Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Natamani mjifunze kitu kwa Monaco 2016-2019 chini ya leonardo jardim na Ajax kwa Eric ten hag 2017-2019......mjifunze walipataje ile cream bora ya wachezaji wao mfano Monaco Mbappe, mendy, bakayoko, fabinho, benardo silva, sidibe etc...

Ajax huko kukawa na cream bora ya ziyechi, Van de beek, de ligt, Neres, schone, Frank de jong. Onana.

Naamini mtajifunza kitu, arsenal bado ni brand kubwa sana, ikipata Youth system imara itafanya vizuri hapo kununua inakuwa wachezaji wawili watatu wazuri wakuboost team....

Kununua mastaa sio utamaduni wenu hamtauweza. Mnaweza jenga timu nzuri hizo paun mil 80 mkasajili mtu mmoja mwenye uzoefu akawapa ubingwa, kama lille walivyomsajili Burak Yilmaz aliejizeekea tayari ila mwenye uzoefu alioupata Galatasaray ya uturuki

Makinda wa academy wazuri kutoka Chelsea, Man u, man city, Juve, barca, madrid, liver, bayern, psg wakiahidiwa kucheza first team ndani ya miaka 2 hawawezi kataa wote mtapata academy nzuri hapo mjenge tu coaching team ya maana ya academy wawe tasked kuwajenga physically na mentally hao vijana kuingia firat team.....

Mbona mliweza kwa kina Nasri, Van persie, fabregas, wilshere na kina Ashley cole back then....

Mnaweza tumia pesa nyingi ila msipate cream bora....
 
Lets imagine katika ubora wenu, kuna kinda ataenda Dortmund badala ya Arsenal kweli?

Mjifunze tu jinsi Biashara ya Soka inavyofanywa na Dortmund ni jambo la kulipitia maana wao Dortmund wananunua youth wanawapa platform ya kushine iwe kwa mkopo au permanent pia hapo wanawapandisha makinda wao....mfano Jude bellingham, sancho, Haaland, hakimi, giovanni Reyna, moukoko, akanji, guerrero hao wote wamepewa platform wakiwa wadogo tu kiumri.....

hapo wameongezwa Axel witsel aliekuja kuwapa experience na wanafanya vizuri tu hawakosi matokeo mara nyingi na walimnunua Aubameyang kuwaboost na akawasaidia sana hadi akaja kwenu
 
Norwich has scored already. Timu pekee ambazo hazijafunga goli lolote mpaka sasa ni Arsenal, wolves na crystal palace
 
SiO kwamba napenda kinachoendelea, nakereka, lakini siwezi kuhama timu kama malaya. Hopes mambo yatabadilika, hata chelsea, Liverpool man United walipitia hiki kipindi
Weee tema mate chini.,Sari alimaliza nafasi ya 4 ila akaishia wapi?
 
Natamani mjifunze kitu kwa Monaco 2016-2019 chini ya leonardo jardim na Ajax kwa Eric ten hag 2017-2019......mjifunze walipataje ile cream bora ya wachezaji wao mfano Monaco Mbappe, mendy, bakayoko, fabinho, benardo silva, sidibe etc...

Ajax huko kukawa na cream bora ya ziyechi, Van de beek, de ligt, Neres, schone, Frank de jong. Onana.

Naamini mtajifunza kitu, arsenal bado ni brand kubwa sana, ikipata Youth system imara itafanya vizuri hapo kununua inakuwa wachezaji wawili watatu wazuri wakuboost team....

Kununua mastaa sio utamaduni wenu hamtauweza. Mnaweza jenga timu nzuri hizo paun mil 80 mkasajili mtu mmoja mwenye uzoefu akawapa ubingwa, kama lille walivyomsajili Burak Yilmaz aliejizeekea tayari ila mwenye uzoefu alioupata Galatasaray ya uturuki

Makinda wa academy wazuri kutoka Chelsea, Man u, man city, Juve, barca, madrid, liver, bayern, psg wakiahidiwa kucheza first team ndani ya miaka 2 hawawezi kataa wote mtapata academy nzuri hapo mjenge tu coaching team ya maana ya academy wawe tasked kuwajenga physically na mentally hao vijana kuingia firat team.....

Mbona mliweza kwa kina Nasri, Van persie, fabregas, wilshere na kina Ashley cole back then....

Mnaweza tumia pesa nyingi ila msipate cream bora....
hii message umekosea sehemu ya kuituma, umejisumbua kuandika tuu.
 
dah!! wanaa Arsenal wenzangu..huu mwanzo wa Epl umekuwa mchungu mno kwetu😓😓hopefully baada ya international break timu nzima itakuwa imerejea wote wakiwa wazima..#yoyg.. dahh!!
 
..kwa wadau wapinzani mlioamua kuivamia thred yetu..its all okay!! hizo kejeli na dharau..ni suala muda tu...
 
Huu uzi nitaupiga chini mda si mrefu mana hauna maana tena, Arsenal rasmi ishakuwa timu ndogo ni kama west Bromwich au fulham, hakuna tena upinzani, raha ya upinzani mtu unamcheka leo kesho anakucheka yeye, sasa kila siku unamcheka yeye tu haina maana.
Mzee achanaa na hii thread..mbona rahisi tu..kasherekee uzuri wa timu yako kwenye timu unayoishabikia..tuache mze na Arsenal yetu..sisi walaa hatuna upinzani na timu zenu kwa sahv..
 
Timu yenye historia kama arsenal ni aibu kuanza msimu kwa mtindo huu.

Apparently mpaka wachezaji wameonyesha kukerwa. Sasa nimeshangaa wanakerwaje wakati wao ndiyo wapo uwanjani?
..dah! take easy!..japo inaumiza mno!..ila ni suala la muda baada ya mapumziko ya kiamataifa, tutarejea sawa kaka.
 
Back
Top Bottom