ryana fan
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 2,632
- 3,056
Oska, Diego, Salah, Schule. Juzi tu hapa6 - 0 tumewafunga zamani hata walioscore nishawasahau.
Oska, Diego, Salah, Schule. Juzi tu hapa6 - 0 tumewafunga zamani hata walioscore nishawasahau.
Ndo siku ile Chambalein alivyoona hali tete ngoja awe kipa wa mudaWalioscore Etoo, Schurrle, Hazard, Oscar goal 2 na mwisho Salah akapigilia msumari wa mwisho. Acha kujisahaulisha.

Hivi yule jamaa wa kuitwa Aaron Arsenal yupo tena kwenye hili jukwaa au ndio alibadili IDTumetumia hela nyingi kwa average players wengi.
Hiyo £123M ni vema tungenunua wachezaji hata wawili wenye quality nzuri.
Ni aibu kuona mashabiki wa timu iliyoanzishwa 2003(cheltako) wakija katika jukwaa letu na kuanza kuongea ushubwada.
Bosi wetu nae ameichukulia timu kama 'profit making machine' bila kujali hisia za wengi.
Jamaa zangu ukweli mchungu ni kua hata waje malaika kwenye timu yetu kama bosi akiendelea kua STAN KROENKE hamna cha maana tutachofanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Notice nimeandika 'tumewafunga' sijaandika 'mmetufunga'Oska, Diego, Salah, Schule. Juzi tu hapa
Mchezaji wa arsenal atafute nini? Kwani mlibahatika kufunga goal hata moja.Hakuna mchezaji wa Arsenal katika uliowataja
Tatizo mna kimdomo kama Chuchunge.Tumetumia hela nyingi kwa average players wengi.
Hiyo £123M ni vema tungenunua wachezaji hata wawili wenye quality nzuri.
Ni aibu kuona mashabiki wa timu iliyoanzishwa 2003(cheltako) wakija katika jukwaa letu na kuanza kuongea ushubwada.
Bosi wetu nae ameichukulia timu kama 'profit making machine' bila kujali hisia za wengi.
Jamaa zangu ukweli mchungu ni kua hata waje malaika kwenye timu yetu kama bosi akiendelea kua STAN KROENKE hamna cha maana tutachofanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mimi nimeandika tumewafunga sijaandika mmetufunga. Nimeshangaa unanitajia watu wa chelseaMchezaji wa arsenal atafute nini? Kwani mlibahatika kufunga goal hata moja.
Nafikiri jamaa yetu Aaron Arsenal atakua yupo mapumzikoni na ameamua kua kando na mitandao ya kijamii.Hivi yule jamaa wa kuitwa Aaron Arsenal yupo tena kwenye hili jukwaa au ndio alibadili ID
kweli kbsaTumetumia hela nyingi kwa average players wengi.
Hiyo £123M ni vema tungenunua wachezaji hata wawili wenye quality nzuri.
Ni aibu kuona mashabiki wa timu iliyoanzishwa 2003(cheltako) wakija katika jukwaa letu na kuanza kuongea ushubwada.
Bosi wetu nae ameichukulia timu kama 'profit making machine' bila kujali hisia za wengi.
Jamaa zangu ukweli mchungu ni kua hata waje malaika kwenye timu yetu kama bosi akiendelea kua STAN KROENKE hamna cha maana tutachofanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alishabadili ID nitafute inbobo nikwambie Id anayotumia siku hizi.Hivi yule jamaa wa kuitwa Aaron Arsenal yupo tena kwenye hili jukwaa au ndio alibadili ID
vipigo viendeleeSisi kama madhabiki was Chelsea tunaiombea the gunners wapate hata goli kwa man city ili utamaduni wao wa kutoa tuzo ya goli bora la mwezi ufanikiwe,vinginevyo watatumia magoli ya Pepe anayofunga kwa wingi mazoezini .Nawasalimu kwa jina la EPL kila mshabiki wa Arsenal ajibu vipigo viendelee.