OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Kwa iyo willian kaamua kuwaachia 20M?? Ama kweli hii club imechacha. Hadi mchezaji anawaachia pesa zote hizo..??! Hii Arse8 yetu sijui tuelekee wapi sasa..
Ila kama tutajua Arteta anahusiana vipi na wachezaji inaweza toa mwanga.Sure Arsenal tunapoteza game kutokana individual errors kuliko tactical errors, sikatai km mechi ya Brentford arteta got it wrong ilikuwa ndio tupate point pale
Kuna jamaa anauza vanila nilikutag. Uliona?Kwa hiyo kaamua kuwaachia 20M?? Ana kweli hii club imechacha. Hadi mchezaji anawaachia pesa zote hizo..??! Hii Arse8 yetu sijui tuelekee wapi sasa..
Dah sikuona mzee baba em nitag tena mkuu..Kuna jamaa anauza vanila nilikutag. Uliona?
Hadi niupate uzi itakua muda umeenda ila mleta uzi ni kwadilo click hiyo username cheki messages zake utaona huo uziDah sikuona mzee baba em nitag tena mkuu..
Ila kama tutajua Arteta anahusiana vipi na wachezaji inaweza toa mwanga.
Wenger alitreat wachezaji kama sehemu ya familia ndiyo maana walikua tayari kufia timu.
Ebwanaa weee ..umetisha kinoma ngoja nichekie na jamaa hapaHadi niupate uzi itakua muda umeenda ila mleta uzi ni kwadilo click hiyo username cheki messages zake utaona huo uzi
Arsenal kashindwa mpata Royal, Royal kaenda Spurs.Usajili Arsenal!
Wakuu kiaje, naona Arteta amepania kusajili vijana watupu.
Arsenal wamekubali kumsajili beki wa kulia Takehiro Tomiyasu kutoka Bologna ya Italy kwa pauni milioni 23.
Takehiro Tomiyasu![]()
Daktari wa Arsenal ameondoka asubuhi hii kwenda Italy kumfanyia vipimo Takehiro ambae tasafiri kwenda London baada ya taratibu zote kukamilika.
Tahehirio anaweza kucheza upande wa kulia au katikati ya ngome ya ulinzi na ana miaka 22.
Takehiro ni beki wa timu ya taifa ya Japan na alishiriki katika michezo ya Olimpiki ilomalizika mapema mwezi huu hukoJapan,
Kabla ya kuchezea Bologna Takehiro alichezea timu ya Sint Truiden ya Ubelgiji hadi aliposajiliwa na Bologna timu ichezayo ligi ya Serie A ya Italy.
Tottenham walimtaka Takehiro lakini wameamua kumsajili Emerson Royal kutoka Bacerlona.
Wachezaji Hector Berellin, Willian na Reiss Nelson wanatarajiwa kukamilisha usajili kwa timu ya Real Betis, Corinthians na Feyenood baadae leo.
Mohammed Elneny na Maitland Niles huenda wakaendelea kuwa wachezaji wa Arsenal pale dirisha la usajli litapofungwa rasmi leo usiku.
Mkuu, issue ni kama ulivyosema ni system Arteta amekuja na mtindo wa mabeki watatu nyuma na watatu katikati.Arsenal kashindwa mpata Royal, Royal kaenda Spurs.
Hivi timu ikiwa haipati magoli dawa ni kuimarisha defense?
Yeah we need a RB ila timu haijascore hata goli moja na hii ilitakiwa kumaanisha tuwapiku Wolves kwa Renato na Aouar achukuliwe kwa huo mkopo. Atafutwe ST kwa mkopo, Jovic.
Niles ameshasema anataka game time na kiukweli game time ndiyo imesababisha Odegaard aachane na Madrid aje Arsenal. Elneny simpingi akibaki sawa sana tu
Arsenal pia walitaka Bellerin aende Barcelona kwa swap deal na Emerson kwa mkopo na Barcelona wamechalala hawana fedha.Arsenal kashindwa mpata Royal, Royal kaenda Spurs.
Hivi timu ikiwa haipati magoli dawa ni kuimarisha defense?
Yeah we need a RB ila timu haijascore hata goli moja na hii ilitakiwa kumaanisha tuwapiku Wolves kwa Renato na Aouar achukuliwe kwa huo mkopo. Atafutwe ST kwa mkopo, Jovic.
Niles ameshasema anataka game time na kiukweli game time ndiyo imesababisha Odegaard aachane na Madrid aje Arsenal. Elneny simpingi akibaki sawa sana tu
duuhMkuu, issue ni kama ulivyosema ni system Arteta amekuja na mtindo wa mabeki watatu nyuma na watatu katikati.
Hiyo imesumbua kutokana na kutokuwepo kwa Ben White na Gabby pale katikati.
Hivyo wakirudi hawa wawili Ben White na Gabriel wataungana na Tomiyasu na Tierney/ Tavares pale nyuma.
Hii ndo defence atakayo Arteta na haijawa hivyo mechi zote tatu wamepoteza kwani mabeki walipo wote hamna kitu khasa beki wa kulia.
Tierney amepwaya mechi zote tatu kutokana na kutokuwepo kwa balance na upande wa kulia kwani si Suarez, Calum Chembers wala Berellin waloweza kucheza kiufanisi pamoja na mabeki wa kati na Tierney upande wa kushoto.
Hivyo baada ya likizo hii fupi Arsenal inotakiwa ichezepale kati ni hii kipa: Ramsdale, Tomiyasu, Tierney, Ben White na Gabby.
Kati ni Thomas Partey, Sambi Lokonga na Odegaard.
Pembeni ni Pele na Saka na kati ni Aubameyang.
Hii ndo yatakiwa kuwa first eleven ya Arteta.
Mtindo ni 3-3-3-2-1 au 3-4-3 kulingana na timu pinzani.
Smith Rowe hupoteza sana mipira hivyo itasaidia kama atakuja kipindi cha pili.
Lokonga ana uwezo wa kumiliki mpira na distribution yake ipo poa sana.
Sasa mtu kama Pep Guadiola amesema kwamba Arteta atakuwa "fine" baada ya break hii, hiyo yeonyesha hawa wanawasiliana na wanasaidiana.
Hivyo, tusubiri Arsenal mpya kama atabadilisha hiyo firts 11 yake ambayo ndo naiona itawafaa Arsenal.
Sorry mkuu, typying error ni 3-3-3-1duuh
mbona hiyo formation ya 3 3 3 2 1 wachezaji wanazidi uwanjani
Kwa nn mkuu @ Thebest 007?Mkuu utaishi miaka mingi sana wewe![]()
So akiondoka ww ukawe kochaApproach ya kocha inaweza kuwa kero kwa wachezaji hadi kukosa morali.
Inauma sana hata kuvaa uzi wa arsenal unajishauri siku hizi. Timu imekuwa hovyo kabisa, nadhani arteta aondolewe tu...
Unajifariji na PEPMkuu, issue ni kama ulivyosema ni system Arteta amekuja na mtindo wa mabeki watatu nyuma na watatu katikati.
Hiyo imesumbua kutokana na kutokuwepo kwa Ben White na Gabby pale katikati.
Hivyo wakirudi hawa wawili Ben White na Gabriel wataungana na Tomiyasu na Tierney/ Tavares pale nyuma.
Hii ndo defence atakayo Arteta na haijawa hivyo mechi zote tatu wamepoteza kwani mabeki walipo wote hamna kitu khasa beki wa kulia.
Tierney amepwaya mechi zote tatu kutokana na kutokuwepo kwa balance na upande wa kulia kwani si Suarez, Calum Chembers wala Berellin waloweza kucheza kiufanisi pamoja na mabeki wa kati na Tierney upande wa kushoto.
Hivyo baada ya likizo hii fupi Arsenal inotakiwa ichezepale kati ni hii kipa: Ramsdale, Tomiyasu, Tierney, Ben White na Gabby.
Kati ni Thomas Partey, Sambi Lokonga na Odegaard.
Pembeni ni Pele na Saka na kati ni Aubameyang.
Hii ndo yatakiwa kuwa first eleven ya Arteta.
Mtindo ni 3-3-3-1 au 3-4-3 kulingana na timu pinzani.