Hii mechi kwangu ni kubwa kuliko ya Barcelona, vijana lazima watumie zana zote.
bonge la save kipa wa sunderland.
Nasri mbona kamnyima Ben pale?
Ni raaha saaaaana kumuona Dogo Ramsey pale kwenye benchi.....may be A.W atampa hata dakika kumi akamue....
tuko pamoja wakuu kila la kheri gooners.