Kuna muda nawaza labda mzee Wenger angerudishwa angalau kwa msimu mmoja tu ili timu irudi kwenye njia maana fedheha kubwa mno kuona timu km arsenal inavyohangaika uwanjani.
Kuna watu wanaona tatizo liko kwa wachezaji kwamba tuna wachezaji wa daraja la chini ambao hawana hadhi ya kuvaa jezi ya arsenal. Km hili ni kweli ebu tujiulize maswali mawili ya msingi kwamba "Brentford wana-quality players kuliko arsenal? Je Wenger aliwezaje kufanya vzr akiwa na striker tegemezi chamack?" Lkn leo tuna laccazet, Aubameyang, pepe, odegard na partey ila ndo timu iko hovyo kuliko vipindi vyote ambavyo tumekuwa tukiiona arsenal