Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
πππππππππWenga kaacha falsafa ya ovyo sana.......full ubahili kwenye kusajili
Kwa hiyo sheikh wangu lawama zote kwa Wenger sio???
πππππππππWenga kaacha falsafa ya ovyo sana.......full ubahili kwenye kusajili
Jana hili suala Martin Keown na Tony Adam's wamelizungumzia vizuri sana kwenye post match analysis.Kuna shida pia upande wa kocha wetu ktk upangaji na ufundishaji.Naona kama timu imemzidi kocha.
Finishing ilikuwa mbovu mno
Bro,Hiyo 343 Arteta kashacheza toka anachukua FA cup, Tuchel ni km kaicopy tu, mashabiki ya Cheltakoo mengi hayajuhi mpira
Jana msingetoboa kwa huo mfumo Kenge nyie....Bro,
Jana Arteta alitakiwa atumie huo mfumo wa 343 maana umeshampa mafanikio mara kadhaa dhidi ya hawa mbuzi wa bluu
Je 6-0?Sawa moja tulibahatisha.
Je tatu?
6 - 0 tumewafunga zamani hata walioscore nishawasahau.Je 6-0?
Si kwamba sisi ni wajinga tulikuwa hatujui uwezo wa Arteta!.. Kwa hiyo hata tukimkataa hapa jukwaani hatuwezi kubadili chochote!.. Inasikitisha unaposhabikia timu yako lakini kuna baadhi ya watu wanalazimisha tufanane mawazo.. Sisi mashabiki wa Arsenal ache tuwe wajinga ila hatuhami timu na tutaendelea kuishabikia timu katika shida na raha!.. Yaani mashabiki wa chelsea wanatuita humu ndani kuwa sisi ni matakataka halafu eti kuna. Mtu anajiita mwanaarsenal nae pia anatutukana kuwa sisi ni wajinga kwa kuishabikia timu yetu! Yaani unatutukana kisa mpira. Hivi kweli upo serious kabisa unatamani tumchukie mwalimu... Yaani chelsea, liver,man u na man city fans wamtukane mwalimu na sisi pia tumchukie na kumtukana mwalimu... Kiukweli huwa nikimuona mtu anatukana watu huwa najua hayuko vizuri huko kichwani!.. Hakuna haja ya sisi kutukanana!. Tushabikie mpira kistaarabu!..EXACTLY! EXACTLY bro.
Yaani kwa kuwa Pablo Mari kamsajili yeye basi anataka kuiaminisha dunia kwamba hakukosea. His friendship na Mari huko Man City ndio kilikuwa kigezo kikubwa cha Mari kusajiliwa Arsenal.
Arteta is Crap. Na wale waliokuwa wakimsifia humu jukwaani ambao sasa wamelikimbia jukwaa I wish wasirudi humu wajinga wakubwa. Tulikuwa tukiwaambia humu wanatuona sijui nini.
Walioscore Etoo, Schurrle, Hazard, Oscar goal 2 na mwisho Salah akapigilia msumari wa mwisho. Acha kujisahaulisha.6 - 0 tumewafunga zamani hata walioscore nishawasahau.
Huyu babu ana sura kavu hivi ndo tajiri wenu wa timu?? Hapo hajakasirika yuko hivi ..akikasirika je?Tunyooshe baba na dirisha linafungwa 31 August.
View attachment 1903741
Nyie ni matakataka tu hakuna namna sasa mkuu ..itabidi mukubali nyie ni matakataka tu.Si kwamba sisi ni wajinga tulikuwa hatujui uwezo wa Arteta!.. Kwa hiyo hata tukimkataa hapa jukwaani hatuwezi kubadili chochote!.. Inasikitisha unaposhabikia timu yako lakini kuna baadhi ya watu wanalazimisha tufanane mawazo.. Sisi mashabiki wa Arsenal ache tuwe wajinga ila hatuhami timu na tutaendelea kuishabikia timu katika shida na raha!.. Yaani mashabiki wa chelsea wanatuita humu ndani kuwa sisi ni matakataka halafu eti kuna. Mtu anajiita mwanaarsenal nae pia anatutukana kuwa sisi ni wajinga kwa kuishabikia timu yetu! Yaani unatutukana kisa mpira. Hivi kweli upo serious kabisa unatamani tumchukie mwalimu... Yaani chelsea, liver,man u na man city fans wamtukane mwalimu na sisi pia tumchukie na kumtukana mwalimu... Kiukweli huwa nikimuona mtu anatukana watu huwa najua hayuko vizuri huko kichwani!.. Hakuna haja ya sisi kutukanana!. Tushabikie mpira kistaarabu!..
Hakuna mchezaji wa Arsenal katika uliowatajaWalioscore Etoo, Schurrle, Hazard, Oscar goal 2 na mwisho Salah akapigilia msumari wa mwisho. Acha kujisahaulisha.
Haina haja ya pressure tuna wachezaji kama watano first team wapo nje kwa injury ,patienceMorali na confidence kwenye timu ni bonge la ishu. Kocha alazimishe mid na forwards kushuti wakiwa nje
mkuu hiyo ni nzuri kwenye kwenye quick transition na sio positional play system km hii, Kocha huwezi kuadapt wachezaji wewe utakuwa sio kocha, wachezaji ndio waadapt system, vinginevyo utakuwa hauna philosophy ila unaFix mambo yawe sawaBro,
Jana Arteta alitakiwa atumie huo mfumo wa 343 maana umeshampa mafanikio mara kadhaa dhidi ya hawa mbuzi wa bluu
Chini ya Arteta katika mechi 16 mechi 12 tulimaliza first half tukiwa tunaongozwa. Mechi 4 suluhu.Haina haja ya pressure tuna wachezaji kama watano first team wapo nje kwa injury ,patience
mkuu hiyo ni nzuri kwenye kwenye quick transition na sio positional play system km hii, Kocha huwezi kuadapt wachezaji wewe utakuwa sio kocha, wachezaji ndio waadapt system, vinginevyo utakuwa hauna philosophy ila unaFix mambo yawe sawa
Tell them.Maneno ya kocha wako kasema tulijaribu kushindana nao ila walituzidi kwasababu Wana world players na ni mabingwa wa ulaya. Kama kocha wako kakiri hiv nyinyi kwanini mnamdomo kama chuchunge




.
.Mkuu husiseme tumeikopy. Huu mfumo Conte aliimodify kabla yenu. Nakumbuka baada ya Conte kufungwa mara Tatu mfululizo ndiyo akaja na mfumo huu na ninyi mlikuwa bado hamjaanza kuitumia.Hiyo 343 Arteta kashacheza toka anachukua FA cup, Tuchel ni km kaicopy tu, mashabiki ya Cheltakoo mengi hayajuhi mpira


Ninyi mmebaki na historia tu. Na sisi tukileta historia mbona mtakimbiaSawa moja tulibahatisha.
Je tatu?

. Zile Sita tulizokucharaza umezisahau au unatokwa na ufahamu. 


Oh kumbe. Kwahiyo na sisi sita tulizowapiga mmezisahau?Ninyi mmebaki na historia tu. Na sisi tukileta historia mbona mtakimbia. Zile Sita tulizokucharaza umezisahau au unatokwa na ufahamu.
![]()