Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Usajili Arsenal hawa ikifika kesho hawatakuwepo Arsenal.

Joe Willock- Newcastle United (England) usajili kamili

Reiss Nelson- Feyenoord (Holland) mkopo na huenda akarudi msimu ujao.

Willian- Corinthians (Brazil) mkopo na baadae usajili kamili

Hector Bellerin- Beal Betis (Spain) mkopo na baadae usajili kamili.

Alex Runarsson - OH Leuven (Belgium) mkopo na baadae usajili kamili.

Na William Saliba na Matteo Guendouzi Marseille (France) mkopo na huenda akarudi Arsenal January au msimo ujao.

Lucas Torreira yupo Fiorentina Italy kwa mkopo na baadae usajili kamili.

Mohamed Elneny na Ainsley Maitland-Niles bado ni wachezaji wa Arsenal.

Ainsley Maitland-Niles ameadhibiwa kwa kufanya mazoezi peke yake baada ya kuandika ujumbe IG kutaka uhamisho.
 
Mkuu, issue ni kama ulivyosema ni system Arteta amekuja na mtindo wa mabeki watatu nyuma na watatu katikati.

Hiyo imesumbua kutokana na kutokuwepo kwa Ben White na Gabby pale katikati.

Hivyo wakirudi hawa wawili Ben White na Gabriel wataungana na Tomiyasu na Tierney/ Tavares pale nyuma.

Hii ndo defence atakayo Arteta na haijawa hivyo mechi zote tatu wamepoteza kwani mabeki walipo wote hamna kitu khasa beki wa kulia.

Tierney amepwaya mechi zote tatu kutokana na kutokuwepo kwa balance na upande wa kulia kwani si Suarez, Calum Chembers wala Berellin waloweza kucheza kiufanisi pamoja na mabeki wa kati na Tierney upande wa kushoto.

Hivyo baada ya likizo hii fupi Arsenal inotakiwa ichezepale kati ni hii kipa: Ramsdale, Tomiyasu, Tierney, Ben White na Gabby.

Kati ni Thomas Partey, Sambi Lokonga na Odegaard.

Pembeni ni Pele na Saka na kati ni Aubameyang.

Hii ndo yatakiwa kuwa first eleven ya Arteta.

Mtindo ni 3-3-3-1 au 3-4-3 kulingana na timu pinzani.

Smith Rowe hupoteza sana mipira hivyo itasaidia kama atakuja kipindi cha pili.

Lokonga ana uwezo wa kumiliki mpira na distribution yake ipo poa sana.

Sasa mtu kama Pep Guadiola amesema kwamba Arteta atakuwa "fine" baada ya break hii, hiyo yeonyesha hawa wanawasiliana na wanasaidiana.

Hivyo, tusubiri Arsenal mpya kama atabadilisha hiyo firts 11 yake ambayo ndo naiona itawafaa Arsenal.
Takehiro ni CB ila anachezeshwa RB.

Linarudiwa kosa la Chambers hapa.
 
Takehiro ni CB ila anachezeshwa RB.

Linarudiwa kosa la Chambers hapa.
Hapana ni "versatile" yaani hucheza nafasi zote.

Tottenham hawakumchukua kwa sababu ya lugha na wameenda kumchukua Emerson kwani yeye na kocha Nuno wataelewana lugha ya kireno.

Angalia video ya mechi ya olimpiki ambapo Japan waliifunga France 4-0 na Tomiyasu alicheza kama beki wa kulia.

Mabeki wa Japan wengi ni "versatile" na hata beki wao wa kushoto Sakai kwenye mechi na Mexico alicheza kama beki wa kulia na hii mechi na France akacheza kama beki wa kushoto.
 
Chambers siyo versatile?

Beki CB na full backs hawawezi kufanana na hii ni kwakua wana sifa tofauti. LB kucheza RB au vice versa ni sawa kwakua hizo nafasi za fullbacks zinahitaji sifa sawa.

RM na LM ni sahihi zaidi kuwatumia kama full backs kuliko hata CB
 
Calum Chambers aliumia goti mechi tulopoteza na Chelsea december 2019.

Tangu pale ana tatizo la consistency kwenye kukimbia na khasa upande wa kulia.

Ndo maana wameamua kuchukua beki mwingine wa kulia.

Bellerin nae hivyohivyo ana majeraha ya goti yanojirudia hivyo Arsenal wamekuwa na tatizo la kumpata beki wa kucheza msimu mzima bila kuumia.

Hivyo nafikiri huyu Takehiro na Maitland Niles wanaweza kutumika upande wa kulia kama first choice defenders.

Cedric Suarez ni beki wa hovyo sana na hafai hivyo nae wavuta mkataba wake uishe mwakani.
 
Cedric Suarez ni beki wa hovyo sana na hafai hivyo nase wanavuta mkataba wake uishe mwakani.
Soares siyo beki wa hovyo
 
Calum Chambers aliumia goti mechi tulopoteza na Chelsea december 2019.

Tangu pale ana tatizo la consistency kwenye kukimbia na khasa upande wa kulia.

Ndo maana wameamua kuchukua beki mwingine wa kulia.

Bellerin nae hivyohivyo ana majeraha ya goti yanojirudia hivyo Arsenal wamekuwa na tatizo la kumpata beki wa kucheza msimu mzima bila kuumia.

Hivyo nafikiri huyu Takehiro na Maitland Niles wanaweza kutumika upande wa kulia kama first choice defenders.

Cedric Suarez ni beki wa hovyo sana na hafai hivyo nae wavuta mkataba wake uishe mwakani.
Toa fact kwa nini cedric ni beki wa hovyo mkuu
 
Soares siyo beki wa hovyo
Unamaanisha anacheza kwenye mfumo wa hovyo,yuko kwenye mbinu za hovyo,yuko chini ya kocha wa hovyo au kazungukwa na wachezaji wa hovyo?

Samahani castr you are far better than me ila matokeo ya timu yananivuruga
to the fullest.na usajili wa kina tekehiro ndo basi daah.
Ila live and love football kwa hiyo haya maumivu ambayo wapinzani wanahisi tunapata its only about fantas
 
Relief Mirzska / Castr if you guys remember, Arsene Wenger miaka yake miwili ya mwisho alifanya mabadiliko ya formation na akiacha 3-4-3 ambayo miaka hiyo Arsenal ilikuwa na top performances na ikarithiwa na Unai Emery ambaye alienda 23 Games Unbeaten akiwa na Mustafi, Kolasinac, Toreirra, Guendouzi and Co., alipofanya transitions kwenda mfumo wake yakatokea ya kutokea.
Nakumbuka kaka
 
Si kwamba sisi ni wajinga tulikuwa hatujui uwezo wa Arteta!.. Kwa hiyo hata tukimkataa hapa jukwaani hatuwezi kubadili chochote!.. Inasikitisha unaposhabikia timu yako lakini kuna baadhi ya watu wanalazimisha tufanane mawazo.. Sisi mashabiki wa Arsenal ache tuwe wajinga ila hatuhami timu na tutaendelea kuishabikia timu katika shida na raha!.. Yaani mashabiki wa chelsea wanatuita humu ndani kuwa sisi ni matakataka halafu eti kuna. Mtu anajiita mwanaarsenal nae pia anatutukana kuwa sisi ni wajinga kwa kuishabikia timu yetu! Yaani unatutukana kisa mpira. Hivi kweli upo serious kabisa unatamani tumchukie mwalimu... Yaani chelsea, liver,man u na man city fans wamtukane mwalimu na sisi pia tumchukie na kumtukana mwalimu... Kiukweli huwa nikimuona mtu anatukana watu huwa najua hayuko vizuri huko kichwani!.. Hakuna haja ya sisi kutukanana!. Tushabikie mpira kistaarabu!..
Mkuu,

Mtu kama ni mjinga hatuna namna isipokuwa kumuita mjinga. Call a spade a spade bro.

Mengine yote nimekuelewa. Thanks
 
Tumetumia hela nyingi kwa average players wengi.

Hiyo £123M ni vema tungenunua wachezaji hata wawili wenye quality nzuri.

Ni aibu kuona mashabiki wa timu iliyoanzishwa 2003(cheltako) wakija katika jukwaa letu na kuanza kuongea ushubwada.

Bosi wetu nae ameichukulia timu kama 'profit making machine' bila kujali hisia za wengi.

Jamaa zangu ukweli mchungu ni kua hata waje malaika kwenye timu yetu kama bosi akiendelea kua STAN KROENKE hamna cha maana tutachofanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndio nakataa bro. Hahahahahaahah

Hizo £123M ni kocha wako ndio aliosema zitumiwe kwa Tavares na wala sio Kroenke hahaahahahha
 
Cedric hawezi ku-track back akipoteza mipira na hivyo kuwa uchochoro kwa timu pinzani.

Takwimu za mechi na Man City Soares alipoteza mipira mara 8, alitoa pasi 7 tu, hakuzuia mipira yoyote ile, wala kujaribu "tackles" na mipira ya juu alishindwa kuzuia mipira mitano.

Pasi zake hupotea na humlazimu kuanza kurudi nyuma alikokuacha hakuna cover.

Alipoingia Maitland Niles alifanya uzuri kwa kuzuia mipira mingi na kutoa pasi za uhakika ingawa ilikuwa too late.

Mechi na Chelsea ilikuwa ni hivyohivyo.

Hivyo nafasi ya beki wa kulia ni Takehiro na Maitland Niles ndo wawe first choice.

Bado wadogo na wepesi kukimbia kuliko Soares mwenye umri wa miaka 29 sasa.
 
yani Richard unatujaza kama Aroon arsenal
Arsenal sasa hivi wanafanya Project na wanachukua vijana ambao ukiangalia umri ni kati ya miaka 20-23 ukindoa Auba na Laca na wengine kama Soarez.

Ni project ambayo ni lazima afanikiwe na Arteta amepewa mechi 13 aokoe kazi yake.

Ndo maana wenye timu wanamwangalia tu na kutoa mpunga.

Hadi jioni hii Arsenal itakuwa imetumia jumla ya pauni milioni 150!

Ila Wameokoa mishahara ya kijinga kwa watu kama Willian na wale wachezaji ambao wapo timu zingine kwa mkopo ambapo timu husika ndizo zinalipa mishahara kwa kugawana na Arsenal.
 
Arsenal kashindwa mpata Royal, Royal kaenda Spurs.

Hivi timu ikiwa haipati magoli dawa ni kuimarisha defense?

Yeah we need a RB ila timu haijascore hata goli moja na hii ilitakiwa kumaanisha tuwapiku Wolves kwa Renato na Aouar achukuliwe kwa huo mkopo. Atafutwe ST kwa mkopo, Jovic.

Niles ameshasema anataka game time na kiukweli game time ndiyo imesababisha Odegaard aachane na Madrid aje Arsenal. Elneny simpingi akibaki sawa sana tu

Mkuu kwenye Football nowadays you cant attack if you cant defend, Attack inatengenezwa kuanzia nyuma ndio maana shauku yangu kubwa ni Leno kuwa second choice. Arsenal yetu aerial duels hatuwezi kucheza halafu unakuta GK anaGo long anytime..
 
Back
Top Bottom