Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wacha, unaweza badili jina ukajiita Khe khe khe kheeeeeee?

Kwanza umekosea Wacha hayuko online Wacha1 yupo online khe khe khe kheeeeeeeeeeee ... .... .... ...vipi habari za Loitokitok msalimie Mungiki Brother yuko Kibera ana msiba hataki kurudi kwenye daraja la Makuti pale Stamford Bridge Bundi ameamua kufanya makazi yake ya kudumu khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee

NB Nitafikisha ujumbe kwa Wacha kama anataka kubadili jina.
 
Belo

Vipi mmemalizana na Sheik! ...? khe khe kheeeeeeeeee au mmeghairi? Nasikia Wigan wanawachubiri .... ..... ...
 
for%20sale%20sign.png

...ha ha ha! e bana weee, weshakuwa FOR SALE tena? kwani Glazers wameshafilisika? ha ha ha!
"show me ze money"...si wamuuzie shares 'Rostam' wa urusi (Roman Abramovich) hawa jamaa?
kule darajani Bundi keshafungua na ofisi kabisaaa!...

THE GUNNERSSS hebu 2endelee kuomba na kusal ili jumapili kikombe kiwe che2 kihalali plz plz mpk kesho nitawapa jibu kikombe cha jpil 2takichukuwaje The GUNNERSS...OYEE...!
 
Hicho ndo tutaanza nacho kisha mengine yatafuata!
 
Wanajamii tena wanaARSENAL na mitimu mingne pinzan.Mkubal mkatae kesho kombe linakwenda kwa ARSENAL WENGER hii ni baada ya miaka mi3 kutokuwa nalo. Na kwaukwel ulio waz anashnda goli 3 kwa 1 kwa maelezo zaid chek mech sa nne kesho usiku. Senkyu senkyu THE GUNNERSSS OYEE...

Duuuh! Hawa plastics mliosajili mwaka huu kiboko, lazima mtetee ubingwa wenu kwenye hii fani.:confused2::confused2:
 
'Our game will go more through Wilshere'

Arsène Wenger expects Jack Wilshere to take centre stage in the absence of Cesc Fabregas at Wembley.​

gun__1298651174_wilshere_xavi.jpg

comp_301.png

birminghamcity.png
Vs
arsenal.png

Sunday, February 27, 2011, 16:00

...in Arsene Wenger we Trust,

---Together we stand!---
 
Wakuu napita kuwasalimu, nipo Tanzania vijijini huku mtandao netiwaki ya kusumbua, kila la heri kesho Wembley
 
THE GUNNERSSS hebu 2endelee kuomba na kusal ili jumapili kikombe kiwe che2 kihalali plz plz mpk kesho nitawapa jibu kikombe cha jpil 2takichukuwaje The GUNNERSS...OYEE...!
Yaani kuna kipindi ndugu mnakuwa wanafiki sasa sijui mkikosa ndo huwa mnakua na kale kamsemo "sizitaki mbivu hizi........" nyie si mlikua mnadharau carling cup mbona sasa hadi el captain Fab analilia kucheza au ndo simba akizidiwa anakula hadi.......
Kila la kheri vijana .........si unajua haba na haba ujaza emirates,ooops kibaba.:rain:
 
Leo SABABU ninayo, NIA ninayo na SHAUKU ninayo sanaaaaaa ya kuona Arsenal wanatakata pale Wembley....Lakiniiiii......!................(naomba nije kumalizia kitendawili hiki badae).

Wasalaam watani....!
 
kaka acha umbea kama mnafik wewe ndo mnafiki kakwambia nan 2lizarau carling cup wewe baada ya kuona hulipat ndo mkaanza kuzalau baaday ya kuona hulipat
 
Mbona mnakuja kuwanga asubuhi asubuhi! Vipi jana mlifungwa nini? Khe khe kheeeeeeeeeeeee
 
Wigan 0 Man United 4

Kama unakuja baada ya mechi limekuwa la kuvunda hilo khe khe kheeeeeeeeeeee Ulikuwa umejificha wapi? Nasikia Chelsick waliwafunga Wigan goli 6 - 0

Wine Romney amefungiwa mechi tatu vipi mtakata rufaa?
 
Nilikuwa na majukumu ,leo mbona hujatuwekea picha kutoka The Sun?
 
Huwa siweki picha kwa ushindi wenye mashaka. Tunasubiri FA tuone kama watachukua hatua regardless Wine Romney ni english boy!
 
kaka acha umbea kama mnafik wewe ndo mnafiki kakwambia nan 2lizarau carling cup wewe baada ya kuona hulipat ndo mkaanza kuzalau baaday ya kuona hulipat
Sasa mbona misimu mingine huwa mnasema mnafocus kwenye makombe makubwa ambayo huwa hamshindi.
ila ni mtazamo tu mkuu kila la kheri..........MAN UTD inapenda kila msimu kupata walau kikombe kimoja.

Mbona mnakuja kuwanga asubuhi asubuhi! Vipi jana mlifungwa nini? Khe khe kheeeeeeeeeeeee
Mkuu sisi tunataka mshinde walau hiki si unajua tena ni muda tokea mnyanyue kwapa...........isije kuwa achievement kubwa ni kumfunga barca this season.....
 
Tangu lini nyie mlianza kutaka Arsenal ishinde walau hiki kikombe????? Hautakua Happy kama Arsenal ikilose leo???? Unafiki tu.....Na Bado.....
 
Miye naamini Wachezaji watajituma sana leo ili kuibuka na ushindi, lakini mapengo yaliyoachwa na Walcott na Fabregas si rahisi kuyaziba.

Back
Top Bottom