Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

I can feel we are dropping one after another, if we couldnt do Carling what can we stand for?????? Disgusted!!!
 
I can feel we are dropping one after another, if we couldnt do Carling what can we stand for?????? Disgusted!!!

attachment.php

 
...Life Should Go On...

Aaron-Ramsey.jpg


Welcome Home "Rambo!"
 





Kina Peasant weshalala, wanasubiria wawindaji kama watampata Bundi.
Anyway, nimekumbana na tangazo hili...

funny-cole.jpg

Once a Gunner Always A Gunner!...lakini si kihivyo dogo, utafungwa!
 
Dah watani leo nilikua nataka mnyanyue kwapa lakini ndo hvyo tena..............kazeni buti maana hadi leyton Orient watataka kumchezea babu sharubu.
Poleni sana wazee
 
Lakini mimi naona Arsenal inabidi ibadilike kwenye strategy yao ya kusajili naona system wanayotumia haifai England.
Ingawa timu inapata faida lakini mashabiki hawana cha kujivuni......barca wanaongea tunakaa kimya coz wana good football na vikombe vipo ila kwa arsenal kila siku timu haijakomaa lini itakoma na kila siku watu wana fanya player poaching.........
 
Nauliza tu wajameni....kwamba tanga mnaanua lini.....labda mei....?
 
wenger_1260885a.jpg
DEVASTATED ... Arsenal boss Wenger

Heshima kwako Wacha1.

Mkuu vipi tena mbona leo mkali kama pilipili ebu angalia picha ya Mr Bean uenda ukapunguza munkari




 
Nauliza tu wajameni....kwamba tanga mnaanua lini.....labda mei....?

...yataka moyo mkuu, it's a roller coaster ride lakini tutafika tu.
We are the Gunners, Together We Stand!
 
In the aftermath of the defeat some of Arsenal's players, including club captain Fabregas - missing with an injured hamstring - used the social networking site Twitter to offer their apologies and ask for the fans' continued support:
Cesc Fabregas: "Congratulations to Birmingham. This team has great potential and there are still great targets to play for this season. Thanks for your support."
Robin van Persie: "I'm very sorry that we didn't bring Carling Cup back to north London! Thanks for your support today! Sorry again!"
Bacary Sagna: "Just feel ashamed... sorry."
Jack Wilshere: "All I can say is sorry to the fans. It hurts a lot I know but we must all stick together, still in three other comps! We have to move on! Sorry."
 
We are still waiting for Wenger to Prove to the world that " Football is not all about Money" ili tumuheshimu na tumpe u sir kama Mzee fugie.
 
Tukiweza kumzima zigic kwenye mipira ya juu kwisha kabisa, nilikuwa namuogopa martins kwa nguvu zake naona kaanza bench.


kila la kheri gunners.

Yaani wewe unafaa sana kwenye uchambuzi wa mpira.
How did you know these two could be the killers?
 
Poleni sana watani mana mwenyewe kiliniuma japo siyo Gunners...wapi BAK,AW, Wacha1,kweli,Mbu et al...??!!
I feel for AW masikini but ndio mpira!!
 
Hey Blues let us Beat Man U on Tuesday - I hope Cheseafc will be having a lot of funs on that Game esp. funs wa jukwaa hili - ha ha ha.

Ngoma ya watoto bado haikeshi tu (joking...) anyway Poleni - we will bit Man U kuwafariji muwasongelee.
 
wenger_1260885a.jpg
DEVASTATED ... Arsenal boss Wenger

Heshima kwako Wacha1.

Mkuu vipi tena mbona leo mkali kama pilipili ebu angalia picha ya Mr Bean uenda ukapunguza munkari


Usiwe na shaka kujikwaa sio kuanguka. Bora tumelikosa maana tungechukua mngesema onea buji tumelikosa. Wacha tuwapigilie msumari chacha kwenye EPL na CL bila kusahau FA cup.
 
Usiwe na shaka kujikwaa sio kuanguka. Bora tumelikosa maana tungechukua mngesema onea buji tumelikosa. Wacha tuwapigilie msumari chacha kwenye EPL na CL bila kusahau FA cup.



Weka picha tuone mnavyoshughulikiwa na Zigic na Martins!
 
Back
Top Bottom