Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 37,920
- 75,770
Nilifikiri tumepona ugonjwa wa kuchukua mababu huku wanavuta mishahara ya kufa mtu. Alienda PSG kwakua waliweka ofa nene mezani angetaka kucheza angeenda Barca.Georginio Wijnaldum amekosa namba PSG,Arsenal inafikiria kumchukua
Hii isiwe kweli.

