Huyo computerarsenal ndio nani?
Endelea na mahaba yako,nikusamehe nimekufanya nini.?
Umetukanwa wapi?Nisamehe kwa maandishi yangu yanayokukera Sikujua km yanaImpact kiasi hiko, ila fanya unitukane maana bila kutukana roho haiwezi kutulia hiyo, dukuduku limeshajaa rohoni liondoe.
Umetukanwa wapi?
Nimekereka wapi?
Yaani ni kuwekee dukuduku wewe ni sie kujua, huna faida yoyote kwenye maisha yangu ili iweje au napata nini?
Mbona unajishtukia kama unakoga nje.
Sasa nani kakupangia,mimi najibu kutoka unavyo wasilisha mtizamo wako na sijakushikia bastola ukubali mtizamo wangu.Sasa si nimekwambia umeshinda shida nini, wewe una hasira sana na mie, umekuja na acc kibao kuniAttack mara computerarsenal mara Msangarafu mara nani unataka nini sema shida yako, wewe ndio milangomitatu wewe ndio nani hayo ndio yanakupa hasira, mimi huo utoto sina fanya unachoweza huwezi kunipangia cha kuandika, simu ya kwangu unaandika ' endelea na mahaba yako' wewe nani unipangie cha kuandika ? Nonsense .
Sasa nani kakupangia,mimi najibu kutoka unavyo wasilisha mtizamo wako na sijakushikia bastola ukubali mtizamo wangu.
Wapi nimeonesha nina hasira na nani alianza kumuattack mwenzake.
Eti nimekasirika, mara nina dukuduku yaani nikuwekee dukuduku ww tumekutana humu jamii forum ili iweje.
Mda huo sina kuwa na acc kibao, yaani tunatumia majina ya siri, halafu nifungue acc ili iweje,upuuzi huo sina.
Acha kujishtukia.
Mahaba kweli upungunguze then uje kwenye uhalisia wa hali ya sasa ya Arsenal japo sikulazimishi kwani wewe mwenyewe umechagua kuendekeza Mahaba.M
Mambo ya kitoto acha ubishi, ukisema 'niache Mahaba' maana yake nini? si kunipangia niandike nini
Shida wewe nimegundua online arguments kwako inakupa feeling of importance, nakuona unabishana sana ht majukwaa mengine nakujua wewe ni mtu wa namna gani
Mahaba kweli upungunguze then uje kwenye uhalisia wa hali ya sasa ya Arsenal japo sikulazimishi kwani wewe mwenyewe umechagua kuendekeza Mahaba.
Feelings zipi?
Halafu sibishani bila sababu, bali NAONGEA NINACHO KIAMINI NA NITAONGEA JUKWAA LOLOTE LILE PALE NINAPOONA INAFAA.
Kwa hiyo umetoka kwenye ID nyingi sasa hivi upo kwenye mwaka?Kwa huo mwaka kwenye ID na hoja zako hizi basi shida ipo mahali sio bure, There is a real tragedy. Hata mimi nimekosea sana kufanya argument na wewe, sikujua najisamehe
Kwa hiyo umetoka kwenye ID nyingi sasa hivi upo kwenye mwaka?
Kama ungekuwa hutaki kufanya argument basi ungeanzisha forums yako, ila kwa kuwa upo JF kuwa mpole kwani sometimes utapingwa na mda mwengine watazikubali hoja zako.
Sasa kwenye hili jukwaa ndio unalotumia kupima uwezo kufikiri?Shida sio kupingwa, Mimi siwezi kuwa perfect kuhusu Arteta huo ni mtazamo wangu, ila kinachoniuma ni huo umri wako afu mwanaume na uwezo wako wa kufikiri mdogo sana
Badilika bhn kubali kujifunza ukue akili, umri wako ni mkubwa sana kwa haya unayofanya humu, Miaka hiyo yako huwezi kubishana Ishu za Maromboso labda kama nati haziko sawa mahali, mimi nilijua mdogo wangu ila kumbe braza mkubwa sana, najua kwenye Maisha kuna The players and The watchers na wewe navyokuona umeshakubali kuwa The watchers sababu miaka 40 unaingia soon tu, badilika aisee, akili kama hizi ndio inafanya Waafrika tunaitwa nyani.
can you imagine 32 bro , too old for this shit bro.
unalazimishia watu majinaDuh totally biased, umeshinda mkuu computerArsenal una hasira sana na mimi, nisamehe mkuu![]()
acha usengeSasa si nimekwambia umeshinda shida nini, wewe una hasira sana na mie, umekuja na acc kibao kuniAttack mara computerarsenal mara Msangarafu mara nani unataka nini sema shida yako, wewe ndio milangomitatu wewe ndio nani hayo ndio yanakupa hasira, mimi huo utoto sina fanya unachoweza huwezi kunipangia cha kuandika, simu ya kwangu unaandika ' endelea na mahaba yako' wewe nani unipangie cha kuandika ? Nonsense .