naitaman sana Tangu Arteta Amekuja..Yes hatuna Quality ya City wala Liverpool ila tunaweza kuingia na Game plan yetu nzuri na tukapambana na kuwapa Game ngumu team Yeyote..Sio Kinyonge kama Tulivyokuwa Mwanzo ...
Team Yetu Saivi Ukiiangalia kila idara imeunganishwa vyema imebaki kuongea Quality kwenye kila idara team itakuwa tam Hii kama Chupa ya Mirinda kwa Yule Dada..
Tumepoteza Game ila Tunajivunia Mengi katika game ya Leo na uzuri sio kila game tutacheza na City kwaio wale wa Size yetu tuhakikishe tunapata pointi za kutuweka pazuri
Ilibidi tupate mtu mwingine jamii ya partey, mido mnyumbulifu ni mzuri haswa kwa timu zinazokaba jamii ya city na liver, wakija wawili anadash anaturn kwa adui anaanza moja ila mido jamii ya xhaka, akipewa mali basi atairudisha huku huko ilipotoka mpira kama una moto
 
Rodri on #Arsenal: "You play these kind of matches only two or three games a season.. They are an incredible team and they show why they are in this position. The way they are growing with Mikel is just huge.”

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Kiukweli hata mimi jana arsenal wamenikosha na ndio maana game ya jana ni game iliyoniuma zaidi kwa miaka ya hivi karibuni.
 
Kiukweli hata mimi jana arsenal wamenikosha na ndio maana game ya jana ni game iliyoniuma zaidi kwa miaka ya hivi karibuni.
Game ya msimu uliopita against liva Laca anaanza kuscore.

Timu ilikua haionyeshi determination wala hamu ya kupambana jana was different na kiukweli matokeo ya jana hayajaniuma considering timu ilipambana. Hua zinaniuma mechi ambazo tunapigwa halafu timu inaonekana shaghala baghala.
 
Natumai umeona mtu anadiriki kumtukana my mother sababu ya Mpira hivi nikimjibu tena kwa matusi makali ntakuwa na kosa?but nimemsamehe Mungu atamlipia
Thats growth and self control.

Mtu ukiwa unaoga bafu la nnje chizi amipita na taulo lako ukitoka uchi kumfukuza watu watasema Kichaa yupo uchi anamfukuza mtu na sio vinginevyo. Wewe umekataa kumfukuza Ukiwa uchi na utafsiriwe wewe mwenye shida Kichwani

Nimependa matumizi yako ya Busara na kusamehe.

Thats sportsmanship broda.
 
City kutufunga amezidi kuwaacha Chelsea na Liva this means Liva anaweza pitisha msimu mwingine bila kikombe hili litasababisha akomae na trophy yoyote atayoweza ipambania that includes carabao so hii Alhamis nadhani watakuja wamenuna.
 
Wakija wamenuna tutawapasua Vibaya. Labda VAR na Refs wawe upande wao kama kawaida tulivyoziea
 
Bado wanapigika tu. Muhimu wachezaji wetu waongeze concentration iwe 100% kwa match yote. Na yale makosa yatokanayo na concentration hayatakuwepo.
Kuwaepuka divers kama Salah na Mane, the concentration we need
 
Arsenal's bright future shines, this is Bukayo Saka.
IMG_20220102_215438.jpg
 
I hope mneangalia Game ya Fools VS Chel$ea,

Kesho tukiwa na Muda tuiongele tactically and Players maturity kwenye kila Position.

Kisha tufanye comparison na team yetu kisha tuconclude are we on the right track au bado sana kufikia level hizi za ushindani!?
 
Game ya Leo Liverpool vs Chelsea ,,,, harafu umuweke arsenal katikati ... unafikili Nini kingetokea kama sio kupigwa goli 8-0
 
Game ya Leo Liverpool vs Chelsea ,,,, harafu umuweke arsenal katikati ... unafikili Nini kingetokea kama sio kupigwa goli 8-0
Usisahau pamoja na terminologies zote unazoweza kuzitumia kuelezea ubora wa Chelsea, Liverpool,man city na man u kama vile squad depth, maturity of players, squad discipline, pressing skills, holding skills,class of each individual na pitch performance ya solo players,,,,,,bado there is something you have no guts to mention it.that something is BAHATI.
Hili it's up to heavens to decide.
 
I hope mneangalia Game ya Fools VS Chel$ea,

Kesho tukiwa na Muda tuiongele tactically and Players maturity kwenye kila Position.

Kisha tufanye comparison na team yetu kisha tuconclude are we on the right track au bado sana kufikia level hizi za ushindani!?
So Arsenal is the youngest team in the Premier league, and you want to compare players' maturity against other sides, and you get majority of comments for this one? Are you serious?
 
Game ya Leo Liverpool vs Chelsea ,,,, harafu umuweke arsenal katikati ... unafikili Nini kingetokea kama sio kupigwa goli 8-0
We nae mbona uko obsessed na Arsenal, mtu mzima unashabikiaje timu ya 2011, shida ya kutazama soka ukubwani hii
 
We nae mbona uko obsessed na Arsenal, mtu mzima unashabikiaje timu ya 2011, shida ya kutazama soka ukubwani hii
Mkuu ule mkiki mkiki wa wanaume harafu uwaweke kina tomiyasu ,sijui lukonga Wala ulojo wa Zanzibar ni kula kipondo cha goli 8+
 
Back
Top Bottom