OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Hahahaha mashabiki ya arse8 yanagombana wao kwa wao hahahaha...
Kweli hii timu ishakuwa takataka.
Kweli hii timu ishakuwa takataka.
Kwa hiyo ligazzete linapakuwa wenzie visamvu?? Hii ilipofikia arse8 ?? Kupakuana ndo uamuzi wa bodi yao naona.Arsenal kwl matatizoView attachment 1921966
Huyu bellerin ni shoga muda tu anapakuliwa. Hapo kwako Pepe ndo nimebaki najiuliza zile pound million 80 zilitumika kumleta ili aje apakuliwe hapo arse8??!!Wazee wa kupakuana View attachment 1919371
Huyu mjapani wa watu asije ingizwa kwenye michezo michafu ya kupakuana mavi.Tomiyasu ni inverted RB at least kocha anapata watu muhimu, good move good signing
Huyu mjapani wa watu asije ingizwa kwenye michezo michafu ya kupakuana mavi.




Mou hakufeli United. Na kama ile unaiita failure basi hii ya Arteta pale Arsenal itakua damage, far more than a failurePoint yangu hujaielewa kumbe, Soka linabadilika ndio maana nimekupa mfano wa Mou kufeli United na Spurs wala sijamcompare na Arteta, kinachoangaliwa sasa ni kocha mwenye understanding na Mordern football ndio unaona Nagelsmann 34 anapewa Bayern au unadhani ameachieve kitu gani cha kufundisha Bayern ? Sema huna hoja naona unadefend your ego.
Ukweli mtupu japo unaumaMou kweli alifeli Spurs na Utd, ila katika kazi yake kupitia Porto, Inter na Chelsea aliprove ubora wake na ndio maana hata Spurs na Utd walimchukua kutokana na CV,so husijipe moyo eti sababu Mou kafeli ukataka kumlinganisha na kocha wako.
Kocha anayefundisha Bayern huwezi mlinganisha na Arteta,kisha fundisha Hoffenheim ,RB na tena kama hujui Bayern hawachukui magarasa kama sisi na hawana moyo wa kuvumilia upuuzi kama sisi Nagelsmann akizingua naye kibarua hana.
Halafu huyo Arteta ana uelewa gani na modern football,labda sijui mwenzetu mpaka sasa unaona nini kwa Arteta unaweza kunisaidia.
Sioni sehemu niliyo defend my ego, ila hata UKATAE UHALISIA NA KUENDEKEZA MAHABA nyeusi itabaki kuwa nyeusi hata upimp vipi, kwa kifupi ARSENAL KOCHA HATUNA na timu hamna na dirisha ndio hilo limefungwa.
Cha msingi tuendelee kuhesabu makuti huku wenzetu wakihesabu nazi na madafu.
Kama jamaa anasema pep hakua na CV yoyote kabla ya kuwa kocha wa barca basi huyo achana naye. Anaonekana anaongozwa zaidi na mahabaFacts zipi unazungumzia andika CV ya Arteta na mimi ni andike ya Nagelsmann au ndio umeamua kubisha? Sasa mimi na ww nani anaongea maneno ya kanga? WE KUBALI KATAA ILA TIMU HUNA, KOCHA HUNA NA TAJIRI MBAHILI. Halafu Barca na Bayern style ya uendeshaji tofauti na hiyo timu yako.
Halafu Pep alikuwa na watu gani wakati anapewa Barcelona? na Pep ilimchukua kipindi gani kuprove uwezo wake huwezi linganisha na huyo kocha wako.
Timu ina hali mbaya wewe unataka maswala ya trial and errors, halafu unajilinganisha na Bayern & Barca ambao wako serious kwenye uendeshaji wa timu zao.
Safi. Nimeuliza hili swali somewhere. Kama mou ni failure basi arteta ni damageWanaosema Mou alifeli Man utd na Spurs sielewi ni vigezo gani wametumia. Ukimshtumu kwa tabia za ugomvi nitaelewa ila siyo uwanjani. Alikuja Man Utd akiwa na kikosi kibovu kabisa lakini ndani ya misimu mitatu alichukuwa makombe 3 ikiwa na pamoja na kuchukua Europ na mara moja akimaliza ligi akiwa wa pili, hebu tuambie Ole ni msimu wa ngapi, kachukua nini, wachezaji waliosajiliwa na majuzi kaongezewa mkataba.
Kuhusu Tottenham aliikuta ni ya 14 kwenye ligi,mwishowe kamaliza nadhani wa 5, kafukuzwa msimu ukiendelea na akiwa finali na Man City.Huwezi ita vitu hivi kuwa ni failure.
Wahuni sana hawa jamaaLacazzete huyo anaangalia mali yake
![]()

Alikua anafundisha timu gani kabla ya Barca ya wakubwa?Kama jamaa anasema pep hakua na CV yoyote kabla ya kuwa kocha wa barca basi huyo achana naye. Anaonekana anaongozwa zaidi na mahaba
Speaking of his CVAlikua anafundisha timu gani kabla ya Barca ya wakubwa?
Timu ya wakubwa aliikuta ina nani na nani kama forwards?Speaking of his CV
Just a year after announcing his retirement from football following a short-lived spell in Mexican football with Dorados, Guardiola was appointed as the manager of Barcelona’s B team and tasked with leading the team to promotion.
It was an unenviable task. Barcelona’s second string had been on a downward spiral for a number of years and had just suffered the ignominy of relegation from the Segunda Division B (Spanish third-tier) to the regional Tercera Division. The 2007/08 campaign was to be Barcelona B’s first at that level since 1973/74.
Guardiola and his assistant manager Tito Vilanova oversaw numerous personnel changes that summer as they plotted Barcelona B’s promotion with players arriving on free transfers or being promoted from the Juvenil team.
The changes worked as Guardiola led his squad to first place in their Tercera Division and subsequently victory in the Segunda Division B play-offs to send them straight back up.
Tusiruke ruke. Tukae kwanza hapa hapa kwenye swali lako. Tujadili namna Pep alifanya wonders kabla ya ku join team kubwa. Then sasa tutafika huko kwingine ambapo tuta discuss ni namna gani aliweza kuchukua treble na kikosi ambacho mtangulizi wake Frank Rijkaard yeye alimaliza nacho ligi akiwa wa 3.Timu ya wakubwa aliikuta ina nani na nani kama forwards?
Ah basi we umechanganya mambo.Tusiruke ruke. Tukae kwanza hapa hapa kwenye swali lako. Tujadili namna Pep alifanya wonders kabla ya ku join team kubwa. Then sasa tutafika huko kwingine ambapo tuta discuss ni namna gani aliweza kuchukua treble na kikosi ambacho mtangulizi wake Frank Rijkaard yeye alimaliza nacho ligi akiwa wa 3.