Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Fabrizio Romano anasema kwamba huyu beki Take ndiyo signing ya mwisho ya Arsenal.

Huu ni upuuzi.
 
Mkuu kwenye Football nowadays you cant attack if you cant defend, Attack inatengenezwa kuanzia nyuma ndio maana shauku yangu kubwa ni Leno kuwa second choice. Arsenal yetu aerial duels hatuwezi kucheza halafu unakuta GK anaGo long anytime..
Idea yako iko sahihi lakini sasa unahisi timu ambayo haipigi shot on target inakua ni sahihi?
 
Mhh haitokuja kutokea, City hawafanyi trial and errors kama Arsenal.

Kivipi mkuu, mbona Arteta ni mordern tactician mzuri tu the likes of Nagelsmann, source zinaonesha alikuwa anaandaliwa kumsucceed pep, Pep anasema Arteta is beyond a good
manager au ndio hyper negativity😁
 
City hawana time hiyo ya kucheza kamari kama Arsenal, angalia makocha waliokuja City tokea Mwarabu ainunue club.
 
Ngoja tuwe full mziki mkuu tuone kwenye game ya Norwich
Tulivyocheza na Brentford ilikuaje?

Yaani tukikutana na timu ina defense iliyokula kokoto basi ujue hatuchomoki. Kwa timu ndogo tutamiliki mpira ila hatutashinda kwa timu kubwa hatumiliki mpira na hatushindi.

Kwenye mid anahitajika awepo enforcer ambaye akikamata mpira mliobaki mtake msitake inabidi muende na move. Arsenal ina mid gani mwenye akili hiyo kuanzia waliopo uwanjani mpaka majeruhi?

Unahisi nakosea nikisema tunahitaji mtu kama Sanchez? Na ST kama Jovic anayeweza kukurupuana na mabeki?
 
Manchester City v Arsenal - Premier League

Alexandre Lacazette will see out his Arsenal contract

Arsenal look set to lose Alexandre Lacazette for free next summer as the striker has decided to see out his contract at the Emirates.
The Frenchman has entered the last year of his deal at the club, which he signed in 2017 following his £47m arrival from Lyon.

Mikel Arteta had been keen to cash in on Lacazette this summer in order to raise funds to strengthen other areas of his squad, such as central midfield and right-back.

Atletico Madrid have expressed interest in signing Lacazette and Diego Simeone has held a long-term interest in the Frenchman, having tried to sign him before his move to the Emirates.

West Bromwich Albion v Arsenal - Carabao Cup Second Round

Lacazette’s contract expires next summer (Photo by James Williamson – AMA/Getty Images)

However, football.london report that the Frenchman will run down his contract with the Gunners before likely leaving on a free transfer.

Atletico had intimated they’d be willing to part with Arsenal target Kieran Trippier if the Gunners included Lacazette or Pierre-Emerick Aubameyang in a part-exchange offer.

But the club are keen to keep Aubameyang and feel Trippier would favour a move to Manchester United, therefore seeing little value in offering Lacazette.

Tulivyocheza na Brentford ilikuaje?

Yaani tukikutana na timu ina defense iliyokula kokoto basi ujue hatuchomoki. Kwa timu ndogo tutamiliki mpira ila hatutashinda kwa timu kubwa hatumiliki mpira na hatushindi.

Kwenye mid anahitajika awepo enforcer ambaye akikamata mpira mliobaki mtake msitake inabidi muende na move. Arsenal ina mid gani mwenye akili hiyo kuanzia waliopo uwanjani mpaka majeruhi?

Unahisi nakosea nikisema tunahitaji mtu kama Sanchez? Na ST kama Jovic anayeweza kukurupuana na mabeki?

Unazungumzia Assertiveness binafsi nadhani inahitaji Balance ya timu kwanza Watu warelax wacheze mpira, unamuona Bruno au Grealish wanafanya hivyo sababu timu imebalance hata huyu Tomiyasu kama ni RB basi ni usajili mzuri kuleta balance
 
Ila ni maoni yangu tu mkuu castr
 
City hawana time hiyo ya kucheza kamari kama Arsenal, angalia makocha waliokuja City tokea Mwarabu ainunue club.

Ok niambie pellegrini alitoka timu gani kabla ya kuja City na alishinda taji gani alipokuwepo, Nature ya Mpira ni kamari, jifunze kwa Mou alivyofeli united na Spurs au Mou ni kocha mbovu..?
 
Cedric hawezi ku-track back akipoteza mipira na hivyo kuwa uchochoro kwa timu pinzani.

Takwimu za mechi na Man City Soares alipoteza mipira mara 8, alitoa pasi 7 tu, hakuzuia mipira yoyote ile, wala kujaribu "tackles" na mipira ya juu alishindwa kuzuia mipira mitano.

Pasi zake hupotea na humlazimu kuanza kurudi nyuma alikokuacha hakuna cover.

Alipoingia Maitland Niles alifanya uzuri kwa kuzuia mipira mingi na kutoa pasi za uhakika ingawa ilikuwa too late.

Mechi na Chelsea ilikuwa ni hivyohivyo.

Hivyo nafasi ya beki wa kulia ni Takehiro na Maitland Niles ndo wawe first choice.

Bado wadogo na wepesi kukimbia kuliko Soares mwenye umri wa miaka 29 sasa.
Soares amefika pale day one anascore.

Mechi zinazofuata anatoa assisst.

Arteta akamuweka benchi.

Ikawa ni mwendo wa benchi tu.

Kuna mechi, nimeisahau, kaingia late minutes na akacreate chances kuliko aliowakuta.

That guy huo urefu wa kuwin aerial duels hana.

Ana speed kuzidi Niles na Bellerin wa kipindi hichi.

Benchi linaondoa confidence.
 
Unazungumzia Assertiveness binafsi nadhani inahitaji Balance ya timu kwanza Watu warelax wacheze mpira, unamuona Bruno au Grealish wanafanya hivyo sababu timu imebalance hata huyu Tomiyasu kama ni RB basi ni usajili mzuri kuleta balance
Usijali akili yangu haipo sawa hata hivyo.

Siku nyingine wazee
 
Ok niambie pellegrini alitoka timu gani kabla ya kuja City na alishinda taji gani alipokuwepo, Nature ya Mpira ni kamari, jifunze kwa Mou alivyofeli united na Spurs au Mou ni kocha mbovu..?
Huwezi mfananisha Pellegrini na Arteta, Cv ya Pellegrini wakati anaichukua City huwezi fananisha na Arteta, kubali tu kocha huna.

Mou alifeli ndio ila ali kabla ya hapo alizipa mafanikio club za Porto, Chelsea na Inter huyo unaye mtetea ame achieve kitu gani mpaka unataka kumlinganisha na Mou.

Kweli mpira kamari ila wenzetu probability yao ya kufanikiwa ni kubwa sana kutoka na aina ya wachezaji wao, makocha wanao watumia.

Ila Arsenal Kocha hawana, wachezaji hatuna wapo wapo wanategemea bahati.
 
Point yangu hujaielewa kumbe, Soka linabadilika ndio maana nimekupa mfano wa Mou kufeli United na Spurs wala sijamcompare na Arteta, kinachoangaliwa sasa ni kocha mwenye understanding na Mordern football ndio unaona Nagelsmann 34 anapewa Bayern au unadhani ameachieve kitu gani cha kufundisha Bayern ? Sema huna hoja naona unadefend your ego.
 
Ukiona hivyo ujue wenzio wanaona tofauti sio wewe mlalamikaji humu hata uwanjani huingii jezi hununui dah mwafrika anajikuta ana uchungu,
Nalalamika au nakwambia ukweli Arsenal imebaki jina kuna watu wanapiga pesa balaa kama Edu na Arteta, season hii sijanunua jezi ya Arsenal ila nimenunua ya PSG,unaenda mechi ya 4 kwa kocha yule na wachezaji wale wale mamamamae utashangaa Norwich atakavyokushangaza next week, yeye na Arsenal wana point 0 na Norwich ataona anaweza pata results hapo Emirates atakaza hutaamini anyway endelea kufuatilia usajili hewa ,Chelsea wameshamchukua Saul ,Arsenal imewachukua Lokonga na Mjapani tumeanza league na 12 points on top
 
Tomiyasu ni inverted RB at least kocha anapata watu muhimu, good move good signing
 
Back
Top Bottom