vidmate
JF-Expert Member
- May 7, 2018
- 722
- 1,340
Kweli kbsAya magoli anayofungwa leno, ni moja tu angefungwa Ramsdale
Kweli kbsAya magoli anayofungwa leno, ni moja tu angefungwa Ramsdale
Furaha ya mpira hiyo, acha hasira shinda mechi zako uone kama atafanya hivi huyu Mtu
Nlpo ona ule ukuta nkajua tumeisha, maana ni kujiami kweli kweli bora ata Unai Emery... Huyu ni hali tete kabisa yan! Tumepoteza ata kujiamini tena
Hehehehehe endelea kuishabikia ArsenalAnother plank, wapi nimekuwa na hasira?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hehehehehe endelea kuishabikia Arsenal
Unataka afe mapema au sioHehehehehe endelea kuishabikia Arsenal
Kuwa na watoto ndo kunamzuia mtu kufurahiUnawezakuta huyu ana watoto wanamuita baba!!!
Hehehehehe endelea kuishabikia Arsenal
Sio kwa kushika mkia bro [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]SiO kwamba napenda kinachoendelea, nakereka, lakini siwezi kuhama timu kama malaya. Hopes mambo yatabadilika, hata chelsea, Liverpool man United walipitia hiki kipindi
Sio kwa kushika mkia bro [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Itakuuwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]So what is your advise?
[emoji23][emoji23][emoji23]
dah... kuna wakati uoni ata kama timu ina spirit ya kupambana kabisa yan, n basi tuKibaya zaidi sasa hivi huwezi mpata mchezaji mzuri wa kukubali kujichanganya na uchafu tulionao