Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Shida yetu ni system, kocha anaonekana ana Something unique lakini Sytem doesnt fit the squad, Auba pepe martinelli kwenye counterattack wapo vizuri pepe wa lille 22 goals 10 assists, Auba pia Dortmund misimu mitatu 20+ goals.

Martinelli sasa hivi aeleweki positional play system...Kuna muda unaona km talent zinapotea hapo kwetu, Willian amedeclare move yake haikuwork out sababu style of play , ndio maana Arteta anahitaji muda at least apate wachezaji sita au saba wanaofit style yake au afukuzwe aje kocha anayefit this squad
Pablo Mari
Runarsson
Ryan
Soares
Lukonga
Tavares
Ben white
Partey
Ramsdale
Gabriel Magalhaes

Ongezeeni hapo wadau. Hao ndio waliosajiliwa na Arteta
 
Na bado watu wanamlaumu tajiri?? Fvck
Brother relaaax its just a game.labda nikushauri ukifungua biashara ukamweka mtu auze hiyo pekee haitoshi kukupa mafanikio mkuu.unapaswa kufanya yafuatayo ili kuona potential ya biashara yako.
1.lazima uhakikishe una bidhaa zinazoendana na mahitaji ya soko na ujue hii si kazi ya muuzaji wako tu bali ni yako.je kroenke anafanya?.
2.muuzaji lazima akidhi ushindani na aendane na mahitaji ya soko lako kwa aproach na strategy na wewe mwenye biashara lazima uhakikishe muuzaji wako ana qualifications hizo.
3.kazi ya kudumisha mahusiano kati ya huduma yako na wateja ni ya kwako na si muuzaji kwasababu anayepata faida ni wewe.je kroenke anaonaje mahusiano ya timu na washabiki?.
NB this is just a game so enjoy it
 
Kumbe arsenal gundu lenu lote ni Kwa Sababu watu wa arsenal wanapakuana mtubu aisee
IMG-20210831-WA0057.jpg
 
Point yangu hujaielewa kumbe, Soka linabadilika ndio maana nimekupa mfano wa Mou kufeli United na Spurs wala sijamcompare na Arteta, kinachoangaliwa sasa ni kocha mwenye understanding na Mordern football ndio unaona Nagelsmann 34 anapewa Bayern au unadhani ameachieve kitu gani cha kufundisha Bayern ? Sema huna hoja naona unadefend your ego.
Mou kweli alifeli Spurs na Utd, ila katika kazi yake kupitia Porto, Inter na Chelsea aliprove ubora wake na ndio maana hata Spurs na Utd walimchukua kutokana na CV,so husijipe moyo eti sababu Mou kafeli ukataka kumlinganisha na kocha wako.

Kocha anayefundisha Bayern huwezi mlinganisha na Arteta,kisha fundisha Hoffenheim ,RB na tena kama hujui Bayern hawachukui magarasa kama sisi na hawana moyo wa kuvumilia upuuzi kama sisi Nagelsmann akizingua naye kibarua hana.

Halafu huyo Arteta ana uelewa gani na modern football,labda sijui mwenzetu mpaka sasa unaona nini kwa Arteta unaweza kunisaidia.

Sioni sehemu niliyo defend my ego, ila hata UKATAE UHALISIA NA KUENDEKEZA MAHABA nyeusi itabaki kuwa nyeusi hata upimp vipi, kwa kifupi ARSENAL KOCHA HATUNA na timu hamna na dirisha ndio hilo limefungwa.

Cha msingi tuendelee kuhesabu makuti huku wenzetu wakihesabu nazi na madafu.
 
Siamini kama dirisha limefungwa na wachezaji wale wale na kocha yule yule huku Arsenal akiwa hajashinda hata mechi 1 na hajafunga hata goli 1,kama kawaida wamehusishwa kina Aouar, Maddison, Bissouma lakini wapi ,same story every season tegemeeni maumivu makali sana this season kwa die hard fans
 
Soares amefika pale day one anascore.

Mechi zinazofuata anatoa assisst.

Arteta akamuweka benchi.

Ikawa ni mwendo wa benchi tu.

Kuna mechi, nimeisahau, kaingia late minutes na akacreate chances kuliko aliowakuta.

That guy huo urefu wa kuwin aerial duels hana.

Ana speed kuzidi Niles na Bellerin wa kipindi hichi.

Benchi linaondoa confidence.
Kwa kweli Bellerin na AMN hawana kiwango cha kumzidi Soares. Jamaa ni mzuri sana katika kupandisha mashambulizi. Mapungufu yake machache hayawezi yakafanya asiwe beki mzuri. Mimi nimekuwa nashangaa sana why hapati playing time ya kutosha.. Labda anaweza akazidiwa kidogo na huyu mjapan wetu mpya.. Ngoja tusubiri tuone kama atapata namba kwa kuwa Bellerin hayupo.
 
Soares amefika pale day one anascore.

Mechi zinazofuata anatoa assisst.

Arteta akamuweka benchi.

Ikawa ni mwendo wa benchi tu.

Kuna mechi, nimeisahau, kaingia late minutes na akacreate chances kuliko aliowakuta.

That guy huo urefu wa kuwin aerial duels hana.

Ana speed kuzidi Niles na Bellerin wa kipindi hichi.

Benchi linaondoa confidence.
Kwa kweli Bellerin na AMN hawana kiwango cha kumzidi Soares. Jamaa ni mzuri sana katika kupandisha mashambulizi. Mapungufu yake machache hayawezi yakafanya asiwe beki mzuri. Mimi nimekuwa nashangaa sana why hapati playing time ya kutosha.. Labda anaweza akazidiwa kidogo na huyu mjapan wetu mpya.. Ngoja tusubiri tuone kama atapata namba kwa kuwa Bellerin hayupo.
 
Mou kweli alifeli Spurs na Utd, ila katika kazi yake kupitia Porto, Inter na Chelsea aliprove ubora wake na ndio maana hata Spurs na Utd walimchukua kutokana na CV,so husijipe moyo eti sababu Mou kafeli ukataka kumlinganisha na kocha wako.

Kocha anayefundisha Bayern huwezi mlinganisha na Arteta,kisha fundisha Hoffenheim ,RB na tena kama hujui Bayern hawachukui magarasa kama sisi na hawana moyo wa kuvumilia upuuzi kama sisi Nagelsmann akizingua naye kibarua hana.

Halafu huyo Arteta ana uelewa gani na modern football,labda sijui mwenzetu mpaka sasa unaona nini kwa Arteta unaweza kunisaidia.

Sioni sehemu niliyo defend my ego, ila hata UKATAE UHALISIA NA KUENDEKEZA MAHABA nyeusi itabaki kuwa nyeusi hata upimp vipi, kwa kifupi ARSENAL KOCHA HATUNA na timu hamna na dirisha ndio hilo limefungwa.

Cha msingi tuendelee kuhesabu makuti huku wenzetu wakihesabu nazi na madafu.

Nagelsmann huwezi mlinganisha na Arteta kwa kipi?, unazungumzia CV Pep alikuwa na CV gani wakati anapewa Barcelona?
Acha maneno ya kwenye kanga leta Facts
 
Nagelsmann huwezi mlinganisha na Arteta kwa kipi?, unazungumzia CV Pep alikuwa na CV gani wakati anapewa Barcelona?
Acha maneno ya kwenye kanga leta Facts
Facts zipi unazungumzia andika CV ya Arteta na mimi ni andike ya Nagelsmann au ndio umeamua kubisha? Sasa mimi na ww nani anaongea maneno ya kanga? WE KUBALI KATAA ILA TIMU HUNA, KOCHA HUNA NA TAJIRI MBAHILI. Halafu Barca na Bayern style ya uendeshaji tofauti na hiyo timu yako.

Halafu Pep alikuwa na watu gani wakati anapewa Barcelona? na Pep ilimchukua kipindi gani kuprove uwezo wake huwezi linganisha na huyo kocha wako.

Timu ina hali mbaya wewe unataka maswala ya trial and errors, halafu unajilinganisha na Bayern & Barca ambao wako serious kwenye uendeshaji wa timu zao.
 
Point yangu hujaielewa kumbe, Soka linabadilika ndio maana nimekupa mfano wa Mou kufeli United na Spurs wala sijamcompare na Arteta, kinachoangaliwa sasa ni kocha mwenye understanding na Mordern football ndio unaona Nagelsmann 34 anapewa Bayern au unadhani ameachieve kitu gani cha kufundisha Bayern ? Sema huna hoja naona unadefend your ego.
Wanaosema Mou alifeli Man utd na Spurs sielewi ni vigezo gani wametumia. Ukimshtumu kwa tabia za ugomvi nitaelewa ila siyo uwanjani. Alikuja Man Utd akiwa na kikosi kibovu kabisa lakini ndani ya misimu mitatu alichukuwa makombe 3 ikiwa na pamoja na kuchukua Europ na mara moja akimaliza ligi akiwa wa pili, hebu tuambie Ole ni msimu wa ngapi, kachukua nini, wachezaji waliosajiliwa na majuzi kaongezewa mkataba.
Kuhusu Tottenham aliikuta ni ya 14 kwenye ligi,mwishowe kamaliza nadhani wa 5, kafukuzwa msimu ukiendelea na akiwa finali na Man City.Huwezi ita vitu hivi kuwa ni failure.
 
Kwamba pepe umekuwa mke wa Lacazate .

Team ina laana ya asili kabisa
 
Back
Top Bottom