A club that I used to support my whole life now has become garbage.
Mashabiki wa arsenal ambao wanaenda uwanjani wananishangaza sana,Maana siilewi kitu wanachoendaga kuangalia na kukitarajia kwa arsenal hii mbovu.
Ukweli mchungu ni kua 5 years to come kama tukibakiwa na board hii yenye mentality ya 'profit making only' na average players hawa tulionao tunaenda kua midtable team EPL.
Ukweli ni kua siku hizi sisi sio tishio tena
Hata hii Chelsea iliyoanzishwa rasmi 2003 ishaanza kutupiku mafanikio na hii yote ni kutokana na board nzuri waliyonayo pamoja na tajiri kua na mafanikio ya makombe.
Ndugu zangu @Castr,@isajorsergio,@gspain,
computerarsenal na mashabiki wengine wa arsenal humu jamvini Tuendelee tu kuipenda na kuisapoti team yetu ila kiukweli board hawapo serious kabisa na hii timu.
Licha ya hivyo lakini kwa cheltako na mama ester utd point zangu 4+ zipo pale pale.
Love arsenal
Hate kroenke

.
Sent using
Jamii Forums mobile app