Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Facts zipi unazungumzia andika CV ya Arteta na mimi ni andike ya Nagelsmann au ndio umeamua kubisha? Sasa mimi na ww nani anaongea maneno ya kanga? WE KUBALI KATAA ILA TIMU HUNA, KOCHA HUNA NA TAJIRI MBAHILI. Halafu Barca na Bayern style ya uendeshaji tofauti na hiyo timu yako.

Halafu Pep alikuwa na watu gani wakati anapewa Barcelona? na Pep ilimchukua kipindi gani kuprove uwezo wake huwezi linganisha na huyo kocha wako.

Timu ina hali mbaya wewe unataka maswala ya trial and errors, halafu unajilinganisha na Bayern & Barca ambao wako serious kwenye uendeshaji wa timu zao.
Wakati Pep anaichukua Barcelona alikuta Barcelona ina Deco, Eto'o na Gaucho kama forwards. Reserve Messi.

Defense ilikua na Puyol, Alves.

Hapo Pep ametoka kufundisha timu B.

Katika mkutano akasema hana mpango na Deco, Eto'o na Gaucho. Kilichofuata? Neymar kwa 200M, Coutinho kwa 135M, Dembele kwa 135M, Suarez akaletwa pale.

Swali lako la Pep aliikutaje Barcelona limenifikirisha.
 
Unamaanisha anacheza kwenye mfumo wa hovyo,yuko kwenye mbinu za hovyo,yuko chini ya kocha wa hovyo au kazungukwa na wachezaji wa hovyo?

Samahani castr you are far better than me ila matokeo ya timu yananivuruga
to the fullest.na usajili wa kina tekehiro ndo basi daah.
Ila live and love football kwa hiyo haya maumivu ambayo wapinzani wanahisi tunapata its only about fantas
'Far better than me' kwanini?

Soares ni fullback ambaye ana pace ya kutosha kumpa option forward. Akiwepo Soares forward anakua na option ama asogee mbele au atoe pasi kwa Soares.

Hii pace Chambers hana. Chambers hana hiyo pace kwakua yeye ni CB, kuna CB wachache sana wana pace ya kukimbizana na forward, Varane wa miaka 3 nyuma, Stones wa City n.k.

Sasa Arteta anafosi kumpa namba 2 Chambers wakati Chambers ni atapooza tu mashambulizi. Hii komedi ya chambers kua namba 2 ndiyo anataka kuifanya kwa huyu Takehiro.

Takehiro ni CB ila hapo analazimishwa akawe RB.

Arteta kamuweka sana benchi huyu Soares bila msingi.
 
Wakati Pep anaichukua Barcelona alikuta Barcelona ina Deco, Eto'o na Gaucho kama forwards. Reserve Messi.

Defense ilikua na Puyol, Alves.

Hapo Pep ametoka kufundisha timu B.

Katika mkutano akasema hana mpango na Deco, Eto'o na Gaucho. Kilichofuata? Neymar kwa 200M, Coutinho kwa 135M, Dembele kwa 135M, Suarez akaletwa pale.

Swali lako la Pep aliikutaje Barcelona limenifikirisha.
Compare alivyo ikuta Pep barca na Arteta Arsenal na wapime kwa mda wa miaka miwili Pep aliachieve nn naona huyo Arteta ka-achieve nini. Then rudi ktk vision ya Pep na Barca baada ya miaka hiyo miwili ulikuwa unaona nn, then fanya hivyo hivyo kwa Arteta na Arsenal unaona nini.
 
Hapa sasa unafanya spinning. Baada ya kuwasema hawataki wale watatu akachukua vijana wake watatu kutoka huko timu B Xavi, Iniesta na Busquet.

Akawaweka pale kati.

Halafu kingine wewe unafananisha makocha katika ligi mbili tofauti.

Hapo kuna ligi moja timu inaongoza goli tatu Messi yupo benchi Messi akaamka kupasha magoli matatu yote yakarudi.

Katika la liga kuanzia anayeshika nafasi ya kwanza mpaka ya nne ushawahi ona amefungwa goli 7 na mid table team? Je sita? Tano je?
 
Unaruruka kama mabisi ,sasa kama unayajua hayo ligi yako ngumu mbona timu yako inakosa mipango thabiti ya kuhakikisha timu inasimama au timu yako haina vision ipo ipo tu.

Kubali kataa Arsenal ishapoteza direction,hiyo timu unayoiponda ligi yake nyepesi ila chini ya Pep imechukua UEFA mbili.
 
Arsenal kwl matatizo
255711377711_status_73e473670edf4d07a2cc1808c40776fa.jpg
 
Unaruruka kama mabisi ,sasa kama unayajua hayo ligi yako ngumu mbona timu yako inakosa mipango thabiti ya kuhakikisha timu inasimama au timu yako haina vision ipo ipo tu.

Kubali kataa Arsenal ishapoteza direction,hiyo timu unayoiponda ligi yake nyepesi ila chini ya Pep imechukua UEFA mbili.
Bwana nyinyi kwa ubishi mtaniua wakati mwenzenu nina matatizo haya na ibaki hivyo unavyosema.
 
English Premier League officials have drafted some rules to protect Arsenal to survive the relegation.

1)Arteta will be allowed to field 13 players at once and 7 substitutes.

2)Arsenal will be awarded a free penalty at every match.

3)The Bt sport technicians are cautioned to avoid highlighting an Arsenal goal as this will be regarded as scores.

4)Arsenal will be awarded 1 point for a lose, 3points for a draw and 6 points for win.

5)Any attempt to tackle Auba, Saka and pepe will result to a straight red card +penalty regardless to the place the tackle took place.

6)Teams like Chelsea, Man City, Man U, Liverpool will be only allowed to field 10 players with no substitutes when playing against Arsenal.

7)kdb, Bruno, Kane, Havertz, Kante, Salah, Mane and other EPL stars are banned to play against Arsenal until further notice.
 
'Far better than me' kwanini?

Soares ni fullback ambaye ana pace ya kutosha kumpa option forward. Akiwepo Soares forward anakua na option ama asogee mbele au atoe pasi kwa Soares.

Hii pace Chambers hana. Chambers hana hiyo pace kwakua yeye ni CB, kuna CB wachache sana wana pace ya kukimbizana na forward, Varane wa miaka 3 nyuma, Stones wa City n.k.

Sasa Arteta anafosi kumpa namba 2 Chambers wakati Chambers ni atapooza tu mashambulizi. Hii komedi ya chambers kua namba 2 ndiyo anataka kuifanya kwa huyu Takehiro.

Takehiro ni CB ila hapo analazimishwa akawe RB.

Arteta kamuweka sana benchi huyu Soares bila msingi.
Kiukweli katika full backs wote tulionao Arsenal, namba moja kwangu ni Soares then ndio wanafuata hao wengine!.. Sometimes Arteta anazingua sana
 
Nje ya reli wakati wewe huweleweki kama sigara kali kila mda unabadilisha magoli na kocha wako kimeo.

Sina cha ziada cha kusoma kutoka kwa mtu anaye endekeza mahaba kuliko uhalisia,toka kwenye hayo mahaba yako vaa uhalisia wa kwa hali ya sasa Arsenal aliyokuwa nayo, ndipo utanielewa nilicho kiandika.

Mkuu vipi kwani tunagombana?
unachozungumzia wewe mimi sijazungumzia hayo, ebu rudi kwenye topic ya msingi uone tulipoanzia afu na unachoandika wewe kama kipo sawa

Topic ilikuwa Arteta kumsucceed pepe pale Man city, haina uhusiano na mambo ya tajiri wa arsenal mvahili wala sijui wachezaji wa Arsenal wabovu n.k vinginevyo unaonesha kukosa umakini tu, halafu mkuu hatuwezi fanana mtazamo na wala sio lazima tufanane kwanini umlazimishe mtu aone kama wewe.
 
"Arteta kumsucceed pepe pale Man city,"

☝☝ inaonekana hata hiki ulicho andika hujui maana yake ......

Kwani nani agombane na ww ili iweje?

Sasa nani anataka kufanana wewe unaye endekeza mahaba ili iweje? Mimi sipo kwenye mahaba bali nipo kwenye uhalisia wa hali ya sasa ya Arsenal na NDIO MAANA SIWEZI KUFANANA NA WEWE.
 
Duh totally biased, umeshinda mkuu computerArsenal una hasira sana na mimi, nisamehe mkuu🤣🤣
 
Back
Top Bottom