Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Brilliant & Class Clarifications – Unafahamu how football works na law of nature & realism. The entire world imeona Arsenal, Stuart Attwell na Manchester City, ni baadhi tu ya watu waliochagua mlengo wao wanaona Xhaka pekee, at the same time huoni hata wakigusia Gabriel Magalhães unafahamu kwa nini?

Verisimilitude – Katika kila jambo kuna kitu Verisimilitude au Verismo yaani Uhalisia! Uhalisia recently katika dunia umetoweka hasa ikichagizwa na mfumo wa ukuaji katika jamii tofauti. Kutoweka kwa uhalisia au realism imeleta suala linalosabisha haya yote ambalo ni EXCUSES.

Excuses – Ni hali ya kupunguza lawama na kujaribu kutafuta faraja katika fikra. Excuses ni against realism chanzo cha mafanikio. Linapotokea kosa au kupoteza mtu hakubali uhalisia anatafuta faraja kwa kutoa lawama na kujiona hajapoteza.

Xhaka Scenarios – Xhaka anacheza na 10 others players against 11 others, both sides zinaamini katika ushindi – Realism inaonyesha hata opponents wanahitaji na kuweza kushinda kwa maana hachezi pekee yake, wachezaji ni human sio AI na Robotics. Tumewahi kujiuliza zinapofungwa Sheffield United, Bunley FC au Cystal Palace na wao wanalenga mchezaji kwa kuona ndio chanzo?!

Excuses zinaambatana na hali ya Negativity mindset/thoughts katika kila angle mtu anatizama jambo kwa mtazamo, hisia na mlengo hasi. Hivi ndio Xhaka anavyotazamwa, atafanya kosa gani na hata lisipotokea kosa likatokea jema hapewi credit maana mhusika amekuwa outshined against willing yake. Verismo inaonyesha unapotafuta ubaya utapata na ukitafuta uzuri utapata.

Partey, Tierney, White, Gabriel, ESR, Lacazette, Ødegaard, AMN and more wote ninaweza kuorodhesha makosa katika mechi mbalimbali zaidi ya makosa 5 kwa kila mmoja lakini sifanyi excuses kwa sababu ni uhalisia katika football na ninatizama katika neutrality observational.

Arsenal Fans – Kwa asilimia kubwa uongozwa kwa hisia kuliko uhalisia. Remember this! Yanayotokea kwa Xhaka, yaliyotokea kwa Özil na sasa Aubameyang baada ya miezi kadhaa utayaona kwa favorites players like Tomiyasu, Partey, ESR, Odegaard au mchezaji yeyote. Once upon a time Xhaka, Aubameyang & Özil walikuwa fans favourite.

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
There's a reason why referees from the PL doesn't officiate international matches. The level of inconsistency is shocking. They need to VAR their own VAR decision of whatever they are judging decisions upon.

to be fair, the ref did wave away silva's penalty call.. but VAR stepped in and called the ref to the monitor.. wished could have listened what was said between the VAR officials and the ref and how the overturn decision was made.

One of the pundits said "we should get the ref for a post match interview as well and listen how and why certain decisions were made"

What was Gabriel's first yellow for? Understood the second, but what was the first for?

Holding's first offence was booked.
Saka simply argued a case and was booked.
City's player were rampant through out the game and was booked only in 95th minute.

Inconsistent officiating costs us.
Why not allow Man City to score the same way Arsenal did. I thought they never wanted any team to score with penalty after denying Arsenal a clear penalty in the first half.

When we thought we were going to watch one of the best games of the year where it was looking like Man City will not score because it was becoming obvious that Man City aren't gonna score but the officials turned the game into a joke with their stupid and biased decisions.

I have never seen a match that Man City looked like they aren't gonna score like this one. I'm quite sure that they wouldn't have awarded that penalty if it happens to be in Arsenal's favour especially after being ahead. VAR was brought to add value to the game and not to ruin the game.

The level of inconsistency by the VAR handlers are making the games not interesting anymore. Man City will still win the league even if they lost to Arsenal so why not allow the match to be fair to enable them win it by merit.
 
Tusubiri wakati wetu ukifika. Season waliyonyakua Fools Ubingwa VAR ilikuwa Yao, last season walau ilikuwa fair ingawa Arsenal mara vhache sana wamekuwa wanufaika wa VAR, records zinaonesha maumivu zaidi ya VAR kuliko furaha, RED CARD, penalties both given against us and denied in our favour.

Season hii tumenyumwa pen aginst both Manchester, red ambazo walitakiwa kupewa wapinzani, of recently ya Kick on back kwa Bukaya sikumbuki ilikuwa game against nani, pia stamping on Face vs Everton but VAR went missing.

VAR ni technolojia ila ufaniso wake unategemea refs hawa hawa wa epl ambao wako biased so sitarajii kunufaika nayo.

Imagine Mick Dein awe gorofani kisha utegemee maajabu ya matumizi ya VAR kuinufaisha Arsenal!?

May be kuoaza Sauti wasimamizi wa EPL wanaweza kususpend some refs kuwapa adabu kama walivyowahi kufanya huko nyuma.
 
Finally The Arsenal are back, bring me a top CF, bring me a top CM to destroy the Premier league.
 
Credit to Mikel kwa sababu Pressing shape ya Arsenal iliweza kuwanullify vizuri Man city wakiwa 3-2/2-3 in build up.

Man city walishindwa kuplay out from the back paka Ederson alipoamua kubypass our first line of press.
 
Arteta kafanya nini hapo Emirate?
Wachezaji walewale kandanda tofauti kabisa na Arsenal tunayoufahamu more than 10 yrs ago
Attscking minded clinical, ball cotrol, agressive and confident.
You deserve top 4 and more
Wale wachezaji sita waliosajiliwa the last window wamekuwa na impact kubwa kwa Arsenal, Arteta alikuwa anakosa wachezaji wanaoelewa his tactical excution.
 
Arteta kafanya nini hapo Emirate?
Wachezaji walewale kandanda tofauti kabisa na Arsenal tunayoufahamu more than 10 yrs ago
Attscking minded clinical, ball cotrol, agressive and confident.
You deserve top 4 and more
Kaacha kupark bus baada ya kuongoza game pia kamdrop auba kitu kilichopandisha morale ya kujituma na nidhamu kwa wachezaji
 
hujielewi
Nilichogundua mashabiki wa Arsenal wa hii forum hawakukubali Computerarsenal hata,kidogo na wameshakuchoka sababu mnajua wenyewe labda sababu ulivotangaza kuhama club au labda kama wanavodai hujui mpira kama member wanavyodai. Kilichobaki ni kuwa member wanatumia technique ya kukuprovoke ukireact tu wanaungana wote wanakuattack either directly or indirectly.

Mfano huyu Lokonga hapa anamprovoke Computerarsenal intentionally ila Computerasrenal akijibu tu member wote watamjadili Computerarsenal kuwa ana matusi bila kumjali aliyeanzisha.

Baada ya match mkuu Synthezire alimuita Computerarsenal (CA) ms*nge ila jamaa alivoreact member wote mkamuattack CA pasi na kumjadili kabisa huyu Synthezire( jina sijui nimeparia).

Kuna member kasema hapo juu kamsemea kuwa aliyemzaa CA kala hasara member hamjaliona hili labda kwa kuwa mshamchoka haitakii watu watukaniane wazazi.

Kuna baadhi ya member hujiona wao wachambuzi sana na wanajua mpira kuliko wengine. Sasa wakiwa wanabishana na CA wao humkosoa na kumwambia hana knowldge ya mpira (ushahidi rejea mijadala ya nyuma) ila computerarsenal akijibu tu kwa kuwaita na wao wana low IQ wanadai anajadili bila hoja.(Hawa hii ndio technique yao tena hawa ndo hawakukubali kabisa bora wale wanaojionesha wazi).

Hii inawahusu member wote wakiongozwa na Castr,dully jr,synthezire,Lokonga nk wengine majina siwajui sijui mlianzia wapi na huyu CA mpaka kumuona kirusi kwa group. Kilichofanya niandike bandiko hili ni kuwaambia ya kuwa kama mtu hamumkubali msitumie mbinu indirect za kumprovike then akishakua exposed basi mnamuattack kama ilivotokea baada ya mechi ya m city. (Kuweni real).

Mimi ni mtanzania tu aliyeamua tu kutoa maoni yake na wala sifungamani na upande wowote.

Mkuu Demi shukrani kwa kumtetea bwana Computerarsenal dhidi ya hawa wanagroup wenzie.
 
Tusubiri wakati wetu ukifika. Season waliyonyakua Fools Ubingwa VAR ilikuwa Yao, last season walau ilikuwa fair ingawa Arsenal mara vhache sana wamekuwa wanufaika wa VAR, records zinaonesha maumivu zaidi ya VAR kuliko furaha, RED CARD, penalties both given against us and denied in our favour.

Season hii tumenyumwa pen aginst both Manchester, red ambazo walitakiwa kupewa wapinzani, of recently ya Kick on back kwa Bukaya sikumbuki ilikuwa game against nani, pia stamping on Face vs Everton but VAR went missing.

VAR ni technolojia ila ufaniso wake unategemea refs hawa hawa wa epl ambao wako biased so sitarajii kunufaika nayo.

Imagine Mick Dein awe gorofani kisha utegemee maajabu ya matumizi ya VAR kuinufaisha Arsenal!?

May be kuoaza Sauti wasimamizi wa EPL wanaweza kususpend some refs kuwapa adabu kama walivyowahi kufanya huko nyuma.
Tena Mike Dean ndo hampendi kabisa Xhaka, ana fanya chochote na wakati wowote
 
Nilichogundua mashabiki wa Arsenal wa hii forum hawakukubali Computerarsenal hata,kidogo na wameshakuchoka sababu mnajua wenyewe labda sababu ulivotangaza kuhama club au labda kama wanavodai hujui mpira kama member wanavyodai. Kilichobaki ni kuwa member wanatumia technique ya kukuprovoke ukireact tu wanaungana wote wanakuattack either directly or indirectly.

Mfano huyu Lokonga hapa anamprovoke Computerarsenal intentionally ila Computerasrenal akijibu tu member wote watamjadili Computerarsenal kuwa ana matusi bila kumjali aliyeanzisha.

Baada ya match mkuu Synthezire alimuita Computerarsenal (CA) ms*nge ila jamaa alivoreact member wote mkamuattack CA pasi na kumjadili kabisa huyu Synthezire( jina sijui nimeparia).

Kuna member kasema hapo juu kamsemea kuwa aliyemzaa CA kala hasara member hamjaliona hili labda kwa kuwa mshamchoka haitakii watu watukaniane wazazi.

Kuna baadhi ya member hujiona wao wachambuzi sana na wanajua mpira kuliko wengine. Sasa wakiwa wanabishana na CA wao humkosoa na kumwambia hana knowldge ya mpira (ushahidi rejea mijadala ya nyuma) ila computerarsenal akijibu tu kwa kuwaita na wao wana low IQ wanadai anajadili bila hoja.(Hawa hii ndio technique yao tena hawa ndo hawakukubali kabisa bora wale wanaojionesha wazi).

Hii inawahusu member wote wakiongozwa na Castr,dully jr,synthezire,Lokonga nk wengine majina siwajui sijui mlianzia wapi na huyu CA mpaka kumuona kirusi kwa group. Kilichofanya niandike bandiko hili ni kuwaambia ya kuwa kama mtu hamumkubali msitumie mbinu indirect za kumprovike then akishakua exposed basi mnamuattack kama ilivotokea baada ya mechi ya m city. (Kuweni real).

Mimi ni mtanzania tu aliyeamua tu kutoa maoni yake na wala sifungamani na upande wowote.

Mkuu Demi shukrani kwa kumtetea bwana Computerarsenal dhidi ya hawa wanagroup wenzie.
Tulia dingi usome comment maelezo marefu yanachosha kusoma.
Tunashukuru kwa ushauri.
 
Arsenal tulikua hovyo misimu kadhaa nyuma katika hiyo misimu ilikua tunafungwa na Villa, tunafungwa na Leeds na Leicester kila timu ilikua na chansi ya kuondoka na point kwa Arsenal.

Msimu huu mambo yamebadilika, tumeweza defeat mid table teams nyingi na baada ya Auba kutolewa na magoli yamekua mengi pia.

Kwa mtu anayefuatilia Arsenal anaona tumepiga hatua kutoka kutokua na uhakika tukicheza mpaka sasa hivi. Yaani tukifuata rekodi Arsenal tupo katika msimu mzuri ukilinganisha na misimu iliyopita. Arsenal tupo nafasi ya nne lakini kipindi hichi msimu uliopita Arsenal tulikua nafasi ya 8.

So tuko in a right track.

Kisha computerarsenal anasema timu bado iko pale pale haijafanya lolote kwakua timu tulizozifunga ni mid table. Unamwambia sasa mbona mid table hizi hizi zimetunyang'anya sana point? Hauoni sasa hivi tumekua vizuri tuna uhakika wa kuzifunga hizi mid table teams?

Anahamisha mada kwamba kipimo ni kuzifunga big six ndiyo itaprove kua Arteta ni kocha mzuri, unamuuliza kama anajua Arteta amechukua trophy against hao big six Chelsea na Liva? Na kama Arteta alishafanya hivyo mbona hujawahi sema huyu ni kocha mzuri amechukua trophy against big six two times.

Akasema Arsenal hatujawafunga big six tangu Arteta aje nikamuuliza mbona United hajaifunga Arsenal kwenye ligi tangu 2018 mpaka msimu huu? Akaniuliza Arsenal tulivyofungwa na united desemba 2 nilikua nimelewa au nimelala?

Sasa huyu mtu nimfanye nini? Yaani yupo active kutafuta kubishana nimesema mpaka msimu huu yeye anakuja na kejeli za nimelewa nimelala na anataja tarehe ya msimu huu. Naomba uniheshimu haunijui sikujui usirudie kunitaja katika deal ya computerarsenal kuhusu mpira.
 
Nilichogundua mashabiki wa Arsenal wa hii forum hawakukubali Computerarsenal hata,kidogo na wameshakuchoka sababu mnajua wenyewe labda sababu ulivotangaza kuhama club au labda kama wanavodai hujui mpira kama member wanavyodai. Kilichobaki ni kuwa member wanatumia technique ya kukuprovoke ukireact tu wanaungana wote wanakuattack either directly or indirectly.

Mfano huyu Lokonga hapa anamprovoke Computerarsenal intentionally ila Computerasrenal akijibu tu member wote watamjadili Computerarsenal kuwa ana matusi bila kumjali aliyeanzisha.

Baada ya match mkuu Synthezire alimuita Computerarsenal (CA) ms*nge ila jamaa alivoreact member wote mkamuattack CA pasi na kumjadili kabisa huyu Synthezire( jina sijui nimeparia).

Kuna member kasema hapo juu kamsemea kuwa aliyemzaa CA kala hasara member hamjaliona hili labda kwa kuwa mshamchoka haitakii watu watukaniane wazazi.

Kuna baadhi ya member hujiona wao wachambuzi sana na wanajua mpira kuliko wengine. Sasa wakiwa wanabishana na CA wao humkosoa na kumwambia hana knowldge ya mpira (ushahidi rejea mijadala ya nyuma) ila computerarsenal akijibu tu kwa kuwaita na wao wana low IQ wanadai anajadili bila hoja.(Hawa hii ndio technique yao tena hawa ndo hawakukubali kabisa bora wale wanaojionesha wazi).

Hii inawahusu member wote wakiongozwa na Castr,dully jr,synthezire,Lokonga nk wengine majina siwajui sijui mlianzia wapi na huyu CA mpaka kumuona kirusi kwa group. Kilichofanya niandike bandiko hili ni kuwaambia ya kuwa kama mtu hamumkubali msitumie mbinu indirect za kumprovike then akishakua exposed basi mnamuattack kama ilivotokea baada ya mechi ya m city. (Kuweni real).

Mimi ni mtanzania tu aliyeamua tu kutoa maoni yake na wala sifungamani na upande wowote.

Mkuu Demi shukrani kwa kumtetea bwana Computerarsenal dhidi ya hawa wanagroup wenzie.
Thanks kiongozi
 
Arsenal are the first team in @premierleague history to recieve 100 red cards

100 - Arsenal
99 - Everton
89 - Newcastle
 
At one point Arsenal tulikua tunapoteza mechi na kusuluhu na kila timu ilikua miyeyusho kuifuatilia timu na katika kipindi hicho pia katika huu uzi ilikua tunaweza kujikuta watu wawili au mmoja.

Katika hicho kipindi ilikua ngumu huu uzi kuwakuta mashabiki wa timu zingine humu ilikua ni kama vile kila mmoja kashajua Arsenal anatakiwa kufungwa mashabiki wa Arsenal wakawa wanaingia kuchungulia ila siyo kucomment.

Maisha yakaendelea mpaka game na chelsea tuliyoshinda 3 watu wakaanza kuja ila safari hii ji kumsema kocha na wachezaji. Msimu mpya ukaanza na vipigo, kocha akazidi kusemwa, tulisema sisi, zikawa nyingi.

Halafu tukaanza kushinda ila kimiyeyusho, baadaye tukawa tunashinda convincingly hapa sasa ndiyo mashabiki wengi wakarudi hapa sasa ndiyo kila mtu anamquote mwenzake ili kumshushua au kumuambia ana IQ ndogo au kumuambia haelewi mpira.

Since hizo wins vimezuka vitabia vya kitoto, mtu atakuquote kusema ulichoandika siyo sahihi ukimwambia athibitishe madai yake anakimbilia jibu la 'Una IQ ndogo' 'Hauelewi mpira' 'Umeshinda wewe' haya yamekuja pamoja na mashabiki wa timu zingine kuja humu kuandika wanachoandika hawa sina shida nao as shabiki wa timu nyingine kukuharass ni given.

Ila mtu anayeclaim yeye ni Arsenal halafu anakuquote kukuandikia katika namna ya kumaanisha actually anataka mbishane au ameamka tu siku hiyo na kuchagua kua mpuuzi.

Sasa hivi tumefika kwenye kutukanana. Yaani mtu anaamini yeye anajua mpira kiasi kwamba ukimwambia alichosema siyo sahihi wewe ni msenge huna akili unatakiwa kuchokonolewa.
Matusi yamezidi, inabidi tukemee hii tabia kwa nguvu zetu zote..
 
Kuna tofauti kubwa sana ya Mashabiki walioziea kuiona Arsenal ya Makombe na Wale waniaipenda wakiwa na upungufu wa mataji.

Ukiirejea rekodi toka sisi wa kitambo kidogo wakati epl hasa inaanza kuruka TZ miaka ya 97/98 Arsenal ilikuwa haichagui wa kufunga awe Manyua au Upupu (Fools) Nyukasto wakati huo wakiwa wa moto.

Hoja za anayesema Arsenal bado hatujapiga hatua ni kulingana na Matarajio ya kuiona inarejesha makali yake yaliyokoma 2005.

Kwa wanaosema imepiga Hatua reference yao ni uwezo wa kupambana na midtable team.

Kwa hoja hizo kila mmoja yupo sahihi.

1. Kuzifunga team ndogo na kusema tumepiga hatua ninsahihi - ila expectations ziko low. Hakuna mawazo ya kuchukua Ubingwa.

2. Kuzifunga team ndogo na kusema bado tunapiga marktime - expectation za U ingwa hizi, ndiko Arsenal inakotakiwa kurejea.

Mwisho wa siku Tukubali kutokukubakiana na huu unakuwa msingi wa Heshima Baina Yetu.

Jana nilikuwa naangalia mpira na Mwana hatufahamiani wote ni Arsenal, tulikuwa na mazungumzo mazuri hadi ilipofika Sub ya Elneny, mwana alimsifia Jamaa anapiga kazi chafu sana, jibu langu kwake lilikuwa Sioni improvement from Denilson... Then nikitukanwa na kuambiwa sijui mpira. I respected him na kuhama meza kuepusha shari kitoka kwenye matusi toka kwa mtu nisiyemfahamu.

My point is tujifunze kukubali kupingwa tunapowasilisha mada, maana kwenye kupingwa kama hujajengwa basi unawajenga wanaokupinga. Mwisho wa siku furaha inatawaka baina yenu.

Matusi ni sehemu ya frustration unaweza kuta mtu ana mambo yake binafsi yanamaonga bahati mbaya ukaingoa kwenye 18 anakumalizia hasiara zote. Tujifunze kufunzwa na wenzetu.

Tupingane kwa hoja na sio Matusi. Sisi ni wakomavu zaidi ya matusi yetu.
 
Arteta kafanya nini hapo Emirate?
Wachezaji walewale kandanda tofauti kabisa na Arsenal tunayoufahamu more than 10 yrs ago
Attscking minded clinical, ball cotrol, agressive and confident.
You deserve top 4 and more
Mheshimiwa lembu boli tunalihamishia London mkuu....
Relax.
Enjoy the process

Back
Top Bottom