Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,631
- 3,543
Tutawapa kampani wala msijali mkuu.....
mmmhhhh......kazi itakuwepo leo....kwa ugeni ambao tayari upo....sipati picha!!
Tutawapa kampani wala msijali mkuu.....
nasikitika umeme umekatika .....nitawamiss sana the gunner fans wenzangu.....sitaweza kulala nitakuwa tu nawaza......mechi ikiisha nicheke au nilie.....umeme ukirudi nami nitajumuika nanyi tena......VIVA ARSENAL....GOODLUCK TODAY!
i know WE CAN, we have done it before and we can do it again!!!
Kwii kwii kwiii kwiii kwiiii!
Sikuona Gunners wanafanya hivi juzi wakati unapigwa magoli leo kono mbele hata wakati bado una matanga. Manda Matanga yatakwisha kwenu mtakaposhinda mechi hivi sasa bado uko kwenye msiba na Bundi ndio huyo yuko gado Old Trafford.
mmmhhhh......kazi itakuwepo leo....kwa ugeni ambao tayari upo....sipati picha!!
Hahahahaa! swtheart! angalia usije mtilia husband chumvi bidala ya Sukari katika ghahawa yake uchezee kichapo mara mbili.....
Na kama stima hakuna basi injoi hapa live bila chenga;
1. http://atdhenet.tv/34137/watch-arsenal-vs-barcelona
2. http://www.magedtv.net/ch1.html
3. http://www.vipfast.net/ch1.html
4. http://www.jouj.eu/ch1.htm
5. http://www.tvoo.eu/ch1.html
6. http://www.myp2p.eu/broadcast.php?matchid=105119&part=sports
Leo hakuachii, utasingizia hadi Dawasco, lakini wapiiiiiii...hapaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
nasikitika umeme umekatika .....nitawamiss sana the gunner fans wenzangu.....sitaweza kulala nitakuwa tu nawaza......mechi ikiisha nicheke au nilie.....umeme ukirudi nami nitajumuika nanyi tena......VIVA ARSENAL....GOODLUCK TODAY!
i know WE CAN, we have done it before and we can do it again!!!
kwa huu ugeni wa leo nimeruhusiwa kuja kukesha hapa....manake wanaume hawawezi wageni wenye fujo kama Manda,Belinda,Mfarisayo,Papizo.....Rev Masa is missed jamani......!!!! nitakuwepo hapa mkuu labda charge iishe!!
Mkuu MBU yupo wapi???mimi nimeshaingia hapa mapema kabisa,tutakuwa pamoja guys......maana nasubiria nikiona leo mtakavyo nyweshwa mbege.....
Hahahahaa! swtheart! angalia usije mtilia husband chumvi bidala ya Sukari katika ghahawa yake uchezee kichapo mara mbili.....
Na kama stima hakuna basi injoi hapa live bila chenga;
1. http://atdhenet.tv/34137/watch-arsenal-vs-barcelona
2. http://www.magedtv.net/ch1.html
3. http://www.vipfast.net/ch1.html
4. http://www.jouj.eu/ch1.htm
5. http://www.tvoo.eu/ch1.html
6. http://www.myp2p.eu/broadcast.php?matchid=105119&part=sports
Ukiona mwenzio ananyolewa..................
Hayawi hayawiiiiii.........................
La mgambo likilia...............................(Hahahahaha)
Za mwizi..................................(Ze Gonnaz)
Usicheze mbali unga.................................(woooote..!)
Mtoto leo hatumwi........................................(Wacha1, Michelle, Mbu, AW, Quest, Blntd,....et al)
Ujanja wa samaki ndani ya nini?......................................... (asshOOls)
Kitendawili; Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na nani...............................? (Mama=Manure, jibu=Barca)
Kelele za chura.........................(ww hapo)
Kelele za Mbu...................................(Sio Mbu wa JF Lol!).
:wink2::blah::blah::blah::blah::A S 13::hand::decision::A S 13::A S 13::decision:
Ndo maan mi siwezi kuwa mshabiki wa timu nyingine....nimesema kilio changu nimesaidiwa website....watu wa Arsenal wana roho safi sana!
Husband nimempa likizo leo....tusionane wala kuulizana maswali ya ajabu.....kama ninalo la kumuambia nitamwambia tu mwenyewe.....:mullet:
..Nipo bana...
...acha fujo wewe, mi website yote ya nini hiyo? au unataka kuharibu computer za wenzio na Virusi? Babu wa Loliondo hana tiba ya Trojan bana!
Khekheee kheeeeeeeeeeeee! (nimecheka ki-wacha1 wacha1 hiviiiii)...
Leo Mkuu upo hewani, guud! asa Mkulima na Padre feki wasipate la kukusemea....Haya twende kazi, mwanzo mwisho!
Waaaaacha Booooooooy !
Mkuu kama nipo Live Emirates siwezi kuwa hewani JF hiyo yote ya kina Coward Peasant na Rev Bandia Masanilo ni WIVU tu hawana lolote kazi yao kubwa ni kubebwa na kutumia nguvu za giza kutoka kwa head wa MAFIOSO.
BTW nimeona anga za juu Rev Masanilo ... ... banned