42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,836
- 8,874
Washabiki wa hii team muda si mrefu watatuomba tuwaombee kwa magumu wanayopitia ,na kiukweli ni matumizi mabaya ya dua na maombi ,team kama Brighton ,westham zipo waamie tu huko utaratibu mwingine utafuata

Eti utaratb mwngne utafwata...kiukwl hakuna fan base wanapitia magumu kama Gunners hata ningekua mm ningeangusha chozi.Duh inawezakana tena leoAugust 28th 2011
Man utd 8 Arsernal 2..
August 28th 2021..
Ee Mungu sisi ni nani wa kuzuia mipango yako?
Hawa ng'ombe wanadhani kumleta Conte ni kama kununua maandazi.CONTE huwa anakuja na list ya wachezaji, akitua Ase8 atataka bodi isajili:-
Haaland
Casamero
Mbappe
Oblak
Son
hapo wapi?Vipi mpaka hapo
Haya ni matumizi mabaya ya Rasirimali vitu kwa RwandaKagame anateseka sana