Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ah basi we umechanganya mambo.

Kuna jamaa alisema Pep alipokea timu ya wakubwa imeloa nikamkatalia. Hamna sehemu nilisema alikua hana CV.

Basi mi na wewe hatuna cha kuongea kama ni hivi.
Hapana. Kuloa hiyo ni overstatement. Kikosi kilikua kizuri. Japo kilikua kime under perform kwenye domestic ligi kwa miaka 2 mfululizo
 
Hapana. Kuloa hiyo ni overstatement. Kikosi kilikua kizuri. Japo kilikua kime under perform kwenye domestic ligi kwa miaka 2 mfululizo
Na Pep kaona kikosi hakifanyi poa kutokana na uwepo wa Deco, Eto'o na Gaucho. Walikua ni tegemeo ila walikua na influence mbaya kwa waliobaki.
 
Na Pep kaona kikosi hakifanyi poa kutokana na uwepo wa Deco, Eto'o na Gaucho. Walikua ni tegemeo ila walikua na influence mbaya kwa waliobaki.
Yeah. Akawa offload akabaki Etoo kwa msimu mmoja. Lakini hizi decision kiukweli zilikua very bold tukiangalia uwezo wa hao players. Hapa ndipo huwa naamini pep alikua anajua anachofanya since day 1
 
Wanamdiscus Pep wa man city badala ya kumdiscus Arteta, kweli hawa jamaa machoko.
Wana mdiscus Pep kwa muktadha wa Arteta. Yaani kichwa chako kizito mpaka huwezi kuelewa? Hapa inafanyika comparison Pep kafanya nini, kapitia wapi, kwa staili gani ya uongozi na je Arteta ataweza kukanyaga alipokanyaga rafiki yake? Soma uelewe sio usomeckujibu tu.
 
Hoya hoya
Conte kakubali terms sasa, mtamuweza?
Asije akaondoka katikati ya msimu
 
Tusiruke ruke. Tukae kwanza hapa hapa kwenye swali lako. Tujadili namna Pep alifanya wonders kabla ya ku join team kubwa. Then sasa tutafika huko kwingine ambapo tuta discuss ni namna gani aliweza kuchukua treble na kikosi ambacho mtangulizi wake Frank Rijkaard yeye alimaliza nacho ligi akiwa wa 3.
Huyu jamaa huwa hajielewi anajifanya kama kila kitu anakijua swali rahisi kama hilo analikimbia CV ya Pep ilishajieleza kabla ya kupewa timu ya wakubwa
 
Huyu jamaa huwa hajielewi anajifanya kama kila kitu anakijua swali rahisi kama hilo analikimbia CV ya Pep ilishajieleza kabla ya kupewa timu ya wakubwa
Aisee embu masela waache hii joke ya kumfananisha arteta na guardiola. Wawafananishe nationality tu labda

Kwenye hii article hapa sky sports wameeleza kiundani vitu jamaa alifanya kwenye barca B


"He disbanded the C team and merged the two groups. He allowed a limited number of older players to join the squad and brought added professionalism. Fines were introduced. In-depth opposition scouting, practically unheard of at that level, became commonplace. It quickly became apparent that the B team was better run than Frank Rijkaard's first team"

 
Wakati Pep anaichukua Barcelona alikuta Barcelona ina Deco, Eto'o na Gaucho kama forwards. Reserve Messi.

Defense ilikua na Puyol, Alves.

Hapo Pep ametoka kufundisha timu B.

Katika mkutano akasema hana mpango na Deco, Eto'o na Gaucho. Kilichofuata? Neymar kwa 200M, Coutinho kwa 135M, Dembele kwa 135M, Suarez akaletwa pale.

Swali lako la Pep aliikutaje Barcelona limenifikirisha.
Neymar, Cout, Dembele na Suarez?????? Ulitaka kumaanisha nini hapa mkuu? Maana hao hawajawahi kufundishwa na guardiola
 
Wana mdiscus Pep kwa muktadha wa Arteta. Yaani kichwa chako kizito mpaka huwezi kuelewa? Hapa inafanyika comparison Pep kafanya nini, kapitia wapi, kwa staili gani ya uongozi na je Arteta ataweza kukanyaga alipokanyaga rafiki yake? Soma uelewe sio usomeckujibu tu.
We kichwa chako ndio kizito huelewi shida sio Arteta, shida ni ushoga wa wachezaji wenu. Taratibu na nyie mashabiki mtaanza kutafunwa.
 
Edu amehojiwa na Sky Sports.

Anakuambia "We need time" mtangazaji akamkatisha "There is not time in football"

Anyway, kaongea mengi lakini ambacho nimesum up ni kwamba Arsenal siyo timu ya ushindani kwa sasa, timu ambazo once tulikua nazo sawa au tumeziacha kiuwezo kwa sasa zimetuacha mbali. Anadai kwamba roho inamuuma ila haina namna zaidi ya kujipanga.

Kuna taarifa zinadai Arsenal imefanya makubaliano ya mwanzo na Conte kwamba akishindwa kupindua kinachoendelea mpaka October basi Conte atastep in.

Kwa yeyote ambaye anadhani Arsenal ina chansi ajue wazi kwamba haipo huko kwa sasa Arsenal inatambaa. Edu anasema unahitajika muda anasahau Arteta alisema anahitaji miaka 3 kabla hajaenda kupambania UCL? Yeye Arteta pia anadai anataka muda.

Mimi naona namna pekee ya kuinusuru Arsenal instantly ni kumteua Arsene Wenger ili awe CEO wa timu. Kisha muache yeye aamue kila kitu.

Kama unataka kuhama timu basi muda ndiyo huu.
 
Kocha Ancelot alipofukuzwa R.Madrid alifeli kipi?

Hivi unafahamu philosophy za R.Madrid na Chelsea, Man Utd hazifanani na za Arse8 au unajitekenya na kucheka mwenyewe huku ukijiangalia kwenye kioo?

Mtoa comment anasema Mou alifanikiwa United, sawa sijakataa, ila swali
je walimuonea kumfukuza?
 
Ahahaha! Kwanini alifukuzwa sasa? walimuonea?
Mkuu jibu la hili swali lako ni pana japokua ukiangalia vizuri uendeshwaji wa Man U, City, Chelsea, Bayern utagundua kuna mambo mengi wanazingatia katika kumu appoint ama kumfukuza coach. Ntakupa mifano michache hapa chini.

Bayern kumfukuza Carlo
Madrid kumfukuza Carlo
Chelsea kumfukuza Carlo
Chelsea kumfukuza Mourinho (1st term)
Spurs kumfukuza Mourinho
United kumfukuza Mourinho
Chelsea kumfukuza Conte
Man City kumfukuza Pellegrin

Au wacha nikuulize swali rahisi tu. Unadhani kati ya Mourinho na Ryan Mason nani alikua na chance kubwa ya kushinda Carabao against City? Jibu ni obvious kwamba ni Mourinho, na Spurs walilijua hilo. Lakini kwanini walimfukuza just before a final cup game?
 
Back
Top Bottom