Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wanaosema Mou alifeli Man utd na Spurs sielewi ni vigezo gani wametumia. Ukimshtumu kwa tabia za ugomvi nitaelewa ila siyo uwanjani. Alikuja Man Utd akiwa na kikosi kibovu kabisa lakini ndani ya misimu mitatu alichukuwa makombe 3 ikiwa na pamoja na kuchukua Europ na mara moja akimaliza ligi akiwa wa pili, hebu tuambie Ole ni msimu wa ngapi, kachukua nini, wachezaji waliosajiliwa na majuzi kaongezewa mkataba.
Kuhusu Tottenham aliikuta ni ya 14 kwenye ligi,mwishowe kamaliza nadhani wa 5, kafukuzwa msimu ukiendelea na akiwa finali na Man City.Huwezi ita vitu hivi kuwa ni failure.
Achana naye huyo stress za maisha zinamsumbua sana.
 
Ku

Kufeli huwa tunaangalia malengo uliyopewa, sio hayo mengine.
 
Facts zipi unazungumzia andikie CV na Arteta na mimi ni andike ya Nagelsmann au ndio umeamua kubisha? Sasa mimi na ww nani anaongea maneno ya kanga? WE KUBALI KATAA ILA TIMU HUNA, KOCHA HUNA NA TAJIRI MBAHILI. Halafu Barca na Bayern style ya uendeshaji tofauti na hiyo timu yako.

Halafu Pep alikuwa na watu gani wakati anapewa Barcelona? na Pep ilimchukua kipindi gani kuprove uwezo wake huwezi linganisha na huyo kocha wako.

Timu ina hali mbaya wewe unataka maswala ya trial and errors, halafu unajilinganisha na Bayern & Barca ambao wako serious kwenye uendeshaji wa timu zao.

Unatoka nje ya reli, point ilikuwa Arteta kumsucceed Pep Man city, ebu rudia kusoma ulichoandika, Not worth the energy.
 
Unatoka nje ya reli, point ilikuwa Arteta kumsucceed Pep Man city, ebu rudia kusoma ulichoandika, Not worth the energy.
Nje ya reli wakati wewe huweleweki kama sigara kali kila mda unabadilisha magoli na kocha wako kimeo.

Sina cha ziada cha kusoma kutoka kwa mtu anaye endekeza mahaba kuliko uhalisia,toka kwenye hayo mahaba yako vaa uhalisia wa kwa hali ya sasa Arsenal aliyokuwa nayo, ndipo utanielewa nilicho kiandika.
 
Nje ya reli wakati wewe huweleweki kama sigara kali kila mda unabadilisha magoli na kocha wako kimeo.

Sina cha ziada cha kusoma kutoka kwa mtu anaye endekeza mahaba kuliko uhalisia,toka kwenye hayo mahaba yako vaa uhalisia wa ya sasa Arsenal aliyokuwa nayo, ndipo utani elewa nilicho kiandika.
Angalia asijekujinyonga huyo Chifu, si unajua jinsi gani washabiki wa Arse8 wanavyopitia wakati mgumu na maamuzi wanayochukuaga yasiyotabirika
 
IMG-20210901-WA0096.jpg
 
Mesut Özil aliyekuwa mchezaji wa Arsenal katikati ya mwaka 2013 na 2021 ameandika twitter, "Trust the process" akimaanisha Tuwe Na Imani Katika Mchakato wa kuifanya klabu kuwa Bora unaofanya na kocha wake wa sasa Mikel Arteta Amatriain. Post hii ni baada ya Arsenal kufungwa bao 5 bila na Man City.
 
Jamaaa anatutania kistar. Haya bhana. Sisi hatuna budi aidha kuendelea kuvumilia na kushabikia mpaka timu yetu iinuke, au kuandamana uongozi ubadilike
 
Niliwahi kueleza Arteta na Edu Gaspar ni tatizo na chanzo cha migogoro, wengi humu walichagua pande! Sasa ni wazi hilo linaonekana Torreira, Guendouzi, Maitland-Niles, Cedric, Mavropanos na Saliba hawamuelewi, hii inatafsiri jambo.
 
Back
Top Bottom