Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

CONTE huwa anakuja na list ya wachezaji, akitua Ase8 atataka bodi isajili:-

Haaland
Casamero
Mbappe
Oblak
Son
Arsenal inahitaji over haul. Conte nimemtolea mfano tu. Ila hao kina lampard hawawezi kuijenga timu. Si unakumbuka alivyoijenga Chelsea na akashindwa kufikia malengo?

Tuchel wachezaji walewale kachukua UCL. Sasa kamwongeza Lukaku.
Tafuteni kocha mzoefu
 
Msimamo mpaka sasa.
Screenshot_20210828-154611_Goal Live.jpg
 
Basi tumekoma tusameheni
Pole sana kaka. Najua unaumia sana but chukulia kawaida tu. Mpira ndiyo ulivyo. Najua kwa sasa mnapitia kipindi kigumu sana but usitetereke IPO siku mtasimama tena.
 
This is not acceptable, timu ndani ya mechi 3 inashika nafasi ya 20. haijawahi kutokea ni wazi uwekezaji kwenye timu umemshinda. Kwa Nini asiwaachie wenye uwezo?
Mkuu mnawaza kwa kutumia nini wenzetu?? timu pekee mpaka sasa hazijafunga goli lolote ni arsenal, wolves, crystal palace na norwich. Hii ni game ya mwanzo ya week 3, mpaka tukifikia game ya mwisho ya week hii pengine crystal palace, wolves na norwich watakuwa washafunga japo goli. Hapo pia kwa tajiri??
 
Nawaombea zibaki hata hizo goli 4 aisee si kwa udhalilishaji huu....Aaron Arsenal na Computerasenal walishapotea kitamboo kudadeki
 
Back
Top Bottom