ryana fan
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 2,632
- 3,056
5kwani mpira umeisha?
Shukranikwani mpira umeisha?
Yaani hata koment ya hashindi mengi haijakauka limenyooshwa la tano.Tano
Kaka kwahiyo zinaishia tano kama maombi yako au zitazidi?Bora tupigwe 5 ili kocha na Edu watoke pia kroenke alazimishwe kuuza timu.
Conte ni mtu mwenye msimamo mkali lakini pia ni moja ya top quality coaches you find..HT. City 3-0 Gunners.
Arsenal inahitaji maombi. Kwa sasa hii timu ni ya kawaida mno.
Fanyeni maamuzi magumu. Mtimueni Arteta. Tafuteni coacher mwenye uzoefu. Wapo wengi tu. Conte, kwa mfano.
Msipokuwa makini, hali inaweza kuwa mbaya zaidi. Mnapoteza 3 game streight.
Leo kupigwa 6 ni kitu cha kawaida. Bado kina Mahrez hawajaingia hapo.
Kiutani utani hii timu inashuka daraja.