Mkuu jibu la hili swali lako ni pana japokua ukiangalia vizuri uendeshwaji wa Man U, City, Chelsea, Bayern utagundua kuna mambo mengi wanazingatia katika kumu appoint ama kumfukuza coach. Ntakupa mifano michache hapa chini.
Bayern kumfukuza Carlo
Madrid kumfukuza Carlo
Chelsea kumfukuza Carlo
Chelsea kumfukuza Mourinho (1st term)
Spurs kumfukuza Mourinho
United kumfukuza Mourinho
Chelsea kumfukuza Conte
Man City kumfukuza Pellegrin
Au wacha nikuulize swali rahisi tu. Unadhani kati ya Mourinho na Ryan Mason nani alikua na chance kubwa ya kushinda Carabao against City? Jibu ni obvious kwamba ni Mourinho, na Spurs walilijua hilo. Lakini kwanini walimfukuza just before a final cup game?
[/
Jibu la hilo swali ni jepesi mkuu, makocha wanafukuzwa kwa kutomeet expectations walizopewa
Mou alikaa Spurs miezi 17,
Alisajili wachezaji 9
Alifukuzwa April wakati msimu unaenda kuisha Spurs ilikuwa nafasi ya 7, Msimu anafukuzwa alilose 13 games in all competition.
match played EPL 58 win 27, draw 14, lose 17.
Average point per game 1.6 compared to pochettinos 1.89
27 points dropped from winning position
(11) final 10 minutes of the game
winning rate 51% of his game in charge
knocked out by Dinamo Zagreb UEL
suala alifukuzwa muda gani hilo sio la msingi, kitu cha msingi ni hizo number , mkuu unahisi alionewa?