Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,080
- 12,319
Chelsea anawapakueni, hilo halina ubishi.Odegaard tayari amewasili London na kwa kuwa ana chanjo zote mbili hatakiwi kuwa karantini.
Hivyo huenda akacheza jumapili dhidi ya Chelsea.
Arsenal inapewa nafasi ndogo ya kushinda mechi hiyo pamoja na ile na Manchester City.
Ila lolote laweza kutokea.
