Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa kocha Arteta na wachezaji wale wale wanaopigiwa kelele miaka nenda rudi hakutakuwa na jipya, na kama Brentford aliwatoa jasho Arsenal timu kama Everton Spurs Manchester United Liverpool itakuwaje?hakuna haja ya kujipa moyo sababu up to now ilitakiwa Official statement ya Arteta kufutwa kazi iwe tayari imetoka but wapo kimya it means management wanafurahia haya matokeo ya point 0 na goal scored 0 katika mechi 3

Ukiona hivyo ujue wenzio wanaona tofauti sio wewe mlalamikaji humu hata uwanjani huingii jezi hununui dah mwafrika anajikuta ana uchungu,🤣🤣
 
So what will be the future plan?to remain with the same idiot coach until the end of the season?I think the Bigger team must take reaction very quickly but instead they are quite up to now,it means they are satisfied with these results,next match fans need to take reaction by not going to the stadium vs Norwich and see what will happen

Aisee football is very emotional game nadhani we ndio shabiki unaongoza kulaumu JF, mkuu umeamia PSG niaje unalia kuhusu Arsenal yaani vibanda umiza unaenda, unafungwa, unatukanwa, unaleta hasira JF🤣🤣
football is very complicated game sio km unavyoona average fan, rebuilding = sustainable winning
 
Computerarsenal aka msangarafu tuishi humu, huyo ni mqatar mnamuomba anunue timu

IMG_20210830_184040_711.JPG
 
Willian amevunja mkataba wake na Arsenal.

Huo mkataba ulimaanisha alipwe 20M. Amekubali kwenda Corinthians ili kuwaepusha Arsenal na kudeal na weekly wage kubwa.

Kabla haujamtaja Ozil aliyegoma kuondoka na kuamua kusubiri mkataba uishe nataka tukumbuke aliyemsaini Willian ni nani? Na uzee wote na kuja kwenye pre season akiwa overweight but Willian alikua analipwa 240K per week.

Unamlipaje mshahara mkubwa mchezaji ambaye umri umeenda na siyo world class? Wakati city na chelsea zimenunuliwa na wajasiriamali they played hiyo karata ya mishahara mikubwa ili kuvuta stars.

Arteta akamvuta Willian.

Sasa ona hapa. Lyon wamemuoffer Aouar kwa Arsenal tangu wiki mbili nyuma, Arsenal haijarespond chochote. Arsenal ilihusishwa na Camavinga ila jana Madrid kamsaini Camavinga.

Camavinga bado mdogo. Huu uhamisho sidhani kama ni sahihi kwake kwenda timu kubwa kama Madrid ambayo ina watu itabidi awavuke kabla ya kupewa namba. Luka Jovic alienda pale na nahisi anajuta, Fabinho pakamshinda kabisa. Kovacic akakimbia mpaka akaibukia chelsea.
 
Willian kaplay it fair, kuacha £20m inatosha kupewa heshima mambo hayakwenda sawa kwa upande wake

Nahisi leo tunaweza kumsajili aouar kutoka Lyon
 
Everton wametaka kumsajili Ainsley kwa mkopo with obligation to buy Arsenal imekataa. Ainsley jana imeonekana feed yake akisema 'Anataka kwenda sehemu ambayo atapata muda wa kucheza'

Reiss Nelson anaweza kwenda kwa mkopo Feyenoord.
 
Auba anasema inabidi wao wachezaji wakae chini waambiane ukweli.

Sure Arsenal tunapoteza game kutokana individual errors kuliko tactical errors, sikatai km mechi ya Brentford arteta got it wrong ilikuwa ndio tupate point pale
 
Back
Top Bottom