Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pole sana Michelle, ndio mpira huo dada angu.

asante sana,naipenda Arsenal sana,bado ile furaha ya kuifunga BARCA ninayo....life goes on.....keep up the faith gunners wenzangu,who knows what tomorrow will bring?:rain:
 
Kwanza poleni watani..then daaaaah!, sijui nisemeje ila my worry ni kile alichokisema Eqlypz, Domino effect, for years now timu yenu imekuwa ina fail kutoka katika defeat situation nightmare/hangover, pengine ndiyo sababu u have been allegedly called 'kids'.

Ngumu kukubali lakini ukweli unabaki kuwa in the next two to three weeks, Arsenal msipojiangalia you will be out of ALL competitions, wth an exception of EPL run may be. Mark my word, na kama unataka;- tu-bet. Tunaanza Camp Nuo, mm kazi yangu kuhesabu tu. MOJA!
Good lucky though.

Alamsiki waungwana.
 
Hivi wadau Arsenal tuna mkosi gani? mbona mechi za muhimu na za kugangamala tunafungwa au tumejitahidi sana sare? Mfano ni mechi ya leo na Birmingham city yaani tunafungwa dakika za majeruhi! Kwa kweli inavunja moyo sana.
 

Wala hatuna shaka timu tunayo wachezaji tunao its just a matter of time ... .... karibu sana


duh...heartbreaking... To say the least

For you ofcourse not us!

Miye nimeishiwa nguvu kabisa!...Duh! Ndiyo matatizo ya kutosajili wacheza wazuri maana pengo la wachezaji wawili tu linaleta matatizo makubwa kuliko inavyostahili. Poleni sana wana GUNNERS wenzangu.


Usijali mkuu ndio soka hiyo .... ...

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, You can't even win a Mickey Mouse cup at Emirates!!!!

Kama ni hivyo ulikuwa unaangalia ili iwe nini? You're a loser mate!

wacha1.... leo zamu yako ndugu yangu, cheklo lako tu

Khe khe kheeeeeeeeee khekeheeee eheheheeeeeeeeeeeeee...

poleni and its just one out of four


It does not bother me nilisema long time wanoko wote wanangojea siku ambayo Arsenal atapoteza game and fortunately its today ... our attention is on the next match.

Ndio matatizo ya kusajili wachezaji wavivu kujifunza lugha! lol! BTW poleni sana wakuu! i feel for you mannn! to me you desreved to win this BUT unlucky!

You do not need to feal for us feal for yourself mate. Soccer is about winning and sometimes you lose a game here and there. If you do not know that you shouldn't be a fan.

Six years and counting, Emirates ina nuksi itabidi tuchunguze labda ilijengwa juu ya makaburi. Bundi karudi nyumbani rasmi!!

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!

Wewe tunakufahamu Wivu unakusumbua.

ARSENAL mkiambiwa hamjui mpira na experience hamna bado mnalalamika,wachezaji utoto utoto mwingi.....imekula kwenu hiyo.......hahahahah

Sijui siku zote uko wapi ukiangalia EPL ambayo ndiyo competitive tupo pale juu sasa kama unabeza mpira wa Arsenal ni mwendawazimu.
 
Hivi wadau Arsenal tuna mkosi gani? mbona mechi za muhimu na za kugangamala tunafungwa au tumejitahidi sana sare? Mfano ni mechi ya leo na Birmingham city yaani tunafungwa dakika za majeruhi! Kwa kweli inavunja moyo sana.

Hakuna goli lililofungwa kwenye majeruhi angalia fact zako bila kukurupuka.
 

Sawa tutawaachieni nyinyi mshinde.
 

Ndio tutasubiri huko mbeleni tuone wachezaji wetu watarudi vipi. kwa sasa naanda majamvi hapa na turubai kwa kati yenu na chelsea mmoja wenu aje kuazima jumanne lol.
 
Mwaka jana kipindi kama hiki Wenger alisema hivi 'It's very important that we win something,' Wenger said.
'We're here to win trophies. But it
depends on what you call trophies.
Is it the Champions League, the
Premier League, the League Cup? If
you win the League Cup, for me, you
cannot say that you win trophies.' karma is a bitch mr wenger.
 


Wacha longolongo weka picha hapa jinsi mnavyopigwa bao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…