Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bado mzimu wa Ozil unawasumbua
Na Wenga, mlimuonea sana yule mzee. hata tajiri asiposajili wachezaji wa maana kama akina Auba bado wenga aliweza kuwa im ara na kumal;iz atop 4 au 6. Mtafuteni Wengta mkamuombe msamaha na kumuomba arudi au mtaenda kuungana na Sunderland kwenye Ligue 2 kule mbali
 
Washawekwa kundi la kushuka daraja
Screenshot_20210828-163652_365Scores.jpg
 
Back
Top Bottom